MENEJA Mkuu wa Hotel ya Tanga Beach Resort,Joseph Ngonyo akiwa ameshikilia tuzo mapema leo katika halfa ya kuwatunikia vyeti wafanyakazi bora wa mwezi wa sita katika hotel hiyo ambapo Tuzo hiyo alikabidhiwa na Rais wa shirikisho la Uhamasishaji wa biashara za hotel za Kimataifa hivi karibuni nchini Marekani.
Nafurahia tuzo
WAANDISHI wa habari Mkoa wa Tanga wakifanya mahojiano na Mfanyakazi bora wa mwezi wa sita katika Hotel ya Tanga Beach Resort kutoka Idara ya Mapokezi,Mariam Kimaro mapema leo huku akiwa ameshikilia tunzo ya dhahabu ambayo hotel hiyo ilitunikiwa na Shirikisho la uhamasishaji wa Biashara za hotel za Kimataifa .picha kwa hisani ya blog hii
Jamani tumeshinda Tuzo
MENEJA Mkuu wa Hotel ya Tanga Beach Resort,Joseph Ngonyo akiwa ameshikilia tuzo ya dhahabu ambayo hoteli hiyo ilipata kutoka shirikisho la uhamasishaji wa biashara za Hotel za Kimataifa akiwa na wafanyakazi bora wa mwezi wa tano hotelini hapo mapema leo mara baada ya kuwatunu vyeti vya uchapakazi nzuri wafanyakazi hao.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Juni 11, 2013
WAALGERIA KUCHEZESHA TAIFA STARS, IVORY COAST
Shirikisho
la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) limeteua waamuzi kutoka Algeria
kuchezesha mechi kati ya Taifa Stars na Ivory Coast itakayofanyika
Jumapili saa 9 alasiri kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Waamuzi
hao watakaochezesha mechi hiyo ya kundi C kuwania tiketi ya kucheza
fainali za Kombe la Dunia mwakani nchini Brazil wataongozwa na Charef
Mehdi Abid atakayepuliza filimbi. Atasaidiwa na Hamza Hammou na
Bouabdallah Omari wakati mezani atakuwa Sofiane Bousseter.
Abdi
na wezake wanatarajiwa kutua nchini Ijumaa (Juni 14 mwaka huu) saa 12
asubuhi kwa ndege ya EgyptAir. Mtathmini wa waamuzi ni Athanase Nkubito
kutoka Rwanda ambaye atatua nchini Ijumaa (Juni 14 mwaka huu) saa 12
jioni kwa ndege ya RwandAir.
Kamishna
wa mechi hiyo ni Bernard Mfubusa kutoka nchini Burundi ambapo atawasili
nchini Ijumaa (Juni 14 mwaka huu) saa 3.35 asubuhi kwa ndege ya Kenya
Airways. Maofisa wote hao wa mechi hiyo watarejea makwao Jumatatu (Juni
17 mwaka huu).
HATUA YA TATU RCL KUCHEZWA JUMAMOSI
Mechi
za kwanza za hatua ya tatu ya Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL) kuwania
nafasi tatu za kupanda Ligi Daraja la Kwanza (FDL) msimu ujao zitachezwa
Jumamosi (Juni 15 mwaka huu) wakati za marudiano zitachezwa Jumatano ya
Juni 19 mwaka huu.
Kamati
ya Mashindano ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imekutana
leo (Juni 11 mwaka huu) jijini Dar es Salaam kupitia ripoti za michezo
iliyopita na kufanya uamuzi mbalimbali ikiwemo mechi ya marudiano kati
ya Mpwapwa Stars na Machava FC ambayo haikuchezwa.
Machava
FC ambayo ilishinda mechi ya kwanza iliyochezwa mjini Moshi kwa mabao
2-0 inaendelea katika hatua ya tatu kwa vile haikuhusika katika
kukwamisha mchezo wa marudiano uliopangwa kuchezwa Uwanja wa Jamhuri
mjini Dodoma.
Chama
cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Dodoma (DOREFA) kiliuhamishia mchezo huo
kwenye Uwanja wa Mgambo mjini Mpwapwa kinyume na maelekezo ya Kamati ya
Mashindano ya TFF. Kamati katika kikao chake cha awali iliekeleza kuwa
mechi zote za RCL zitachezwa makao makuu ya mikoa isipokuwa kwa Morogoro
ambapo timu ya Techfort FC iliruhusiwa kutumia Uwanja wa CCM Mkamba
mjini Ifakara.
