Sherehe za Tuzo ya Kiongozi Bora Afrika Mashariki Kwa Rais Kikwete Ikulu

Sherehe za Tuzo ya Kiongozi Bora Afrika Mashariki Kwa Rais Kikwete Ikulu

September 09, 2015

unnamed
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amepokea Tuzo ya Kiongozi Bora Afrika Mashariki kutoka katika taasisi ya East Africa Book of Records yenye makao yake makuu jijini Kampala Uganda.
Pichani kiongozi wa Taasisi hiyo Dkt.Paul Bamutize akimkabidhi Rais Kikwete tuzo hiyo wakati wa hafla fupi iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam Septemba 8, 2015 . asubuhi.Sambamba na Tuzo hiyo Rais kikwete amepokea tuzo ya kuitambua Tanzania kama taifa bora Afrika Mashariki kwa kudumisha Amani na Utulivu,Huduma bora za jamii,na maendeleo makubwa ya kiuchumi katika kipindi cha miaka kumi.
1
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kumbukumbu maalum ya taasisi ya East Africa Books of Records mara baada ya kupokea tuzo maalum ya kiongozi bora Afrika mashariki kwa kudumisha amani nchini na katika jumuiya ya
Afrika Mashariki kwa ujumla hususani Kenya baada ya uchaguzu mkuu na Burundi hivi karibuni.Kushoto akishuhudia ni Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Africa Book of Records Dkt.Paul Bamutize na kulia ni Mkuu wa kitengo cha utafiti katika taasisi hiyo Bwana Luzindana Adam Buyinza.
4
Rais Dkt.Jakaya Mrisho akitoa hotuba yake baada ya kupokea Tuzo ya Kingozi bora Afrika Mashariki.
3
Mwakiulkishi kutoka ubalozi wa Uganda nchini Tanzania Bwana Stephen Kiyingi akitoa hotuba yake na ushuhuda jinsi Tanzania ilivyopiga hatua kubwa ya maendeleo katika miaka kumi iliyopita.
2
Baadhi ya Wageni walihudhuria hafla hiyo ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
7
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza mabalozi kutoka nchi za Afrika ya Mashariki muda mfupi baada ya kupokea Tuzo.
6
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe, mabalozi kutoka nchi za Afrika Mashariki wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Tassisi ya East Africa Book of Records ikulu jijini Dar es Salaam leo.
  5
Wataalamu wa Utafiti kutoka Taasisi ya East Africa Book Of Records wakiwa katika picha ya pamoja na Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada kutunikiwa Tuzo hiyo.Kutoka kjushoto ni Kiongozi wa Taasisi hiyo Dkt.Paul Bamutize,Watatu kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Utafili cha taasisi hiyo Bwana Luzindana Adam Buyinza na kulia ni Afisa mwandamizi wa Taasisi hiyo Bwana Kato Issa.
(Picha zote na Freddy Maro)

NAMNA DIAMOND ALIVYOLITINGISHA JIJI LA TANGA KWENYE KAMPENI ZA MGOMBEA URAIS MAGUFULI

September 09, 2015


 Wasanii mbalimbali wakali walikuwa ni miongozi mwa waburudishaji katika mkutano wa kampeni wa Mgombea Urais kupia CCM, John Pombe Magufuli jana katika Uwanja wa Tangamano Tanga.
 Hapa msanii maarufu nchini Diamond Plantumuz akiburudisha maelfu ya washabiki na wapenzi jijini Tanga jana Uwanja wa Tangamano

