VIJANA WAPEWA SOMO LUSHOTO.

December 09, 2013

Na Oscar Assenga, Lushoto.
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana Mkoa wa Tanga,Abdi Makange amewataka vijana wilayani Lushoto kujituma na kufikiria namna ya kubuni ajira mbadala ikiwemo kujikita katika masuala ya ujasiriamali ili kuweza kuendesha maisha yao badala ya kuendelea kutegemea ajira za kuajiriwa.



Kauli hiyo aliitoa jana wakati akizungumza na wajumbe wa kamati ya utekelezaji ya umoja huo wilaya ya Lushoto(UVCCM)wakati wa ziara yake ya kwanza ya kukagua na kuangalia uhai wa umoja huo pamoja na kufanya mikutano ya hadhara inayofanyika mkoa mzima wa Tanga.


PICHA ZA MATUKIO YA ZIARA YA MWENYEKITI UVCCM MKOA WA TANGA,ABDI MAKANGE WILAYANI LUSHOTO

December 09, 2013
IMEWEKWA LEO SAA 11:19 USIKU
KUSHOTO NI MWENYEKITI WA UVCCM MKOA WA TANGA,ABDI MAKANGE AKITETA JAMBO NA KATIBU WA CCM WILAYA YA LUSHOTO MAHANYU




MWENYEKITI WA UVCCM MKOA WA TANGA,ABDI MAKANGE AKISISITIZA JAMBO KATIKA MKUTANO WA HADHARA KABLA YA KUGAWA KADI ZA WANACHAMA 172