Mazungumzo

May 09, 2013
MWANDISHI Mwandamizi wa Mwananchi Comunication,Burhan Yakub akibadilishana mawazo na Rais wa AAT nchini,Nizar Jivani mara baada ya kumalizika semina ya mafunzo ya usalama barabarani kwa wanafunzi wa shule ya msingi Darajani mapema hii leo

Tumeelewa

May 09, 2013
WANAFUNZI wa shule ya msingi Darajani wakiwa na alama za usalama barabarani mara baada ya kupatiwa mafunzo hayo mapema hii leo.

Tunavuta na Watoto.

May 09, 2013
MKUU wa wilaya ya Tanga,Halima Dendego akiwa amewashikilia watoto akiwavusha sambamba na Rais wa AAT Nizar Jivani na RTO Abdi Isango.

Mnatakiwa kuvuta hivi

May 09, 2013
MKUU wa wilaya ya Tanga,Halima Dendego aliwa amewashika wanafunzi wa shule ya msingi darajani mikono akiwavusha barabara katika uzinduzi huo.

Tunavuka kwenye Pundamilia

May 09, 2013
WANAFUNZI wa shule ya msingi darajani wakiwa wanavuta barabarani wakati wa mafunzo ya alama za barabarani yaliyokuwa yakiendeshwa na shirikisho la kuratibu mbio za magari nchini AAT leo asubuhi.