Rais Kikwete ashiriki mazishi ya Mtoto wa Jaji Mkuu mjini Tanga

Rais Kikwete ashiriki mazishi ya Mtoto wa Jaji Mkuu mjini Tanga

August 26, 2015

1
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Jaji Mkuu Mhe.Mohamed Chande Othman kufuatia kifo cha mwanaye Said Mohamed Chande wakati Rais alipokwenda Chumbageni Tanga kuhudhuria mazishi ya marehemu.
2
Jaji Mkuu Mhe.Mohamed Chande Othman akiweka udongo katika kaburi la mwanaye Said Mohamed Chande wakati wa mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya Chumbageni Tanga leo jioni.
3
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo katika kaburi la Marehemu Said Mohamed Chande wakati ya mazishi yaliyofanyika katika eneo la Chumbageni Tanga leo.Marehemu Said ni Mtoto wa Jaji Mkuu Mhe.Mohamed Chande Othman.
4
Makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal akiweka udongo katika kaburi la mrehemu Said Mohamed Chande wakati wa mazishi yaliyofanyika huko Chumbageni Tanga.
5
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Makamu wa Rais Dkt.Mohamed Gharib Bilal,Jaji Mkuu Mhe.Mohamed Chande Othman wakiomba dua wakati wa mazishi ya marehemu Said Mohamed Chande ambaye ni mtoto wa jaji mkuu yaliyofanyika katika makaburi ya familia huko Chumbageni Tanga leo.
6
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiifariji familia ya Jaji Mkuu Mhe.Mohamed Chande Othman(aliyesimama pembeni ya Rais) kufuatia kifo cha mwanaye Said Mohamed Chande mjini Tanga.
(picha na Freddy Maro).
Rais Kikwete afungua Mkutano wa Chama Cha Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki

Rais Kikwete afungua Mkutano wa Chama Cha Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki

August 26, 2015

 x2
Rais Kikwete akifungua Mkutano  wa siku tatu wa Chama Cha Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki unaofanyika katika Hoteli ya Malaika Beach Resort Mwanza.
x3
Baadhi ya washiriki wa Mkuano huo.
x1
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa mkutano wa Chama Cha Majaji na Mahakimu wa Afrika Mashariki.
(Picha na Freddy Maro)

SERIKALI YASAINI MKATABA WA ZAIDI YA SH.BILIONI 442 KUIMARISHA SEKTA YA AFYA NCHINI

August 26, 2015


 Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM na Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda akimtambulisha mgombea Urais wa CCM Dk. John Pombe Magufuli kwa wakazi wa Sumbawanga mjini kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika ndani ya uwanja wa Nelson Mandela jioni ya leo.
   Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Sumbawaga mjini mkoani Rukwa,ndani ya Uwanja wa Nelson Mandela kwenye mkutano wa kampeni,pichani nyuma ni Waziri Mkuu Pinda akishuhudia tukio hilo.
   Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia umati wa wakazi wa Sumbawanga mjini kwenye mkutano wa kampeni ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa atawatumikia kwa nguvu zake zote, na hatokuwa na simile kwa watendaji wazembe.

Wananchi wa Sumbawanga mjini wakiwa wamefurika ndani ya uwanja wa Nelson Mandela wakimsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa chama cha CCM Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akimwaga sera kwa wananchi
Wananchi wa Sumbawanga mjini waliokuwa wamefurika kwenye uwanja wa Nelson Mandela jioni ya leo kwenye mkutano wa kampeni ambapo Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli aliwahutubia.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM,Mh.Pinda akimtambulisha Dkt Magufuli kwa wananchi wa Kata ya Majimoto,wilaya ya Mlele mkoani Katavi kwenye mkutano wa Kampeni.
Umati wa wananchi wa Kitai wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa wakimsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha CCM Dkt John Pombe Magufuli lipokuwa akiwahutubia jioni ya leo kwenye mkutano wa Kampeni.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha CCM Dkt John Pombe akisisitiza jambo alipokuwa akiwahutubia wakazi wa kijiji cha Maji moto wilayani Mlele mkoani Katavi.
Umati wa wananchi wa Namanyere walayani Nkasi mkoani Rukwa wakiwa wamefurika wakimsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha CCM Dkt John Pombe Magufuli lipokuwa akiwahutubia jioni ya leo kwenye mkutano huo wa Kampeni
  Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa Nelson Mandela ,Sumbawanga mjini tayari kuwahutubia wakazi wa mji huo.
ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA MAJI AMOS MAKALLA KATIKA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO YA UJENZI WA MAJI MKOA WA DAR ES SALAAM

