Meneja
wa Tawi la Benki ya Posta Zanzibar Ndg Justin S.Nandonde akisalimiana
na kumkaribisha wageni wake walipotembelea Tawi hilo Zanzibar kujionea
utendaji wa Benki ya Posta Tawi la Zanzibar wakiwa katika ziara yao
Zenj.
MKURUGENZI
Mtendaji wa Benki ya Posta Tanzania Ndg. Sabasaba Moshingi, akitowa maelezo ya
Ujumbe wa Maofisa wa Benki wa Umija wa Mabenki Duniani Kanda ya Afrika,
walipotembelea Benki ya Posta tawi la Zanzibar.
Mtendaji wa Benki ya Posta Tanzania Ndg. Sabasaba Moshingi, akitowa maelezo ya
Ujumbe wa Maofisa wa Benki wa Umija wa Mabenki Duniani Kanda ya Afrika,
walipotembelea Benki ya Posta tawi la Zanzibar.
Wajumbe
wa Mkutano wa Wanachama wa Umoja wa Mabenki Duniani na Kanda ya Afrika
wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Posta Tanzania wakati
walipofika Tawi la Benki ya Posta Zanzibar,
MKURUGENZI
Mtendaji wa Benki ya Posta Tanzania Ndg. Sabasaba Moshingi, akitowa maelezo ya
Ujumbe wa Maofisa wa Benki wa Umija wa Mabenki Duniani Kanda ya Afrika,
walipotembelea Benki ya Posta tawi la Zanzibar
Mtendaji wa Benki ya Posta Tanzania Ndg. Sabasaba Moshingi, akitowa maelezo ya
Ujumbe wa Maofisa wa Benki wa Umija wa Mabenki Duniani Kanda ya Afrika,
walipotembelea Benki ya Posta tawi la Zanzibar
Mkurugenzi
wa Tekohama na Uendeshaji wa Benki ya Posta Tanzania Ndg Jema Msuya
akitowa maelezo ya kiufundi kwa ujumbe huo.walipotembelea Benki ya Posta
Tawi la Zanzibar Mchangani
Meneja
wa Benki ya Posta Tawi la Zanzibar Ndg. Justin SNdandonde akitowa
maelezo kwa ujumbe huo ulipotembelea Tawi hilo na kuagalia ufanisi wa
huduma za Benki hiyo kwa wateja wao
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya Posta Tanzania Ndg Sabasaba Moshingi akiwa na
wakeni wake wakitoka katika moja ya sehemu ya historia ya Kanisa la
Mkunazi Zanzibar.
Mtembeza Watalii katika Mji Mkongwe seif Ali akitowa maelezo kwa Ujumbe huwa sehemu za historia za Mji Mkongwe wa Zanzibar.
Maofisa
wa Umoja wa Benki za Akiba Duniani Kanda ya Afrika wakiwa katika ziara
yao katika mji mkongwe na kupata kuonja Ubuyu wa Kwaissa sokomuhugo Zenj
wakiwa katika ziara ya siku mbili Zanzibar baada ya kumaliza Mkutano
wao Dar.
Mtembeza
Watalii Zenj akitowa maelezo kwa Ujumbe huo wa Maofisa wa Mabenki ya
Akiba wakiwa katika ziara yao kutembelea sehemu za historia za mji
Mkongwe Zanzibar wakipata maelezo ya Mlango wa Zanzibar