TAARIFA KUTOKA SHIRIKISHO LA SOKA NCHINI TFF LEO

December 13, 2013
Release No. 208
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Desemba 13, 2013

FA MIKOA YAPATA MIPIRA TFF
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa mipira kumi kwa kila chama cha mpira wa miguu cha mkoa ili isaidie kuendesha ligi za mikoa husika.

Mipira hiyo 250 yenye thamani ya sh. 16,250,000 tayari imeanza kutumwa kwa makatibu wa vyama vya mikoa husika. Mpira mmoja una thamani y ash. 65,000.

Ni maratajio ya TFF kuwa mipira hiyo itakuwa chachu kwa vyama vya mikoa katika uendeshaji wa ligi hizo.

GARI HII INAUZWA WADAU

December 13, 2013






GARI AINA YA NISSANI TERRANO(TURBO),MENUAL INAUZWA MKOANI TANGA SH.MILIONI 8 MPAKA 7 IKIWEMO MAZUNGUMZO BAINA YA MNUNUZI NA MUUZAJI GARI HIYO IPO TANGA MJINI .

KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA SIMU NAMBA.
0713830779,0786830779 ,0755461370 ILI KUWEZA KUPATA MAELEKEZO ZAIDI.