Hivyo
timu nane zilizofuzu kucheza raundi hiyo ni Friends Rangers ya Dar es
Salaam, Kariakoo ya Lindi, Katavi Warriors ya Katavi, Kimondo SC ya
Mbeya, Machava ya Kilimanjaro, Njombe Mji ya Njombe, Polisi Jamii ya
Mara na Stand United FC ya Shinyanga.
Wakati
timu nyingine zimefuzu kwa kushinda mechi zao za raundi ya mbili,
Njombe Mji imeingia hatua hiyo kwa kuwa timu yenye uwiano mdogo wa
kufungwa (best looser) katika hatua ya pili.
Katika
hatua hiyo mechi ni ifuatavyo; Kariakoo vs Friends Rangers, Machava FC
vs Stand United FC, Polisi Jamii vs Katavi Warriors, na Kimondo SC vs
Njombe Mji. Timu zilizoanza kutajwa ndizo zinazoanzia nyumbani.
Vilevile
Kamati ya Mashindano imeagiza Kamishna wa mechi ya marudiano kati ya
Mpwapwa Stars vs Machava FC, Mwijage Rugakingira wa Tanga ambaye
alikwenda Uwanja wa Mgambo badala ya Uwanja wa Jamhuri kinyume na
maelekezo ya TFF aondolewe kwenye orodha ya makamishna.
Pia
waamuzi wa mechi hiyo ambao nao walikwenda Mpwapwa badala ya Dodoma
Mjini wamepelekwa Kamati ya Waamuzi ya TFF kwa ajili ya kuchukuliwa
hatua kutokana na tukio hilo.
Kamati
ya Mashindano imekumbusha kuwa RCL ni mashindano yanayosimamiwa na TFF,
hivyo maelekezo yoyote kuhusiana na mashindano hayo pia yatatoka TFF na
si mahali pengine popote. Hivyo, msimamizi wa kituoa hana mamlaka ya
kubadili uwanja.
Hatua
ya nne ya RCL itachezwa kati ya Juni 23 na 23 mwaka huu wakati mechi za
marudiano zitachezwa kati ya Juni 29 na 30 mwaka huu.
Boniface Wambura
Ofisa Habari
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)
Umisseta Nation Competion Basketball Time table
MICHEZO YA 35 YA
UMISSETA TAIFA 2013
UMISSETA NATIONAL
COMPETITION
BASKETBALL
TIMETABLE-KIBAHA
NO
|
POOL (A)-BOYS
|
POOL(B) BOYS
|
POOL (A) GIRLS
|
POOL (B) GIRLS
|
1
|
ZIWA
|
NYANDA ZA JUU KUSINI
|
NYANDA ZAA JUU
|
MASHARIKI
|
2
|
MASHARIKI
|
NYANDA ZA JUU
|
ZANZIBAR
|
KUSINI
|
3
|
ZANZIBAR
|
DAR ES SALAAM
|
KASKAZINI/MAGH
|
KASKAZINI MASHARIKI
|
4
|
KASKAZINI MAGHARIBI
|
KATI
|
KATI
|
DAR ES SALAAM
|
5
|
MAGHARIBI
|
KASKAZINI
|
ZIWA
|
MAGHARIBI
|
6
|
ZIWA MAGHARIBI
|
KASKAZINI MASHARIKI
|
|
NYANDA ZA JUU KUSINI
|
DATE
|
TIME
|
GAME
|
GROUP
|
TEAM
|
GENDER
|
RESULTS
|
10/06/2013/MONDAY
|
14:30 HRS
|
1
|
B
|
MASHARIKI
VS DAR ES SALAAM
|
GIRLS
|
|
|
15:30 HRS
|
2
|
B
|
N/J/KUSINI
