PROF. MBARAWA AKAGUA UJENZI WA BARABARA YA KIBONDO-NYAKANAZI

PROF. MBARAWA AKAGUA UJENZI WA BARABARA YA KIBONDO-NYAKANAZI

October 13, 2016


Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa akiongea na wakazi wa Kanyonza Wilaya ya Kakonko Mkoani Kigoma, alipokagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya Kibondo-Nyakanazi yenye urefu wa KM 50.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (wa tatu kulia) akimsikiliza Mkandarasi wa Kampuni ya Ujenzi ya Nyanza (kulia), inayojenga barabara ya Kibondo-Nyakanazi yenye urefu wa KM 50 mkoani Kigoma. Kushoto ni Meneja wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), Mkoa wa Kigoma Eng. Narcis Choma.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, akiangalia nodo zinazoshikilia moja ya madaraja yanayojengwa katika barabara ya Kibondo-Nyakanazi yenye urefu wa KM 50 mkoani Kigoma.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, akitoka kukaguzi wa moja ya madaraja yanayojengwa kwenye barabara ya Kibondo-Nyakanazi yenye urefu wa KM 50 mkoani Kigoma.

RAIS DKT MAGUFULI NA WAZIRI MKUU MAJALIWA WAKUTANA NA KIONGOZI MKUU WA DAWOODI BOHORA DUNIANI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

October 13, 2016


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Kiongozi Mkuu wa Jumuiya ya Dawoodi Bohora duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 13, 2016
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Kiongozi Mkuu wa Jumuiya ya Dawoodi Bohora duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 13, 2016
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Kiongozi Mkuu wa Jumuiya ya Dawoodi Bohora duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 13, 2016
 Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akisalimiana na Kiongozi Mkuu wa Jumuiya ya Dawoodi Bohora duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 13, 2016
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wakiongea na Kiongozi Mkuu wa Jumuiya ya Dawoodi Bohora duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 13, 2016
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Kiongozi Mkuu wa Jumuiya ya Dawoodi Bohora duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin na ujumbe wake wakimsikiliza Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akiongea jambo Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 13, 2016