BALOZI WA OMAN AKUTANA NA Rais wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein

BALOZI WA OMAN AKUTANA NA Rais wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein

May 26, 2015

1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea Hundi ya Tanzania Shilingi Billioni 12.3 kutoka Balozi   wa Oman  Nchini Tanzania  Mhe,Saoud Al Ruqaishi  ikiwa ni msaada  kwa ajili ya ununuzi wa Vifaa kwa  kiwanda cha upikaji Chapa (kushoto  Balozi Mdogo  wa Oman  aliyepo  Zanzibar Mhe,Ali Abdulla Al-Rashdi  hafla ya makabidhiani ilifanyika Ikulu Mjini Zanzibar leo
,[Picha na Ikulu.]
2
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na  Balozi   wa Oman  Nchini Tanzania  Mhe,Saoud Al Ruqaishi  alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
3
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Balozi   wa Oman  Nchini Tanzania  Mhe,Saoud Al Ruqaishi  baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo.
Mkutano wa Kanda ya Afrika wafanyika mjini Abidjan.

Mkutano wa Kanda ya Afrika wafanyika mjini Abidjan.

May 26, 2015

4
Kaatibu Mkuu wa Wizara ya fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dkt. Servcius Likwelile akiwaeleza Mawaziri wa Fedha kuhusu serikali ya Tanzania mipango yake hasa kwenye miundombinu. Kutoka kulia ni Waziri wa Fedha wa Rwanda Bw. Claver Gatete na kushoto kwake ni Mchumi Mkuu Rugwabiza Minega Leonard. ilivyonufaika na fedha za Benki ya Maendeleo katika kutekeleza
3
Waziri wa Fedha wa Rwanda Mhe. Claver Gatete akitoa ufafanua wa masuala mbalimbali yanayohusu nchi za Afrika. Kushoto kwake ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dkt. Servacius Likwelile ambaye amemwakilisha Waziri wa fedha na kulia kwake ni Waziri wa Fedha wa Ethiophia Mhe. Fisseha Aberra.
5
Katibu Mkuu wa Wizara ya fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dkt. Servacius Likwelile akitoa ufafanuzi kuhusu Tanzania inavyoshirikiana na Benki ya Afrika kwa Mawaziri wa Fedha kutoka nchini Rwanda, Ethiophia, Kenya na Visiwa vya Shelisheli wakati wa uwasilishaji wa ripoti ya utekelezaji wa mazimio ambayo kila nchi imejiwekea.
1
Kamishna wa Fedha za Nje Bwana Ngosha Manyoga akiwa katika majadiliano yanayohusu ya ripoti ya utekelezaji wa mpango wa mafanikio katika nchi za Africa.
2

MOAT YAUPINGA MSWADA WA SHERIA YA VYOMBO VYA HABARI

May 26, 2015


 Mwenyekiti wa Umoja wa Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT), Dk. Reginald Mengi (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu mswada wa sheria ya vyombo vya habari ambao ulitaka kuwasilishwa bungeni kwa dharula. Kulia ni Mwanasheria, Godfrey Mpandikizi.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Sahara Comminication, Samuel Nyalla (katikati), akizungumza katika mkutano huo. Kulia ni Saed Kubenea kutoka Mwanahalisi Publishers na Mwanasheria, Godfrey Mpandikizi.
  Mwenyekiti wa Umoja wa Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT), Dk. Reginald Mengi (kushoto), akisalimiana kwa kumbatiana na Mfanyabiashara maarufu nchini, Rostam Azizi ambaye pia ni mmoja wa wamiliki wa vyombo vya habari.
 Wadau na wamiliki wa vyombo vya habari wakiwa kwenye mkutano huo.
 Wanahabari na wadau wa vyombo vya habari wakiwa kwenye mkutano huo.
wadau wa vyombo vya habari wakiwa kwenye mkutano huo.

