FURAHA YA AFRICAN SPORTS KUPANDA DARAJA

February 01, 2015


 Washabiki na wapenzi wa timu ya African Sports ya Tanga tawi la Wagosi wa ndima Makorora, wakimchuna mbuzi ikiwa ni sherehe ya kufurahia timu yao kupanda daraja na kucheza ligi kuu Tanzania bara baada ya kuifunga timu ya Mlale JKT juzi uwanja wa CCM Mkwakwani.





Washabiki hawa wakimchuna mbuzi ikiwa ni furaha ya timu yao African sports kupanda daraja na mwakani kucheza ligi kuu Tanzania bar,Picha kwa hisani ya Kumekucha Blog

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »