MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA MASHAURIANO YA WAWAKILISHI WA KAMATI YA KUDUMU YA UMOJA WA AFRIKA (AU) NA WATAALAMU WA HAKI NA SHERIA, JIJINI ARUSHA.

September 03, 2015

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na baadhi ya Viongozi wa Kamati ya Kudumu ya
  Umoja wa Afrika( AU) wakati alipokuwa
akiwasili kwenye Hoteli ya Mount Meru Jijini Arusha kwa ajili ya kufungua Mkutano wa Mashauriano kati ya Wawakilishi wa

Kamati ya Kudumu ya  Umoja wa
Afrika( AU) na Wataalamu wa Masuala ya Haki na Sheria, uliofanyika kwenye
Hoteli hiyo uliokuwa ukijadili kuhusu
 kuimarisha demokrasi,  utawala wa sheria na masuala ya uchaguzi. Wa
tatu (kulia) ni Jaji Mkuu Mstaafu
 Agustino Ramadhan.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati akifungua Mkutano wa Mashauriano kati ya Wawakilishi wa
  Kamati ya Kudumu ya  Umoja wa Afrika( AU) na Wataalamu wa Masuala
ya Haki na Sheria, uliofanyika kwenye Hoteli ya Mount Meru jijini Arusha jana
Sept 2, 2015 ambao ulikuwa ukijadili kuhusu
 kuimarisha demokrasi,  utawala wa sheria na masuala ya uchaguzi.
 Baadhi ya washiriki wa Mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, wakati akihutubia.
 Baadhi ya washiriki wa Mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais, Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, wakati akihutubia.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (kulia)
akiteta jambo na Rais wa Mahakama ya Afrika, Jaji Mkuu Mstaafu, Agustino Ramadhan,
wakati wa ufunguzi wa Mkutano huo wa Mashauriano kati ya Wawakilishi wa
  Kamati ya Kudumu ya  Umoja wa Afrika( AU) na Wataalamu wa Masuala ya Haki na Sheria, uliofanyika kwenye Hoteli ya Mount Meru jijini Arusha jana
Sept 2, 2015 ambao ulikuwa ukijadili kuhusu
 kuimarisha demokrasi,  utawala wa sheria na masuala ya uchaguzi.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (kulia)
akikabidhiwa zawadi na Rais wa Mahakama Afrika Jaji Mkuu Mstaafu, Agustino Ramadhan,
wakati wa ufunguzi wa Mkutano huo wa Mashauriano kati ya Wawakilishi wa
  Kamati ya Kudumu ya  Umoja wa Afrika( AU) na Wataalamu wa Masuala ya Haki na Sheria, uliofanyika kwenye Hoteli ya Mount Meru jijini Arusha jana
Sept 2, 2015 ambao ulikuwa ukijadili kuhusu
 kuimarisha demokrasi,  utawala wa sheria na masuala ya uchaguzi.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na Rais
wa Mahakama ya Afrika, Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Agustino Ramadhan,
wakisalimiana na baadhi ya washiriki wa mkutano huo baada ya kufunguliwa rasmi
jana jijini Arusha.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Rais wa
Mahakama Afrika, Jaji Mkuu Mstaafu, Agustino Ramadhan, wakiwa katika picha ya
pamoja na baadhi ya washiriki wa mkutano huo kutoka mataifa mbalimbali ya
Afrika baada ya ufunguzi jana jijini Arusha.
Makamu wa Rais Dkt. Bilal (kulia) na Rais wa Mahakama Afrika, Jaji Mkuu Mstaafu, Agustino Ramadhan.
NGASA, ULIMWENGU, SAMATTA WAJIUNGA STARS