Na Dotto Mwaibale
WAMILIKI wa Vyombo vya habari nchini (MOAT) wameitaka serikali kutosaini muswada wa vyombo vya habari kutokana na kutokuwa wa haki na kwamba unavibana vyombo vya habari.

Pia wamiliki hao wamesema kama serikali inataka kuupitisha isubiri Rais ajaye ndiyo aupitishe wakati huohuo wameunda kamati maalumu itakayoenda Mjini Dodoma kuuzuia usipitishwe wala kujadiliwa bungeni.

Akizungumza Dar es Salaam leo mchana Mwenyekiti wa Umoja wa Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT), ambaye pia ni Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Regnald Mengi  alisema anashangazwa sana na wanasisa kusahau walipotoka kutokana na kusapoti muswada huo kupitishwa.

Alisema serikali imeamua kufanya hivyo kutokana na kusahau waliowasababishia kupata madaraka kutokana na shida yao kuisha hivyo vyomba vya habari vimejifunza.

"Tumejifunza kuwa sisi ni8 watu wa kutumika  wanapotaka kututumia hivyo wanataka kutumaliza na muswada huu hivyo sioni kama wana nia njema na sisi, "Alisema Mengi.

Aliongeza nia ya kupitishwa kwa muswada huo so njema na kwamba haki ya kupata habari sio tuu haki ya msingio bali ni ya kikatiba hivyo serikali isije ikajihusiasha na kuvunja katiba ya nchi bali inatakiwa kuonesha mfano bora.

Akizungumzia kuhusu Demokrasia alisema mtu hawezi kufanya vitu visivyozingatia demokrasia ili kudhibiti demokrasia au kuhakikisha unapata demokrasia kwa kutumia njia za kidemopkrasia bali anapaswa kutumia amani.

"Huwezio kuheshimu sheria kwa kutumia nguvu, hivyo muswada ukiwa na sheria onevu na isiyokubalika au kukiuka katiba ya nchi lazima hali itakuwa mbaya nchini,"

Kwa upande wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu alisema watanzania tunaelekea kwenye mchakato huo lakini hatuwezi kuwa na uchaguzi huru ikiwa vyombo vya habari havina uhuru wa kupokea na kuandika habari ili watanzania waweze kuelewa hivyo serikali inatakiwa kujadili kwa makini ili kunusuru machafuko yanayoweza kujitokeza.

"Hatuwezi kuficha vitu wakati mambo yanatakiwa yawe wazi, na kama tungekuwa tunataka uwazi tusingeruhusu vyombo vya habari kuwa wazi, hivyo muswada huo utatupa matatizo kwenye uchaguzi na hauwezi kluwa huru pasipo wananchi kujua nuini kinaendelea kupitia vyombo hivyo,"alisema Mengi. 

Hata hivyo mengi aliongeza kuwa hakuna amani endelevu bila kuwepo uhuru na haki kwa kuwa ni rasilimali kubwa ya taifa na kwamba si ya mtu mmoja, kikundi wala chama bali ni yetu sote hivyo serikali ikijaribu kuichezea itakuwa inacjhezea wananchi wa tanzania.

Kwa upande wake Wakili wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Godfrey Mpandikizi  akizungumzia changamoto zilizopo kwenye muswada huo,alisema vitu vilivyopo kwenye muswada huo vinakinzana na katiba ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania hivyo aliwataka wahariri kwenda Dodoma kuuzuia.

Alisema muswada huo pia unazuia jamii kujua mambo yanayoendelea hivyo itasababisha hali ya nchi kuwa mbaya kwa siku zijazo kurtokana na kuwa na mapungufu zaidi ya 10 katika kila kifungu pamoja na tafsiri zaidi ya 20.

"Sheria hiyo ni chafu, na hairuhusiwi kwenda bungeni hivyo isubiri Rais ajaye na katiba mpya ndiyo ujadiliwe ili uwe na haki hivyo wamiliki nendeni Dodoma mkauzuie usijadiliwe na wabunge waka kupitishwa,"alisema.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Mwananchi, Francis Nanai aliwataka wamiliki hao kuonana na wanasheria, wabunge na mashirika mengine kwenda mahakani kupinga sheria hiyo chafu.

