March 06, 2014

WAKULIMA NCHINI KUSHIRIKI MKUTANO NA MAONESHO YA KIMATAIFA YA KILIMO APRIL MWAKA HUU

1Mratibu wa Mkutano na Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo kutoka Kampuni ya Bizfora Investment Co. Ltd, Dk.Ellen Otara-Okoedian akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam leo kuhusu mkutano na maeonesho hayo yatakayofanyika kuanzia tarehe 10 April mwaka huu kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini hapa.Kulia ni Meneja Maonesho na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano wa kampuni John Matiko.Picha na Hussein Makame-MAELEZO. 2Meneja Maonesho na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano wa kampuni ya Bizfora Investment Co. Ltd, John Matiko, akiwaeleza jambo wanahabari (hawapo pichani) kuhusu Mkutano na Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo yatakayofanyika kuanzia tarehe 10 April mwaka huu kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini hapa. Kulia ni Mratibu wa Mkutano na Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo kutoka Kampuni ya Bizfora Investment Co. Ltd, Dk.Ellen Otara-Okoedian. Picha na Hussein Makame-MAELEZO. 3Baadhi ya wanahabari wakimsikiliza Meneja Maonesho na Teknolojia ya Habari na Mawasiliano wa kampuni ya Bizfora Investment Co. Ltd, John Matiko (kushoto) kuhusu Mkutano na Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo yatakayofanyika kuanzia tarehe 10 April mwaka huu kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini hapa. Picha na Hussein Makame-MAELEZO. 4Mmoja wa wanahabari ambaye ni mpiga picha wa Televisheni ya Tumaini (katikati), akiuliza swali kwenye mkutano wa wanahabari na kampuni ya Bizfora Investment Co. Ltd iliyoandaa Mkutano na Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo yatakayofanyika kuanzia tarehe 10 April mwaka huu kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini hapa. Picha na Hussein Makame-MAELEZO.
………………………………………………………………………………………
Na Frank Mvungi-MAELEZO
TANZANIA inatarajia kuwa mwenyeji wa Mkutano na Maonesho  ya Kilimo (AGRITECH) 2014,  yatakayofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam kuanzia April 10 mwaka huu na kuwashiriksha waoneshaji wan je na ndani ya nchi katika Nyanja mbalimbali za kilimo.

KOKOLIKO DESIGNER KUSHIRIKI MAONYESHO YA SIKU YA WANAWAKE TANGA

March 06, 2014
MKURUGENZI MTENDAJI WA KOKOLIKO DESIGNER ,AISHA KISOKI AKIWA OFISINI KWAKE JIJINI TANGA LEO MARA BAADA YA KUKUTWA NA MPIGA PICA WA TANGA RAHA BLOG

MKURUGENZI MTENDAJI WA KOKOLIKO DESIGNER ,AISHA KISOKI AKIONYESHA MAVAZI WANAYOBUNI KWENYE OFISI YAKE ILIYOPO JIJINI TANGA.

 MKURUGENZI MTENDAJI WA KOKOLIKO DESIGNER ,AISHA KISOKI HAPA AKIONYESHA AINA YA MASHATI WANAYO DESIGNER KWENYE OFISI ZAO ZILIZOPO JIJINI TANGA.


HAYA NI MABEGI WANAYO TENGEZENZA OFISNI KWAO.