Ziara ya Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC mikoani

Ziara ya Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC mikoani

January 27, 2015

New Picture (4) 
Ujumbe wa Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu wakikagua eneo lililotengwa kwa ajili ya NHC kujenga nyumba za gharama nafuukatika Halmashauri ya Wilaya Serengeti-Mugumu. Eneo hili lina ekari 134 na miundombinu ya maji na umeme.
New Picture (5) 
Afisa Mipango Miji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mugumu Serengeti akimuonyesha Mkurugenzi Mkuu wa NHC ramani ya mpango Miji inayoonyesha eneo la NHC la kujenga nyumba za gharama nafuu.
New Picture (6)Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu akiongea na kikundi cha vijana Wilayani Serengeti waliyosaidiwa mashine na NHC kwa ajili ya kujiajiri kupitia utengenezaji wa matofali yanayofungamana
New Picture (7)Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu na ujumbe wake wakikagua jingo la biashara lililojengwa na NHC eneo la Mukendo Musoma.
New Picture (8)Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu akitoa maelekezo ya matumizi bora ya dari la jengo la biashara la Mukendo lililojengwa na NHC katika Manispaa ya Musoma ili kuongeza mapato ya Shirika.
New Picture (9)Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu akikagua ujenzi wa nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na NHC eneo la Buhare Musoma. Jumla ya nyumba 50 zinatarajiwa kukamilika Julai 2015.
New Picture (10) 
Vijana wakishiriki kujenga misingi ya nyumba za gharama nafuu eneo la Buhare Manispaa ya Musoma
New Picture (11)Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu akijadili namna ya kuongeza ubora wa nyumba za gharama nafuu zinazojengwa na NHC katika maeneo mbalimbali nchini. Amesisitiza kupunguza gharama ya ujenzi ili nyumba zinazojengwa ziwe nafuu.
New Picture (12)Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu na ujumbe wake walipotembelea Wilayani Tarime kujionea nyumba za gharama nafuu zilizojengwa na NHC mwaka 1968 na ambazo hadi hivi sasa zinasaidia familia mbalimbali. Nyumba hizi ni za vyumba viwili na zilipewa Halmashauri hiyo mwaka 1991.
New Picture (13) 
Ujumbe wa Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu ukiwa eneo la Isibania nchini Kenya kujionea namna nchi hiyo ilivyopanga eneo lao la mpakani.
New Picture (14) 
Ujumbe wa Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu ukiwa eneo la Sirari kuona eneo la kujenga nyumba ili kuboresha taswira ya mpaka wa nchi yetu. Ujumbuliongozwa na Maafisa Ardhi wa Wilaya ya Tarime.
New Picture (15)Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu na ujumbe wake pamoja naongozi wa Wilaya ya Butiama wakikagua eneo lililotengwa na Wilaya hiyo ili NHC ijenge nyumba za gharama nafuu. Bw. Mchechu amesisitiza kuwa NHC itajenga nyumba katika Wilaya hiyo ili kuenzi mchango wa Mwalimu Nyerere wa kulianzisha Shirika la Nyumba la kwanza nchini Tanzania mwaka mmoja tu baada ya uhuru.
New Picture (17) 
Ujumbe wa Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Kyando Mchechu ukiangalia mnara wa kumbukumbu ya mahali ambapo ilikuwepo nyumba aliyozaliwa Baba wa Taifa.
New Picture (18)

RC MAGALULA AKARIBISHWA RASMI TANGA BEACH HOTEL,APEWA CHETI,AHAIDI KUWA BALOZI MZURI

January 27, 2015
MKURUGENZI WA HOTEL YA TANGA BEACH RESORT (CO) HAMIS KINDOROKO  KUSHOTO AKIMKABIDHI CHETI MKUU WA MKOA WA TANGA,SAIDI MAGALULA IKIWA NI KUMKARIBISHA RASMI KWENYE HOTEL HIYO WANAOSHUHUDIA NI VIONGOZI MBALIMBALI WA MKOA WA TANGA.

MKUU WA MKOA WA TANGA,SAIDI MAGALULA AKIONYESHA CHETI AKICHOTUNIKIWA NA HOTELI YA TANGA BEACH RESORT IKIWA NI KUMKARIBISHA KWENYE HOTEL HIYO KUSHOTO NI MKURUGENZI MTENDAJI WA HOTEL HIYO,HAMIS KINDOROKO NA KULIA NI KATIBU WA CHAMA CHA MAPINDUZI MKOA WA TANGA,SHIJA OTHUMANI

MKURUGENZI WA TANGA BEACH RESORT,HAMIS KINDOROKO KUSHOTO AKIMPONGEZA RC MAGALULA MARA BAADA YA KUMKABIDHI CHETI HICHO WANAOSHUHUDIA KULIA NI MEYA WA JIJI LA TANGA,OMARI GULEDI NA KUSHOTO NI KATIBU WA CHAMA CHA MAPINDUZI MKOA WA TANGA,OTHUMANI SHIJJA.

MKURUGENZI WA TANGA BEACH RESORT KULIA AKISALIMIANA NA KATIBU WA CHAMA CHA MAPINDUZI MKOA WA TANGA,OTHUMANI SHIJJA WAKATI WA HALFA HIYO WANAOSHUHUDIA KUSHOTO NI MKUU WA MKOA WA TANGA,SAIDI MAGALULA NA KULIA NI MSTAHIKI MEYA WA JIJI LA TANGA,OMARI GULEDI

MKUU WA MKOA WA TANGA,SAID MAGALULA AKIKATA KEKI ILIYOANDALIWA MAALUMU KWA AJILI YAKE AKIWA NA VIONGOZI WA HOTEL YA TANGA BEACH RESORT ,SERIKALI NA CHAMA CHA MAPINDUZI

RC MAGALULA AKIUSHUKURU UONGOZI WA HOTEL YA TANGA BEACH RESORT KWA KUMFANYIA TAFRIJA HIYO YA KUMKARIBISHA ANAYEFUATIA NI KATIBU TAWALA WA MKOA WA TANGA,SALUM CHIMA

MKUU WA MKOA WA TANGA,SAIDI MAGALULA AKIZUNGUMZA NA VIONGOZI WA HOTEL YA TANGA BEACH RESORT KABLA YA HAFLA HIYO YA KUMPONGEZA ILIYOFANYIKA KWENYE HOTEL HIYO LEO

MKUU WA MKOA WA TANGA,SAIDI MAGALULA AKIAGANA NA KAIMU MKUU WA WILAYA YA TANGA,MBONI MGAZA AMBAYE PIA NI MKUU WA WILAYA YA MKINGA ANAYESHUHUDIA KULIA NI MENEJA MKUU WA HOTEL HIYO JOSEPH NGOYO
MKUU WA MKOA WA TANGA,SAID MAGALULA AKIFURAHIA JAMBO NA MENEJA MKUU WA HOTEL YA TANGA BEACH RESORT JOSEPH NGOYO MARA BAADA YA KUMALIZIKA HALFA HIYO ILIYOFANYIKA LEO KWENYE VIWANJA VYA HOTEL HIYO