ZIARA YA NAIBU WAZIRI WA MAJI AMOS MAKALLA KATIKA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO YA UJENZI WA MAJI MKOA WA DAR ES SALAAM

August 26, 2015


????????????????????????????????????
Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla (kushoto) akisalimiana na Kaimu Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka (DAWASA), Mary Mtukula alipowasili katika eneo la Mtambo wa Ruvu juu Darajani Wilayani Bagamoyo Mkoa wa Pwani Agosti 25, 2015 wakati wa ziara ya siku tatu ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa miradi ya maji katika mkoa wa Dar es Salaam ambapo miradi hiyo inasimamiwa na Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka (DAWASA).
14
Ujenzi uifadhi wa pampu ukiendelea.
IMG_2598
Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla akikagua moja ya transfoma ya umeme kwaajili ya kuongeza uwezo wa utendaji kazi wa mashine mpya zitakazo fungwa,Waziri Amos Makalla anafanya ziara siku tatu ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa miradi ya maji katika mkoa wa Dar es Salaam ambapo miradi hiyo inasimamiwa na Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka (DAWASA).
????????????????????????????????????
Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla akipata maelezo kutoka kwa Meneja Usimamizi Uendeshaji na Mazingira DAWASA, Modesta Mushi kuhusiana na upanuzi wa mtambo wa kuongeza uzalishaji kutoka mita za ujazo 82,000 hadi 196,000 kwa siku.
????????????????????????????????????
Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla akiwa ameongozana na wakandarasi wa miradi na maofisa kutoka Wizara ya maji. wakikagua ujazo wa maji ruvu Darajani.
????????????????????????????????????
Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla pamoja na wakandarasi wa miradi na maofisa kutoka Wizara ya maji. wakikagua wakiangalia kina cha maji kilipofikia.
????????????????????????????????????
Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla (wa pili kushoto) akiwa ameongozana na Meneja mradi wa Kampuni ya WABAG kutoka India. Pintu Dutta (watatu kulia) Kaimu Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka (DAWASA), Mary Mtukula, Injinia Masudi Omari, Meneja Usimamizi Uendeshaji na Mazingira DAWASA, Modesta Mushi wakikagua maendeleo ya mradi wa kituo cha kusafisha maji cha ruvu juu .

UZINDUZI MRADI WA MAJI SAFI NA SALAMA PEMBA

August 26, 2015


 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maji (ZAWA) dkt.Nustafa Ali Garu akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapiduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipofika kuzindua mradi wa Maji safi na salama na uhifadhi mazingira katika kijiji cha Taif Wete unaofadhiliwa na Benki yaMaendeleo ya Afrika (ADB) katika Mkoa wa kaskazini Pemba 
 Wanafunzi wa Skuli Sekondari na msingi katika Wilaya ya Wete wakiwa katika sherehe za uzinduzi wa mradi wa Maji safi na salama na uhifadhi mazingira katika kijiji cha Taif Wete unaofadhiliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) katika Mkoa wa kaskazini Pemba
 Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar walioungana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapiduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika sherehe za uzinduzi wa Mradi wa Maji safi na salama katika kijiji cha Taif Wete Pemba,ambao unafadhiliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) wakiangalia ratiba ya sherehe hiyo 
 Baadhi ya Viongozi mbali mbali  na wageni wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapiduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake leo katika sherehe za uzinduzi wa Mradi wa Maji safi na salama katika kijiji cha Taif Wete Pemba,ambao unafadhiliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB)
 Baadhi ya Viongozi na Maafisa mbali mbali  wa Idara za Serikali  wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapiduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipkuwa akitoa hutuba yake leo katika sherehe za uzinduzi wa Mradi wa Maji safi na salama katika kijiji cha Taif Wete Pemba,ambao unafadhiliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB)

  Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji wakijipanga wakati wa mapokezi ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati alipofika kuzindua mradi wa Maji safi na salama na uhifadhi mazingira katika kijiji cha Taif Wete unaofadhiliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB) katika Mkoa wa kaskazini Pemba

