NEYMAR AKIMBIZWA HOSPITALI BAADA YA KUCHEZEWA RAFU MBAYA NA ZUNIGA

July 05, 2014
HUKU Brazil ikisherehekea ushindi wa 2-1 dhidi ya Colombia usiku wa Ijumaa na kiting Nusu Fainali ya Kombe la Dunia, lakini ilipata pigo baada ya mshambuliaji tegemeo, Neymar kuumia na kukimbizwa hospitali.
Nyota huyo wa Barcelona alitolewa née Uwanja wa Fortaleza zikiwa zimesalia dakika tatu na kukimbizwa hospitali baada ya mechi.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 sasa yuko shakani kuichezea Brazil katika Nusu Fainali dhidi ya Ujerumani Jumanne.
Anatolea nje: Neymar akiwa amebebwa kwenye machela kutolewa née kabla ya kukimbizwa hospitali baada ya mechi
none
Cynical: With the ball nowhere near Camilo Zuniga smashes his knee into the lower part of Neymar's back
Rafu iliyomuumiza; Hakuwa na mpira wakati anapigwa kwa goti mgongoni na Camilo Zuniga 
Man down: The Barcelona forward falls to the ground after the challenge that leaves him a doubt for the semi
Akaenda chini kama mzaha
Worry: The challenge left Neymar writhing on the ground and a doubt for the remainder of the tournament
Akashika eneo la mgongoni alilopigwa
Complaints: Defender Marcelo gesticulates as his team's star man lies prone on the ground in Fortaleza
Beki Marcelo anamuombea msaada baada ya kugundua ameumia kweli
Treatment: Neymar was seen to on the pitch but had to be removed on a stretcher in the quarter-final
Anapatiwa huduma ya kwanza uwanjani
Concern: Colombian playmaker James Rodrigues shows sympathy to his opposite number
Nyota wa Colombia, James Rodriguez anamkaribia Neymar kumtaka ainuke kutoka nje mchezo uendelee kuokoa muda wajaribu kusawazisha bao, wakati huo tayari Brazil inaongoza 2-1.