Vs NYANDA ZA JUU
|
BOYS
|
|
|
16:30 HRS
|
3
|
A
|
ZIWA
MAGHARIBI VS ZANZIBAR
|
BOYS
|
|
11/06/2013/TUESDAY
|
08:00 HRS
|
4
|
B
|
MASHARIKI
Vs KUSINI
|
GIRLS
|
|
|
09:00HRS
|
5
|
A
|
ZIWA Vs MASHARIKI
|
BOYS
|
|
|
10:00 HRS
|
6
|
A
|
ZANZIBAR Vs KASK. MAGHARIBI
|
GIRLS
|
|
|
11:00HRS
|
7
|
B
|
DAR ES
SALAAM Vs KATI
|
BOYS
|
|
12/06/2013 WEDNESDAY
|
08:00 HRS
|
8
|
B
|
KASK/MASHARIKI
Vs DAR ES SALAAM
|
GIRLS
|
|
|
09:00 HRS
|
9
|
A
|
ZANZIBAR Vs KASKAZINI MAGHARIBI
|
BOYS
|
|
|
10:00 HRS
|
10
|
A
|
KATI Vs ZIWA
|
GIRLS
|
|
|
11:00HRS
|
11
|
B
|
KUSINI Vs KASKAZINI MASHARIKI
|
BOYS
|
|
|
15:00 HRS
|
12
|
B
|
MAGHARIBI
Vs N/JUU KUSINI
|
GIRLS
|
|
|
16:30 HRS
|
13
|
A
|
MAGHARIBI
Vs ZIWA MAGHARIBI
|
BOYS
|
|
13/6/2013 THURSDAY
|
08:00 HRS
|
14
|
B
|
N/JUU
KUSINI Vs KATI
|
BOYS
|
|
|
09:00 HRS
|
15
|
A
|
ZIWA Vs ZANZIBAR
|
BOYS
|
|
|
10:00 HRS
|
16
|
A
|
KATI Vs NYANDA ZA JUU
|
GIRLS
|
|
|
11:00HRS
|
17
|
B
|
NYANDA ZA
JUU Vs KASK/MASHARIKI
|
BOYS
|
|
|
15:00 HRS
|
18
|
B
|
KUSINI Vs
N/JUU KUSINI
|
GIRLS
|
|
|
16:30 HRS
|
19
|
A
|
MAGHARIBI
Vs MASHARIKI
|
BOYS
|
|
14/6/2013/FRIDAY
|
08:00 HRS
|
20
|
A
|
ZIWA Vs KASKAZINI MAGHARIBI
|
GIRLS
|
|
|
09:00 HRS
|
21
|
B
|
DAR ES
SALAAM Vs KUSINI
|
BOYS
|
|
|
10:00 HRS
|
22
|
B
|
KASKAZINI
MASHARIKI Vs MAGHARIBI
|
GIRLS
|
|
|
11:00HRS
|
23
|
A
|
ZIWA
MAGH. Vs KASK/MAGHARIBI
|
BOYS
|
|
|
15:00 HRS
|
24
|
B
|
N/JUU
KUSINI Vs KASKAZINI MASH.
|
BOYS
|
|
|
16:30 HRS
|
25
|
B
|
MASHARIKI
Vs N/JUU KUSINI
|
GIRLS
|
|
15/6/2013/SATURDAY
|
08:00 HRS
|
26
|
A
|
ZIWA Vs MAGHARIBI
|
BOYS
|
|
|
09:00 HRS
|
27
|
A
|
ZIWA Vs ZANZIBAR
|
GIRLS
|
|
|
10:00 HRS
|
28
|
B
|
KATI Vs KUSINI
|
BOYS
|
|
|
11:00HRS
|
29
|
B
|
DAR ES
SALAAM Vs MAGHARIBI
|
GIRLS
|
|
|
15:00 HRS
|
30
|
A
|
KASK
/MAGHARIBI Vs NYANDA ZA JUU
|
GIRLS
|
|
|
16:30 HRS
|
31
|
B
|
NYANDA ZA
JUU Vs DAR ES SALAAM
|
BOYS
|
|
16/6/2013/SUNDAY
|
08:00 HRS
|
32
|
B
|
KUSINI Vs KASK/MASHARIKI
|
GIRLS
|
|
|
09:00 HRS
|
33
|
A
|
KASK/MAGHARIBI
Vs MASHARIKI
|
BOYS
|
|
|
10:00 HRS
|
34
|
B
|
N/JUU
KUSINI Vs KUSINI
|
BOYS
|
|
|
11:00HRS
|
35
|
A
|
ZIWA Vs ZIWA MAGHARIBI
|
BOYS
|
|
|
15:00 HRS
|
36
|
A
|
KASK/MAGHARIBI
Vs KATI
|
GIRLS
|
|
|
16:30 HRS
|
37
|
B
|
KASK/MASHARIKI
Vs DAR ES SALAAM
|
BOYS
|
|
17/6/2013/MONDAY
|
08:00 HRS
|
38
|
B
|
N/JUU
KUSINI Vs KASKAZINI MASH.