NGASA, ULIMWENGU, SAMATTA WAJIUNGA STARS

September 03, 2015
Wachezaji watatu wa kimataifa wa Tanzania wanacheza soka la kulipwa nje ya nchi, Mrisho Ngasa (Free State – Afrika Kusini) Thomas Ulimwengu na Mbwana Samatta (TP Mazembe – Congo DRC) wamejiunga na kambi ya Taifa Stars iliyopo katika hoteli ya Urban Rose – Kisutu jana jijini Dar es salaam.
Kocha Mkuu wa Taifa Stars Charels Mkwasa amewapokea wachezaji hao na jana kufanya mazoezi pamoja na wachezaji waliokuwa kambini nchini Uturuki saa 10 jioni katika uwanja Taifa jijini Dar salaam.
Kwa mujibu wa ratiba ya kocha Mkwasa Stars leo alhamis itaendelea na mazoezi jioni saa 10 katika uwanja wa Taifa kabla ya kufanya mazoezi mepesi ya mwisho kesho ijumaa asubuhi.
Wachezaji waliopo kambini ni magolikipa Ally Mustafa, Said Mohamed, walinzi Juma Abdul, Shomari Kapombe, Haji Mwinyi, Mohamed Hussein, Kelvin Yondani, Hassan Isihaka na nahodha Nadri Haroub “Cannavaro”.
Viungo ni Himid Mao, Frank Domayo, Mudathir Yahya, Said Ndemla, Salum Telela, Deus Kaseke, Saimon Msuva na Farid Musa, huku safu ya ushambuliaji ikiwa na John Bocco, Rashid Mandawa, Ibrahim Ajib, Thomas Ulimwengu, Mrisho Ngasa na Mbwana Samatta.
 KUZIONA STARS, SUPER EAGLES SHS 7000/

KUZIONA STARS, SUPER EAGLES SHS 7000/

September 03, 2015
Maandalizi ya mchezo kati ya Tanzania (Taifa Stars) dhidi ya Nigeria (Super Eagles) yamekamilika, ambapo leo Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) limetangaza viingilio vya mchezo huo wa jumamosi kati huku kiingilio cha chini kabisa kikiwa shilingi elfu saba tu.
Viingilio vya mchezo huo wa kuwania kufuzu kwa Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON Qaulifier 2017) kundi G itakua ni VIP A Tsh 40,000, VIP B Tsh 30,000, VIP C Tsh15,000, Rangi ya Machungwa (Orange) Tsh 10,000, na viti vya rangi ya Bluu na Kijani Tsh 7,000.
Tiketi za mchezo huo zinatarajiwa kuanza kuuzwa kesho siku ya ijumaa saa 4 kamili asubuhi katika vituo kumi vifuatavyo:
(i) Ofisi za TFF - Karume
(ii) Buguruni – Oilcom
(iii) Mbagala – Dar live
(iv) Ubungo – Oilcom
(v) Makumbusho – Stendi
(vi) Uwanja wa Taifa
(vii) Mwenge – Stendi
(viii) Kivukoni-  Feri
(ix) Posta – Luther House
(x) Big Bon – Msimbazi Kariakooo
TFF inawaomba watanzania, wapenzi na wadau wa mpira wa miguu kununua tiketi za mchezo huo katika magari yaliyopo kwenye vituo vilivyotajwa ili kuondokana na tatizo la kuuziwa tiketi zisizokuwa halali.
Jeshi la Polisi nchini kwa kushirikiana na idara nyingine za kiusalama wameandaa usalama wa kutosha katika kuelekea kwenye mchezo na kuhakikisha kila mpenzi wa mpira wa miguu anaingia kushuhudia mchezo huo salama na kuondoka salama.
Mchezo huo utaanza saa 10:30 jioni kwa saa za Afrika Mashariki utachezeshwa na waamuzi kutoka nchini Rwanda ambao wanatarajiwa kuwasili leo jioni pamoja na kamisaa wa mchezo huo.
Waamuzi wa mchezo huo ni Louis Hakizimana (mwamuzi wa kati) Honore Simba (mwamuzi msaidizi), Jean Bosco Niyitegeka (mwamuzi msaidizi), Abdoul Karim Twagiramukiza (mwamuzi wa akiba) wote kutoka Rwanda na kamisaaa ni Charles Kasembe kutoka nchini Uganda.