NAIBU WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NA WATOTO AFUNGUA KONGAMANO LA WADAU WA FAMILIA

August 26, 2015


 Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii , Jinsia na Watoto Mhe.Dkt  Pindi Chana (Mb) akiangalia baadhi ya machapisho yanayohusiana mbinu za malezi na makuzi ya watoto kabla ya kufungua semina ya siku mbili ya matokeo ya utafiti wa malezi na makuzi ya familia nchini iliyofanyika Hotel Protea Courtyard, jijini Dar es salaam.
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii  Jinsia na Watoto  (Mhe. Dkt  Pindi Chana (Mb) akifungua rasmi   Kongamano la siku mbili la wadau wa familia wanaokutana kupokea matokeo ya utafiti wa malezi na makuzi ya watoto katika familia lililofanyika hotel Protea jijini Dar es salaam, tarehe 26/8/2015.
Kauli mbiu ni ‘FAMILI BORA TAIFA IMARA AULI MBIU’.
Kulia; Naibu Waziri Mhe.Dkt  Pindi Chana (Mb)akisikiliza maelezo ya utangulizi ya Kongamano la Utafiti wa Malezi na Makuzi  ya Watoto katika Familia (kushoto) ni Kaimu Katibu Mkuu  wa wizara hiyo Bibi Nuru Millao aliyeongozana na Mhe. Naibu Waziri katika ufunguzi wa kongamano la kitaifa la familia katika hotel ya Protea, jijini Dar es salaam tarehe 26/8/2015
 Baadhi ya washiriki wa Kongamano la Utafiti wa Malezi na Makuzi ya Watoto katika Familia wakifuatilia kwa makini hotuba ya ufunguzi iliyotolewa na Mhe. Dkt. Pindi Chana (MB hayupo pichani) katika Hotel ya Protea Courty yard jijini Dar es salaam tarehe 26/08/2015.

MGOMBEA MWENZA WA URAIS KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI(CCM) SAMIA SULUHU HASSAN AWANADI WAGOMBEA UBUNGE WA MAJIMBO YA MKOA WA KILIMANJARO.

August 26, 2015

Mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais kupitia Chama cha Mapinduzi ,Samia Suluhu Hassan alipowasili uwanja wa Majengo mjini Moshi kwa ajili ya mkutano wake wa kampeni wa hadhara.

Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakiwa katika mkutano wa kampeni ya Mgombea Mwenza wa Chama cha Mapinduzi alifanya mkutano wake katika uwanja wa Majengo mjini Moshi.


Mgombea Mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi,Samia Suluhu Hassan akiwatambulisha wagombea Ubunge katika majimbo matatu ya Moshi mjini (Dais Mosha),Vunjo(Innocent Shirima)na Moshi vijijini (Dkt Cyril Chami).
Mgombea Ubunge jimbo la Vunjo ,Innocent Shirima akizungumza wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya Majengo mjini Moshi.
Mgombea Mwenza wa Urais ,Samia Suluhu Hassan akimtamburisha mgombea Ubunge katika jimbo la Moshi mjini ,Davis Mosha wakati akimuombea kura wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Majengo mjini Moshi.
Mgombea Mwenza wa Urais ,Samia Suluhu Hassan akimtamburisha mgombea Ubunge katika jimbo la Moshi vijijini Dkt Cyril Chami wakati akimuombea kura wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Majengo mjini Moshi.
Mgombea Mwenza wa Urais ,Samia Suluhu Hassan akimtamburisha mgombea Ubunge katika jimbo la Vunjo ,Innocent Shirima wakati akimuombea kura wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Majengo mjini Moshi.
Mgombea Ubunge katika jimbo la Moshi mjini,Davis Mosha akizungumza katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Urais ,Samia Suluhu Hassan aliyeanzia kampeni zake mkoani Kilimanjaro.

Mgombea Mwenza wa Urais,Samia Suluhu Hassan akizungumza katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Majengo mjini Moshi.


Wagombea Ubunge wa majimbo ya Moshi mjini,Vunjo na Moshi vijijini wakisikiliza kwa makini hotuba ya mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais,Samia Suluhu Hassan katika uwanja wa majengo mjini Moshi.
Baadhi ya wanachama wa Chaa cha Mapinduzi  katika mkutano ho.
Wagombea wa nafasi ya Udiwani katika jimbo la Moshi mjini.
Baadhi ya wanachama wa chama cha Mapinduzi.
Mgombea Udiwani kata ya Miembeni ,Bw Juma ,akizungumza kwa niaba ya madiwani wenzake.
Baadhi ya wanachama wa CCM mkoa wa Kilimnajrao,

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.