UMEME WA PUMBA ZA MCHELE, MASHUDU YA PAMBA WATUMIKA KUENDESHEA MITAMBO YA TBL MWANZA

September 09, 2015

 Meneja wa kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Mwanza, Raymond Richmond,akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kampuni hiyo  kutumia mapumba ya mchele na mashudu ya pamba,kama chanzo cha nishati ya umeme kinachotumika kuendeshea mitambo.Kushoto ni Meneja wa Maji na Nishati wa kampuni hiyo, Sunday Kidolezi.
Meneja wa kiwanda cha Kampuni ya Bia (TBL) Mwanza, Raymond Richmond, akizungumzia mradi wa matumizi ya mapumba ya mchele na mashudu ya pamba,ambacho ni chanzo cha nishati ya kuendesha mitambo kiwandani hapo.Nishati ni rafiki wa mazingira  kwa sababu haina hewa ukaa.Wanaokoa Dola za Kimarekani (USD) 400,000 hadi 500,000 kwa mwaka ambazo zingetumika kununua mafuta mazito na dizeli ya kuendeshea mitambo .
Waandishi wa habari wakiongozwa na  Meneja wa Kiwanda cha kampuni ya Bia (TBL) Mwanza, Raymond Richmond(wa kwanza kushoto), kwenda kutembelea mtambo unaotumia mapumba ya mchele na mashudu ya pamba kuzalisha nishati ya umeme inyotumika kuendesha mitambo ya kiwanda hicho.Kulia ni Meneja wa Maji na Nishati wa TBL, Sunday Kidolezi.
Meneja wa Nishati na Maji wa Kampuni ya Bia (TBL)Mwanza, Sunday Kidolezi (wa kwanza kulia),wakiwa na waandishi wa habari wakati wakitembelea mtambo wa kuzalisha umeme kwa kutumia mapumba ya mchele na mashudu ya pamba.wa Kwanza kutoka kushoto (mwenye shati jeupe), Ni Meneja wa Kiwanda hicho, Raymond Richmond.
Meneja wa Kampuni ya Bia (TBL) Mwanza,Raymond Richmond (mwenye shati jeupe) akiwaonesha waandishi wa habari mtambo unaozalisha nishati ya umeme kwa kutumia mapumba ya mchele na mashudu ya pamba kwa ajili ya kuendesha mitambo ya kiwanda hicho.anaoshuhudia ni Meneja wa Maji na Nishati wa kampuni hiyo,Sunday Kidolezi (mwenye fulana ya mistari).Mwingine ni mwandishi wa habari wa kampuni ya The Guardian, Daniel Mkate,ambaye ni miongoni mwa  waandishi wa habari waliotembelea kiwanda hicho.
Raymond Richmond, Meneja wa kampuni ya Bia (TBL) Mwanza,akiwaonesha waandishi wa habari (hawapo pichani), mapumba ya mchele,yanayotumika kuzalisha nishati ya umeme wa kuendesha mitambo ya kiwanda hicho.Kulia ni Meneja wa Maji na Nishati wa kampuni hiyo.
Mwandishi wa habari, Daniel Mkate (kushoto) akiwauliza maswali, Meneja wa  Kampuni ya Bia (TBL) Mwanza, Raymond Richmond na Meneja wa Maji na Nishati wa kampuni hiyo, Sunday Kidolezi, kuhusu  changamoto ya upatikanaji wa mali ghafi hiyo na madhara yake katika kuzalisha nishati na athari za mazingira.
Wafanyakazi wa kiwanda cha Kampuni ya Bi (TBL) Mwanza,wakijaza mapumba kwenye magunia, kabla ya kuingizwa kwenye mtambo wa kuzalisha umeme kiwandani hapo.Hapo ni katika eneo  linalotumika kupakulia shehena ya mapumba hayo ya mchele, kutoka kwa msambazaji.
Meneja wa kiwanda cha Kampuni ya Bia (TBL) Mwanza,Raymond Richmod, akiwaonyesha waandishi wa habari, Daniel Mkate wa TRhe Guardian (nyuma) na Henry Kavirondo wa Chanel Ten,mashine inayosukuma mapumba ya mchele na mashudu ya pamba, kwenda kwenye mtambo wa kufua umeme unaotumika kuendesha mitambo ya kiwanda hicho.Kulia ni Meneja wa Maji na Nishati wa kampuni hiyo, Sunday Kidolezi.
Wafanyakazi wa kiwanda cha Kampuni ya Bia (TBL) Mwanza,wakijaza mapumba ya mchele kwenye mashine kwa ajili ya kuyasukuma kadi kwenye mtambo wa kuzalisha nishati ya umeme, unaotumiwa kuendesha mitambo ya uzalishaji ya kiwanda hicho.
Meneja wa Maji na Nishati wa kiwanda cha Kampuni ya Bia (TBL) Mwanza, Sunday Kidolezi, akifafanua jambo kwa waandishi wa habari kuhudu mradi huo wa uzalishaji wa nishati ya umeme,unaotumika kuendesha mitambo ya kiwanda cha kampuni hiyo kwa kutumia mapumba ya mchele na mashudu ya pamba.Wa kwanza kushoto ni Meneja wa kiwanda cha kampuni hiyo,Raymond Richmond.
A SAFE AND FUN HAVEN FOR FAMILIES