RAIS KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA BIASHARA TANZANIA (TNBC) IKULU JIJINI DAR ES SALAAM SEPTEMBER 02, 2015

September 03, 2015

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mwenyekiti wa Tanzania Private Sector Foundation Dkt. Reginald Mengi muda mfupi kabla ya kufungua na kuendesha mkutano wa nane wa Baraza la Biashara Tanzania (TNBC) katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 2, 2015
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mwenyekiti wa Tanzania Private Sector Foundation Dkt. Reginald Mengi muda mfupi kabla ya kufungua na kuendesha mkutano wa nane wa Baraza la Biashara Tanzania (TNBC) katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 2, 2015
Katibu Mtendaji wa Baraaa la Biashara la Tanzania (TNBC) Bw. Raymond Mbilinyi akiongelea juu ya  mkutano wa nane wa Baraza la Biashara Tanzania (TNBC) katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 2, 2015
 Washiriki wa  mkutano wa nane wa Baraza la Biashara Tanzania (TNBC) katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 2, 2015
  Washiriki wa  mkutano wa nane wa Baraza la Biashara Tanzania (TNBC) katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 2, 2015
  Washiriki wa  mkutano wa nane wa Baraza la Biashara Tanzania (TNBC) katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 2, 2015
  Washiriki wa  mkutano wa nane wa Baraza la Biashara Tanzania (TNBC) katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 2, 2015
  Washiriki wa  mkutano wa nane wa Baraza la Biashara Tanzania (TNBC) katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 2, 2015
  Washiriki wa  mkutano wa nane wa Baraza la Biashara Tanzania (TNBC) katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 2, 2015

PAMBANO LA STARS &SUPER EAGLE LASOGEZA MBELE MECHI YA AFRICAN SPORTS NA COASTAL UNION.

September 03, 2015




 Meneja wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Mkoa wa Tanga,Frank Maduga akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mechi
NA MWANDISHI WETU, TANGA.
PAMBANO la Mechi ya kirafiki kwa mahasimu wa soka mkoa wa Tanga baina ya Coastal Union na African Sports limelazimika kusogezwa mbele kutokana na siku lilatalochezwa kutakuwa na mechi kati ya timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” na Super Eagle ya Nigeria.
Viingilio kwenye mechi hiyo vitakuwa ni kati ya 5000 na 3000 kwa wakubwa na shilingi 1000 kwa watoto ili kuweza kutoa fursa kwa wapenzi wa soka kushuhudia mechi hiyo.
 

Mchezo huo wa Stars na Super Eagle ya Nigeria utakuwa ni wa kuwania kufuzu fainali za kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) zitakazochezwa mwaka 2017 nchini Gabon.



Meneja wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Mkoa wa Tanga,Frank Maduga akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mechi
Mechi hiyo imeandaliwa pamoja na kudhaminiwa na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii Mkoa wa Tanga (NSSF) ambapo kabla ya mchezo huo kutakuwa na shughuli mbalimbali kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani ikiwemo uandikishaji wa kujiunga na huduma za NSSF pamoja na kujiandikisha kwa mafao ya matibabu yanayotolewa bure kwa wanachama wa mfuko pindi watimizapo miezi mitatu ya uanachama hai.
Afisa Matekelezo wa NSSF Mkoa wa Tanga,Athumani Juma Mohamed akizungumza jambo wakati wa mkutano wa waandishi wa habari leo
 Akizungumza na waandishi wa habari leo,Meneja wa shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Frank Maduga amesema kuwa sababu za kusogezwa mbele mchezo huo ni kutoa fursa wapenzi wa soka nchini kuishuhudia timu ya Taifa na baadae kujionea mechi hiyo siku itakayopangwa.
Alisema kuwa shirika hilo mkoani hapa limeamua kutumia siku ya Jumamosi Septemba 5 mwaka huu kwa ajili ya kutoa elimu juu ya hifadhi ya jamiio na huduma zinazotolewa na shirika hilo ikiwemo upimaji wa afya bure,uandikishaji wa wanachama katika mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii na pia kwa ajili ya mafao ya matibabu ili wanufaike na huduma hizo.

Afisa Matekelezo wa NSSF Mkoa wa Tanga,Chiku Mohamed Saidi akigawa taarifa kwa waandishi wa habari kwenye mkutano huo.
Aidha alisema kuwa wameandaa michuano ya mpira wa miguu kwa wanawake itakayofanyika siku hiyo ikihusisha timu za Pangani, Muheza na timu mbili za wilaya ya Tanga ambapo mshindi wa mashindano hayo atapokea zawadi za ushindi pamoja na mshindi wa mechi ya watani wa jadi mjini Tanga iliyohamishiwa Jumapili ili kutoa fursa kwa wadau wengine wa michezo kushuhudia na kuishangilia timu ya Taifa inayocheza siku inayofuata.