Abdala Majura alisema anaungana na vyombo mablimbali vya habari kuukataa muswada huo usijadiliwe bungeni na kwamba utasababisha kufa kwa taaluma za uandishi wa habari. (Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com).
Wiki ya Ukombozi wa Afrika na Uzinduzi Mradi Uhifadhi Urithi Nyaraka Tanzania

Wiki ya Ukombozi wa Afrika na Uzinduzi Mradi Uhifadhi Urithi Nyaraka Tanzania

May 26, 2015


Profesa Issa Shivji akichokoza mada katika mjadala wa Maadhimisho ya Wiki wa Ukombozi wa Afrika inayofanyika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam. Profesa Issa Shivji akichokoza mada katika mjadala wa Maadhimisho ya Wiki wa Ukombozi wa Afrika inayofanyika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam.Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Pereira Silima akisoma hotuba ya uzinduzi akimuwakilisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe kwenye Maadhimisho ya Wiki wa Ukombozi wa Afrika inayofanyika Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Pereira Silima akisoma hotuba ya uzinduzi akimuwakilisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe kwenye Maadhimisho ya Wiki wa Ukombozi wa Afrika inayofanyika Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam.Ofisa Mkuu na Mwakilishi Mkazi wa UNESCO nchini Tanzania, Mzulmira Rodrigues akizungumza katika Maadhimisho ya Wiki ya Ukombozi wa Afrika inayofanyika kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam. Ofisa Mkuu na Mwakilishi Mkazi wa UNESCO nchini Tanzania, Mzulmira Rodrigues akizungumza katika Maadhimisho ya Wiki ya Ukombozi wa Afrika inayofanyika kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam.Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Filiberto Ceriani Sebregondi akizungumza katika Maadhimisho ya Wiki wa Ukombozi wa Afrika inayofanyika Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam. Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Filiberto Ceriani Sebregondi akizungumza katika Maadhimisho ya Wiki wa Ukombozi wa Afrika inayofanyika Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam.Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Sihaba Mkinga akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Maadhimisho ya Wiki wa Ukombozi wa Afrika inayofanyika Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Sihaba Mkinga akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi Maadhimisho ya Wiki wa Ukombozi wa Afrika inayofanyika Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam.Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Pereira Silima akisoma hotuba ya uzinduzi akimuwakilisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Benard Membe kwenye Maadhimisho ya Wiki wa Ukombozi wa Afrika inayofanyika Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa, Profesa Audax Mabulla akisoma hotuba yake na kuwakaribisha wageni kwenye Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam jana.Meza kuu katika uzinduzi wa Wiki ya Ukombozi wa Afrika inayofanyika katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam ikiwa imesimama kuimba wimbo wa taifa kabla ya hafla hiyo kuanza. Meza kuu katika uzinduzi wa Wiki ya Ukombozi wa Afrika inayofanyika katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam ikiwa imesimama kuimba wimbo wa taifa kabla ya hafla hiyo kuanza.Baadhi ya mabalozi na viongozi wa taasisi anuai waandamizi wakishiriki katika mjadala wa Wiki ya Ukombozi wa Afrika inayofanyika katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam. Mijadala hiyo imeanza tarehe 25 na inatarajia kumalizika tarehe 29 Mai, 2015. Baadhi ya mabalozi na viongozi wa taasisi anuai waandamizi wakishiriki katika mjadala wa Wiki ya Ukombozi wa Afrika inayofanyika katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam. Mijadala hiyo imeanza tarehe 25 na inatarajia kumalizika tarehe 29 Mai, 2015.Profesa Issa Shivji akichokoza mada katika mjadala wa Maadhimisho ya Wiki wa Ukombozi wa Afrika inayofanyika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam. Profesa Issa Shivji akiwasilisha mada yake katika mjadala wa Maadhimisho ya Wiki wa Ukombozi wa Afrika inayofanyika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam.Meza kuu ya wawasilishaji mada na mwenyekiti wa mjadala katika Maadhimisho ya Wiki wa Ukombozi wa Afrika inayofanyika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam. Meza