RAIS KIKWETE ALIPOHUTUBIA BUNGE NA KUAGANA NA WABUNGE MJINI DODOMA ALHAMISI JULAI 9, 2015

July 10, 2015

 Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman na ujumbe wake pamoja na maafisa wa bunge wakiingia Bungeni tayari kwa hotuba ya mwisho ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete mjini Dodoma Alhamisi Julai 9, 2015
Marais wastaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi na Mzee Benjamin William Mkapa na Mawaziri wakuu wastaafu Dkt Salim Ahmed Salim, Jaji Joseph Sinde Warioba, Mhe. Frederick Sumaye na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama na maafisa waandamizi jeshini na serikalini wakiwa wamesimama wakati viongozi wakiingia bungeni.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein akiingia bungeni.
 Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali akiingia katika ukumbi wa Bunge.
 Spika Anne Makinda akimuongoza Rais Kikwete kuingia bungeni.
 Rais Kikwete akiingia bungeni huku akishangiliwa na wabunge.
 Rais Kikwete akiingia bungeni.
 Rais Kikwete na Spika Makinda wakielekea kuchukua nafasi zao.
 Sehemu ya ukumbi wa bunge wakati Rais Kikwete akiingia.
Waheshimiwa wabunge
 Sehemu ya maafisa waandamizi wa bunge.
 Rais Kikwete akianza kuhutubia wabunge.
 Sehemu ya maafisa waandamizi wa bunge.
 Rais Kikwete akiendelea na hotuba yake.
 Waheshimiwa wabunge wakiwa wametulia kumsikiliza Rais Kikwete.
 Sehemu ya wageni mashuhuri wakifuatilia hotuba.
 Sehemu ya wabunge.
 Wake wa viongozi, watoto wa Rais Kikwete na maafisa mbalimbali.
 Sehemu ya Mabalozi .
 Wabunge wakifuatilia hotuba.
 Wabunge wakifuatilia hotuba. 

WAZIRI WA KAZI ATEMBELEA BANDA LA NSSF KATIKA MAONYESHO YA SABASABA

July 10, 2015


 
Meneja Kiongozi Masoko na Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume, akitoa maelezo kwa Waziri wa Kazi na Ajira,Gaudensia Kabaka, alipotembelea
banda la NSSF wakati wa Maonyesho ya 39 ya Biashara ya Kimataifa kwenye Viwanja
vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
 
Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka akitembelea banda la NSSF.
 Waziri wa Kazi na Ajira,Gaudensia Kabaka akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la NSSF. Kulia ni Meneja
Kiongozi Masoko na Uhusiano
 wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),
Eunice Chiume.
 
 Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Sadi Shemliwa (wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Meneja Kiongozi Masoko na Uhusiano wa NSSF, Eunice Chiume wakati alipotembelea banda la NSSF katika Maonyesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam. 
 Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Sadi Shemliwa (wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Meneja Kiongozi Masoko na Uhusiano wa NSSF, Eunice Chiume wakati alipotembelea banda la NSSF katika Maonyesho ya Sabasaba jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya watoto wakipata zawadi za madaftari walipotembelea banda la NSSF.
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Othman Chande akipata maelezo kutok kwa Ofisa Uhusiano Mwandamizi wa NSSF, Salim Khalfan alipotembelea banda la NSSF kujionea shughuli zinazofanywa na shirika hilo.