Meneja huyo alisema kuwa siku ya Jumamosi kutakuwa na burudani toka kwa vikundi vya sanaa na mechi za wanawake zitaanza saa 2:30 asubuhi hadi saa 6:00 na fainali kufanyika jioni.
Aliongeza kuwa pamoja na kusaidia timu za Tanga na kukuza katika azma ya kukuza viwango vya soka mkoani hapa tukio linguine ni uzinduzi wa huduma ya maji kupitia tanki lililojengwa upya katika kijiji cha Wazee Mikanjuni.
Afisa Mafao wa NSSF Mkoa wa Tanga na Mratibu wa Shughuli hiyo,Salum Maftaa kushoto akifurahia jambo na wadau wa michezo leo
 Alieleza kuwa pia wanachama hao wapya watapata fursa ya kupata huduma ya matibabu ya ndani na nje ya mkoa zikiwemo hospitali za rufaa ndani ya muda mfupi wa miezi mitatu bila kuathiri michango yao au kwa manene mengine watapata matibabu ya bure.
 
Hata hivyo alisema kuwa huduma za mikopo inayotolewa na shirika hilo kupitia vyama vya akiba vya kuweka na kukopa (Saccos) itapatikana kwa wanachama wanaochangia si chini ya miwezi sita na ambao wamejiunga kwenye Saccoss zinakidhi vigezo.
 
  “Jamani ndugu zangu kubwa kuliko yote,Uzee haukwepeki na pia ulemavu na umauti ni majanga ambayo hakuna ajuaye yatamkuta lini na hivyo kinga ya uhakika dhidi ya kukosekana au kupungua kwa kipato kwa mtu na wategemezi ni kujiunga na mpango wa hifadhi ya jamii unaoendeshwa na NSSF “Alisema Maduga.