kuu ya wawasilishaji mada na mwenyekiti wa mjadala katika Maadhimisho ya Wiki wa Ukombozi wa Afrika inayofanyika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam.Baadhi ya washiriki wa mijadala ya Wiki ya Ukombozi wa Afrika inayofanyika katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam wakifuatilia mada mbalimbali zinazowa wasilishwa kwenye mjadala wa Wiki ya Ukombozi wa Afrika. Mijadala hiyo imeanza tarehe 25 na inatarajia kumalizika tarehe 29 Mai, 2015. Baadhi ya washiriki wa mijadala ya Wiki ya Ukombozi wa Afrika inayofanyika katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam wakifuatilia mada mbalimbali zinazowa wasilishwa kwenye mjadala wa Wiki ya Ukombozi wa Afrika. Mijadala hiyo imeanza tarehe 25 na inatarajia kumalizika tarehe 29 Mai, 2015.Baadhi ya mabalozi wakishiriki katika mjadala wa Wiki ya Ukombozi wa Afrika inayofanyika katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam. Mijadala hiyo imeanza tarehe 25 na inatarajia kumalizika tarehe 29 Mai, 2015. Baadhi ya mabalozi wakishiriki katika mjadala wa Wiki ya Ukombozi wa Afrika inayofanyika katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam. Mijadala hiyo imeanza tarehe 25 na inatarajia kumalizika tarehe 29 Mai, 2015.Meza kuu ya wawasilishaji mada na mwenyekiti wa mjadala katika Maadhimisho ya Wiki wa Ukombozi wa Afrika inayofanyika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam. Meza kuu ya wawasilishaji mada na mwenyekiti wa mjadala katika Maadhimisho ya Wiki wa Ukombozi wa Afrika inayofanyika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam.Baadhi ya washiriki wa mijadala ya Wiki ya Ukombozi wa Afrika inayofanyika katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam wakifuatilia mada mbalimbali zinazowa wasilishwa kwenye mjadala wa Wiki ya Ukombozi wa Afrika. Mijadala hiyo imeanza tarehe 25 na inatarajia kumalizika tarehe 29 Mai, 2015. Baadhi ya washiriki wa mijadala ya Wiki ya Ukombozi wa Afrika inayofanyika katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam wakifuatilia mada mbalimbali zinazowa wasilishwa kwenye mjadala wa Wiki ya Ukombozi wa Afrika. Mijadala hiyo imeanza tarehe 25 na inatarajia kumalizika tarehe 29 Mai, 2015.Baadhi ya washiriki wa mijadala ya Wiki ya Ukombozi wa Afrika inayofanyika katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam wakiuliza maswali kwa wawasilishaji mada. Mijadala hiyo imeanza tarehe 25 na inatarajia kumalizika tarehe 29 Mai, 2015. Baadhi ya washiriki wa mijadala ya Wiki ya Ukombozi wa Afrika inayofanyika katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam wakiuliza maswali kwa wawasilishaji mada. Mijadala hiyo imeanza tarehe 25 na inatarajia kumalizika tarehe 29 Mai, 2015.Baadhi ya washiriki wa mijadala ya Wiki ya Ukombozi wa Afrika inayofanyika katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam wakiuliza maswali kwa wawasilishaji mada. Mijadala hiyo imeanza tarehe 25 na inatarajia kumalizika tarehe 29 Mai, 2015. Baadhi ya washiriki wa mijadala ya Wiki ya Ukombozi wa Afrika inayofanyika katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam wakiuliza maswali kwa wawasilishaji mada. Mijadala hiyo imeanza tarehe 25 na inatarajia kumalizika tarehe 29 Mai, 2015.Baadhi ya washiriki wa mijadala ya Wiki ya Ukombozi wa Afrika inayofanyika katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam wakiuliza maswali kwa wawasilishaji mada. Mijadala hiyo imeanza tarehe 25 na inatarajia kumalizika tarehe 29 Mai, 2015. Baadhi ya washiriki wa mijadala ya Wiki ya Ukombozi wa Afrika inayofanyika katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam wakiuliza maswali kwa wawasilishaji mada. Mijadala hiyo imeanza tarehe 25 na inatarajia kumalizika tarehe 29 Mai, 2015.Baadhi ya washiriki wa mijadala ya Wiki ya Ukombozi wa Afrika inayofanyika katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam wakifuatilia mada mbalimbali zinazowa wasilishwa kwenye mjadala wa Wiki ya Ukombozi wa Afrika. Mijadala hiyo imeanza tarehe 25 na inatarajia kumalizika tarehe 29 Mai, 2015. Baadhi ya washiriki wa mijadala ya Wiki ya Ukombozi wa Afrika inayofanyika katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam wakifuatilia mada mbalimbali zinazowa wasilishwa kwenye mjadala wa Wiki ya Ukombozi wa Afrika. Mijadala hiyo imeanza tarehe 25 na inatarajia kumalizika tarehe 29 Mai, 2015.

