MKUU WA WILAYA YA TANGA,HALIMA DENDEGO KULIA AKIPATA MAELEKEZO WA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI ELOHIM LEO. |
MKURUGENZI WA SHULE YA SEKONDARI ELOHIM YA TANGA,ELINGAYA MUNGURE AKIZUNGUMZA WAKATI WA MAHAFALI HAYO. |
WANAFUNZI WANAOHITIMU WAKISHANGWEKA LEO. |
MKUU WA WILAYA YA TANGA,HALIMA DENDEGO AKICHANGISHA HARAMBEE KWENYE SHULE HIYO |
MKUU WA WILAYA YA TANGA,HALIMA DENDEGO ALIZUNGUMZA WAKATI AKITOA HOTUBA YAKE KWENYE MAHAFALI HAYO LEO |
WANAFUNZI WANAOMALIZA WAKIIMBA WIMBO WA TAIFA LEO HII |