Mafuriko ya Mama Samia Suluhu Yawavuna Vigogo Chadema Dodoma

Mafuriko ya Mama Samia Suluhu Yawavuna Vigogo Chadema Dodoma

September 03, 2015
Baadhi ya wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamefurika katika mkutano wa hadhara ulofanyika Viwanja vya Chang'ombe mjini Dodoma. Baadhi ya wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamefurika katika mkutano wa hadhara ulofanyika Viwanja vya Chang'ombe mjini Dodoma.Baadhi ya wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamefurika katika mkutano wa hadhara ulofanyika Viwanja vya Chang'ombe mjini Dodoma. Baadhi ya wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamefurika katika mkutano wa hadhara ulofanyika Viwanja vya Chang'ombe mjini Dodoma.Baadhi ya wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamefurika katika mkutano wa hadhara ulofanyika Viwanja vya Chang'ombe mjini Dodoma. Baadhi ya wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamefurika katika mkutano wa hadhara ulofanyika Viwanja vya Chang'ombe mjini Dodoma.Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu akiwasili na kuwapungia mkono wananchi katika viwanja vya jangani. Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu akiwasili na kuwapungia mkono wananchi katika viwanja vya jangani.Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu akipokea kadi kutoka kwa  aliyekuwa mgombea wa udiwani wa Chadema Kata ya Mlowa Barabarani baada ya kujiunga na chama hicho. Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu akipokea kadi kutoka kwa
aliyekuwa mgombea wa udiwani wa Chadema Kata ya Mlowa Barabarani baada ya kujiunga na chama hicho Baadhi ya wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamefurika katika mkutano wa hadhara ulofanyika Viwanja vya Chang'ombe mjini Dodoma.Mgombea ubunge Jimbo la Mtera, Livingstone Lusinde akizungumza mkutano wa kampeni viwanja vya Chang'ombe Dodoma. Mgombea ubunge Jimbo la Mtera, Livingstone Lusinde akizungumza mkutano wa kampeni viwanja vya Chang'ombe Dodoma.Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia  Suluhu viwanja vya chang'ombe. Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. SamiaSuluhu viwanja vya chang'ombe.
Bi. Samia Suluhu kulia akimtambulisha mgombea ubunge wa jimbo la Mtera, Livingstone Lusinde jimboni humo. Bi. Samia Suluhu kulia akimtambulisha mgombea ubunge wa jimbo la Mtera, Livingstone Lusinde jimboni humoBaadhi ya wanaCCM na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia  Suluhu Jimbo la Kibakwe. Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu Jimbo la Kibakwe.Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu (kulia) akiwatambulisha mgombea ubunge Jimbo la Kibakwe, George Simbachawene (katikati). Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu (kulia) akiwatambulisha mgombea ubunge Jimbo la Kibakwe, George Simbachawene (katikati).Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia  Suluhu Jimbo la Kibakwe. Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. SamiaSuluhu Jimbo la Kibakwe.Aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Chadema Wilaya ya Dodoma Mjini, Peter Chiuyo akizungumza mbele ya wananchi kwenye mkutano wa hadhara ulofanyika Viwanja vya Chang'ombe mjini Dodoma. Aliyekuwa Katibu Mwenezi wa Chadema Wilaya ya Dodoma Mjini, Peter Chiuyo akizungumza mbele ya wananchi kwenye mkutano wa hadhara ulofanyika Viwanja vya Chang'ombe mjini Dodoma.Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia  Suluhu Jimbo la Kibakwe. Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia Suluhu Jimbo la Kibakwe.Baadhi ya wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamefurika katika mkutano wa hadhara ulofanyika Viwanja vya Chang'ombe mjini Dodoma. Baadhi ya wanaCCM na wapenzi wa chama hicho wakiwa wamefurika katika mkutano wa hadhara ulofanyika Viwanja vya Chang'ombe mjini Dodoma.Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. Samia  Suluhu Jimbo la Mtera. Baadhi ya wanaCCM na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM, Bi. SamiaSuluhu Jimbo la Mtera.Meza kuu katika mkutano wa hadhra jimbo la Kibakwe. -- ___________________________________________________________________________________ Joachim Mushi, Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na Mhariri Mkuu wa Thehabari.com. Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com Mobile:- 0717 030066 / 0756 469470 Web:- www.thehabari.com http://joemushi.blogspot.com
MWIGULU NCHEMBA ALIPUA UKAWA KWA KUNUKUU MANENO YA BABA WA TAIFA

MWIGULU NCHEMBA ALIPUA UKAWA KWA KUNUKUU MANENO YA BABA WA TAIFA

September 03, 2015

Mwigulu Nchemba akiwasili eneo la Mkutano nje kidogo na Mji wa Babati hii leo alipofika kwaajili ya Mkutano wa kampeni wa kuinadi Ilani ya Chama cha Mapinduzi ya Mwaka 2015.Pia kuwanadi wagombea Udiwani na Ubunge kwa Babati Mjini.
Kutoka Kushoto ni Katibu wa CCM Mkoa wa Manyara Ndg.Ndekubali,Katikani ni Mwigulu Nchemba na Mwisho kulia ni Mh.Chambili ambaye ni Mgombea Ubunge Jimbo la Babati Mjini.
Mwigulu Nchemba akisalimiana na Wananchi wa Babati hii leo,Katika hotuba yake amesisitiza Wananchi waachane na maigizo yanayofanywa na baadhi ya wagombea Urais bali waamue moja la Kuchagua Rais Mchapa Kazi,.Mweigulu amesisitiza Zaidi kuwa rekodi za wagombea Urais zipo wazi kila kona na kwa rika zote.Hivyo watanzania watumie fursa hii kuhakikisha Taifa linapata kiongozi Mchapa kazi ambaye ni J.Pombe Magufuli wa CCM.
Sehemu ya mamia ya Wananchi waliofika kusikiliza Ilani ya chama cha Mapinduzi wakishangilia namna Ilani ya chama hicho ilivyoweka bayana namna ya Kutekekeleza shughuli za maendeleo katika Jimbo la Babati Mjini
Mh.Mwigulu Nchemba akiwa na Mgombea Ubunge Jimbo la Babati Mjini Ndg.chambili wakiagana na Wananchi mara baada ya Mkutano huo wa kampeni wa CCM.
“CCM ni Ile Ile”
Picha na Sanga Jr.