BENKI YA CRDB YAKABIDHI HUNDI YA SH. MILIONI 20 KWA MEYA WA KINONDONI

May 26, 2015


 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akisaini kitabu cha wageni alipowasili ofisini kwa Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda, (katikati). Kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja, Tully Mwambapa. 
  Meya wa Manispaaya Kinondoni, Yusuf Mwenda (kushoto) akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei muda mufupi kabla hajakabidhi hundi ya sh. milioni 20 baada ya meya huyo kupata tuzo ya Meya Bora Afrika iliyotolewa na Rais Jose Eduardo do Santos wa Angola.
   Meya wa Manispaaya Kinondoni, Yusuf Mwenda (kushoto) akiambatana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei.
 Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja, Tully Mwambapa akizungumza katika hafla hiyo.
Meya wa Kinondoni, Yusuf Mwenda akiwa na Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Mussa Natty. 
 Dk. Charles Kimei akizungumza katika hafla ya kukabidhi hundi.
  Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akimkabidhi hundi ya sh. milioni 20 Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda zilizotolewa na benki hiyo baada ya  meya huyo kupata tuzo ya Meya Bora Afrika iliyotolewa na Rais Jose Eduardo do Santos wa Angola. Hafla hiyo ilifanyika leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Naibu Meya, Songoro Mnyonge.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akimkabidhi hundi ya sh. milioni 20 Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda zilizotolewa na benki hiyo baada ya  meya huyo kupata tuzo ya Meya Bora Afrika iliyotolewa na Rais Jose Eduardo do Santos wa Angola. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam.
 Meya wa Kinondoni Yusuf Mwenda akitoa shukrani zake kwa uongozi wa Benki ya CRDB kwa kutambua juhudi wanazofanya katika utendaji kazi na masuala ya usafi na ukusanyaji wa mapato.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles kimei akizungumza katika hafla hiyo.
 Meya wa Kinondoni Yusuf Mwenda akimsikiliza kwa makini Mkurugenzi wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei.
 Picha ya pamoja.
 Dk. Charles Kimei akimpongeza Meya wa Kinondoni kwa tuzo aliyopata.
 Picha ya pamoja.
 Dk. Charles Kimei akiambatana na Meya wa Kinondoni, Yusuf Mwenda (kushoto) na Naibu Meya, Songoro Mnyonge.
 Dk. Kimei akibadilishana mawazo na Meya wa Kinondoni.
Meya wa Kinondoni, Yusuf Mwenda akiagana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei.