|
GIRLS
|
|
|
09:00 HRS
|
39
|
A
|
KASK/MAGHARIBI
Vs
MAGHARIBI
|
BOYS
|
|
|
10:00 HRS
|
40
|
A
|
NYANDA ZA
JUU Vs ZANZIBAR
|
GIRLS
|
|
|
11:00HRS
|
41
|
B
|
KATI Vs
NYANDA ZA JUU
|
BOYS
|
|
|
15:00 HRS
|
42
|
B
|
DAR ES
SALAAM Vs KUSINI
|
GIRLS
|
|
|
16:30 HRS
|
43
|
A
|
MASHARIKI
Vs
ZANZIBAR
|
BOYS
|
|
18/06/2013/TUESDAY
|
08:00 HRS
|
44
|
B
|
MASHARIKI
Vs MAGHARIBI
|
GIRLS
|
|
|
09:00 HRS
|
45
|
B
|
N/JUU
KUSINI Vs DAR ES SALAAM
|
BOYS
|
|
|
10:00 HRS
|
46
|
B
|
MASHARIKI
Vs KASKAZIKI MASHARIKI
|
GIRLS
|
|
|
11:00HRS
|
47
|
A
|
ZIWA Vs KASKAZINI MAGHARIBI
|
BOYS
|
|
|
15:00 HRS
|
48
|
A
|
NYANDA ZA
JUU Vs ZIWA
|
GIRLS
|
|
|
16:30 HRS
|
49
|
B
|
KUSINI Vs NYANDA ZA JUU
|
BOYS
|
|
19/06/2013/WEDNESDAY
|
08:00 HRS
|
50
|
B
|
MAGHARIBI
Vs KUSINI
|
GIRLS
|
|
|
09:00 HRS
|
51
|
A
|
MASHARIKI
Vs ZIWA MAGHARIBI
|
BOYS
|
|
|
10:00 HRS
|
52
|
A
|
ZANZIBAR Vs KATI
|
GIRLS
|
|
|
11:00HRS
|
53
|
B
|
KASK/MASHARIKI
Vs KATI
|
BOYS
|
|
|
15:00 HRS
|
54
|
B
|
N/JUU
KUSINI Vs DAR ES SALAAM
|
GIRLS
|
|
|
16:30 HRS
|
55
|
A
|
ZANZIBAR Vs MAGHARIBI
|
BOYS
|
|
20/06/2013/THURSDAY
|
08:00HRS
|
56
|
|
SEMI –
FINALS-
WINNER A1
VS B2
|
GIRLS
|
|
|
10:00HRS
|
57
|
|
B1 VS A2
|
BOYS
|
|
|
14:00 HRS
|
58
|
|
A1 VS
B2
|
BOYS
|
|
|
16:00 HRS
|
59
|
|
B1
VS A2
|
GIRLS
|
|
21/06/2013/FRIDAY
|
08:00 HRS
|
60
|
|
3RD
PLAY OFF
LOOSER
NO. 61 Vs 64
|
GIRLS
|
|
|
09:00 HRS
|
61
|
|
LOOSER
NO. 62 Vs 63
|
BOYS
|
|
|
14:00 HRS
|
62
|
|
FINALS
WINNER NO. 61 Vs 64
|
GIRLS
|
|
|
16:00 HRS
|
63
|
|
WINNER
NO. 62 Vs 63 FINAL
|
BOYS
|
|
22/06/2013/SURTDAY
|
10:00 HRS
|
00000
|
|
OFFICIALS VS TEACHERS
|
MEN&
WOMEN
|
|
|
|
|
|
CLOSING THE GAMES
|
|
|
Subscribe to:
Posts (Atom)