Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akisalimiana na Spika Mstaafu Mhe Pius Msekwa huku Spika Mstaafu
mwingine Mhe Anne Makinda akisubiri zamu yake muda mfupi baada ya
kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba
20, 2015
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na mmoja wa wabunge muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Marais wastaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Mhe. Benjamin William Mkapa muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akisikiliza kwa unyenyekevu mawaidha toka kwa Rais Mstaafu wa Awamu ya
Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua
rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa na Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein, Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe Pandu Ameir Kificho muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015

wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na
Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa wakijichanganya na wabunge
kwenye mchapalo muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la
11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Kiongozi Mkuu
wa Chama cha ACT-Wazalendo Mhe Zitto Kabwe muda mfupi baada ya kuhutubia
na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza Mhe Anthony Diallo muda
mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma
Jumamosi Novemba 20, 2015
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akisalimiana na Mama Shadya Karume na MAma Khadija Mwinyi muda mfupi
baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi
Novemba 20, 2015
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akiongea na wabunge na wageni waalikwa kwenye mchapalo muda mfupi baada
ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba
20, 2015. Ni hapo alipoamuru kwamba zaidi ya shilingi milioni 200
zilizochangwa na wafadhili kwa ajili ya mchapalo huo zitumike kwa
kununulia vitanda vya wagonja katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akimshukuru na kumkabidhi cheti mwakilishi wa Benki kwa mchango wao
kwenye mchapalo muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la
11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akimshukuru na kumkabidhi cheti Mkurugenzi Mkuu wa PPF Bw. William Erio
kwa mchango wao kwenye mchapalo muda mfupi baada ya kuhutubia na
kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akimshukuru na kumkabidhi cheti Mkurugenzi Mkuu wa PSPF Bw.Adam Mayingu
kwa mchango wao kwenye mchapalo muda mfupi baada ya kuhutubia na
kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akimshukuru na kumkabidhi cheti Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB
Mama Ineke Bussemaker kwa mchango wao kwenye mchapalo muda mfupi baada
ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba
20, 2015.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akimshukuru na kumkabidhi cheti Mwakilishi wa NSSF kwa mchango wao
kwenye mchapalo muda mfupi baada ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la
11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akimshukuru Spika Job Ndugai wakati anaondoka baada ya kuhutubia na
kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi Novemba 20, 2015.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
akipozi na badhi ya mabalozi wa nchi za Kiafrika waliokaribishwa kwenye
hafla ya kuhutubia na kuzindua rasmi Bunge la 11 mjini Dodoma Jumamosi
Novemba 20, 2015.Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli
katika picha ya pamoja na viongozi wakuu na wabunge muda mfupi baada ya