MAANDALIZI YA UZINDUZI WA MANJANO FOUNDATION YAKAMILIKA

May 26, 2015
Wasichana waliochaguliwa kunufaika na Mpango hup wakiwa Katika Picha ya Pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa Shear illusions Ltd. Mama  Shekha Nasser .

Shear Illusions inasherehekea mwongo mmoja wa urembo nchini Tanzania kwa kuzindua vipodozi vyake ijulikanayo kama LuvTouch Manjano!
Uzinduzi huu utafanyika tarehe 31 Mei 2015 kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee VIP Hall. Shamrashamra hizi pia itatoa fursa kwa kuendeleza mtandao wa kibiashara kwa kina mama na pia mada mbali mbali ya jinsi ya kujikwamua kimaisha itatolewa. Bila ya kusahau mafunzo ya jinsi ya kutumia vipodozi.

Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda na mtoa mada mkuu atakuwa ni Balozi Mwanaidi Majaar.

Shear Illusions, imeweza kutambulisha urembo na muonekano wa mwanamke wa kitanzania kwa Zaidi ya miaka kumi. Wamebaisha urembo kuanzia kujipodoa, nywele, vipodozi na vito hadi blog na jarida inayoelezea masuala ya urembo. Baada ya kuuza bidhaa mbali mbali ya urembo toka nchi mbali mbali, Shear Illusions inazindua rasmi bidhaa yake ya LuvTouch Manjano.

LuvTouch Manjano ni maalum kwa ajili ya kumpendezesha mwanamke wa kitanzania. Kuna aina kumi ya vipodozi msingi kuanzia Mwanzi na Mpodo hadi kahawa na ardhi. Bidhaa hizi zimezingatia hali ya hewa ya joto. Vipodozi hivi vinalengo la kuongeza muonekano wako kwa hali yoyote.

Shear Illusions inazishukuru kampuni zifuatazo waliojitokeza kusaidia hafla hii ya kuwawezesha wanawake; NSSF, TCRA, Clouds Media, Maxcom, A1 Outdoor, Mr. Price, Cassandra Lingerie, Amina Design, Maznat Bridal, Advertising Dar, Beauty Point, Hugo Domingo, I-View Media, FAIDIKA, Benchmark Productions, Fasta Fasta, TENSHI, Jardin Modeling Agency na mashirika mbali mbali hapa Dar es Salaam.
 Afisa Mtendaji Mkuu wa Shear illusions Ltd. Mama  Shekha Nasser Katikati  akiongea na Vyombo vya Habari leo wakati akelezea Mandalizi ya Uzinduzi wa Manjano Foundation Ambao ni Mpango unaolenga kuwawezesha Kutoa Mafunzo ya Ujasiriamali kwa Wasichana wa Kitanzania.Mpango Uzinduzi huu utafanyika tarehe 31 Mei 2015 kuanzia saa 6 mchana kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee VIP Hall. Utatoa fursa kwa kuendeleza mtandao wa kibiashara kwa kina mama na pia mada mbali mbali ya jinsi ya kujikwamua kimaisha itatolewa. Bila ya kusahau mafunzo ya jinsi ya kutumia vipodozi..Mgeni Rasmi anategemewa Kuwa Mke wa Waziri Mkuu Mh Mama Tunu Pinda
 Meneja Mradi wa Manjano Foundation Mama Gugu Ndolvu Akieleza jambo leo wakati wakiongea na wanahabari kuhusu Mradi huo ambao ni Mkombozi kwa wakinamama wasio na Ajira Akiwa samabamba na Afisa Mtendaji Mkuu wa Shear illusions Ltd. Mama  Shekha Nasser  Pamoja na  Aunty Sadaka Gandi
 Aunty Sadaka Gandi akiwa ni dada mkuu wa Atakayewashauri wasichana watakaopata mafunzo ya ujasiriamali kupitia Manjano Foundation.