A SAFE AND FUN HAVEN FOR FAMILIES

September 09, 2015
IMG_7896
Head of Marketing The Walt Disney Company Africa, Deirdre King, talking to journalists (not in picture) who were attending the second edition of MultiChoice Africa Content Showcase Extravaganza #OnlyTheBest which held in Outrigger Mauritius Beach Resort, Bel Ombre recently.(Photo by Zainul Mzige of Modewjiblog)
Disney Junior, which airs on DStv channel 309 and GOtv Plus channel 60, is learning-focused and reflects the emotional connection that generations of consumers have to Disney storytelling and characters, both classic and contemporary. It invites mum and dad to join their child in the Disney experience of magical, musical and heartfelt stories and characters, while incorporating specific learning and developmental themes.
Reaching over 1.3 million kids and their families across Africa every day, Disney Junior now airs in 111 countries, with 9 visual feeds in 16 languages, representing a total of 47 million households across EMEA.
Launched in June 2011 in Africa, Disney Junior is the multiplatform entry point to all things Disney, starting from preschoolers ranging up to 7 year olds, and their carers and parents. With creative storytelling and engaging characters we help make learning a playful experience, whilst ensuring that parent and caregivers can immerse their kids in a safe and fun environment.
Highlights across the Disney Junior channel includes:
Disney Junior's animated television series, Sofia the First, is set in the storybook world of Enchancia. It tells the story of Princess Sofia - an adventurous little girl who is learning how to adjust to royal life after her mother marries the king and she becomes a princess overnight. Sofia is learning how to adjust to life with her new family which includes her step-father, King Roland II, and step-siblings Amber and James. Along the way, this ordinary girl learns to navigate the extraordinary life of royalty, and in the process makes everyone around her feel special.
Showcasing the hallmarks of great Disney storytelling, fantasy and wish fulfilment, Disney Junior's animated series, Doc McStuffins, tells the story of a nurturing six-year-old girl who can talk to the stuffed animals and toys that she cares for in her playhouse clinic. When Doc puts on her stethoscope, something magical happens; toys, dolls and stuffed animals come to life and she can communicate with all of them, including the toys belonging to her friends and other neighbourhood children.
Not only a ratings hit, the show has sparked a cultural nerve in the U.S., generating applause on parent blogs, Facebook and even in academia for its positive vocational message for African-American girls. Viewer Dr. Myiesha Taylor, who watches the show with her four year-old, was moved to create an online collage featuring an image of Doc, encircled by photos of 131 black women who are Doc’s real life counterparts. “We are trailblazers,” Taylor proclaimed on her website. “We are women of colour. We are physicians. We ARE role-models. We are Doc McStuffins all grown up!”
Disney Junior's Annie Award-winning series, Jake and the Never Land Pirates, is a music-filled interactive treasure hunt that introduces a crew of kid pirates - leader Jake and pals Izzy and Cubby - and follows their Never Land adventures as they work to outwit two infamous characters, the one and only Captain Hook and Mr. Smee, from Disney's classic, Peter Pan.
Minnie, Goofy, Donald, Pluto and Daisy all join Mickey in Mickey Mouse Clubhouse, Disney Junior’s vibrant interactive series that invites young viewers to help solve challenges and overcome obstacles. Each engaging story features a different theme and offers cognitive, social and creative-learning opportunities through a dynamic, play-along experience. Interactivity is key from start to finish as Mickey speaks directly to preschoolers, asking questions and encouraging them to play games, participate in special phrases or cheers, and solve puzzles to reach a goal.
Together with heritage animated series such as Gummi Bears, Chip ‘n Dale, Ducktales and classic Disney movies Aladdin, Cinderella and more, Disney Junior continues to create shared Disney memories between young and old viewers alike.
As of 1 October 2015, Disney Africa will launch the Disney Junior Africa Facebook page, giving parents and caregivers their very own Disney Junior experience on social media.
For more information, please visit www.dstv.com or www.gotvafrica.com.