THBUB YASHUKURU UN KWA KUSAIDIA PROGRAMU ZA SHERIA

November 15, 2016


TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imeshukuru Umoja wa Mataifa kwa msaada wake mkubwa inaotoa kwa taasisi zisizo za kiserikali za kujengea uwezo wa kuweza kutetea haki za binadamu nchini Tanzania.

Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mtendaji wa THBUB, Mary Massay wakati wajumbe wa nchi za Nordic ambao ni wafadhili wakubwa wa programu za Umoja wa Mataifa zinazotekelezwa nchini Tanzania walipozuru katika ofisi hizo kwa mazungumzo.

“Kuna ongezeko kubwa la ufahamu kuhusu haki za binadamu, upatikanaji wa haki kwa makundi maalumu, uandishi wa habari kuhusu haki za binadamu na kuboreshwa kwa huduma za kisheria na ukaribu wa serikali wa kufanyakazi na wadau wa haki za binadamu,” alisema Massay akifafanua zaidi kuhusu manufaa ya ufadhili wa Umoja wa Mataifa katika kuboresha haki za binadamu nchini.
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Mhe. Bahame Tom Nyanduga (wa pili kushoto) akitoa neno la ukaribisho kwa wajumbe kutoka nchi za Nordic walioambatana na wataalam kutoka mashirika ya Umoja wa Mataifa (hawapo pichani) ulipotembelea tume hiyo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez (kushoto), Katibu Mtendaji wa THBUB, Mary Massay (wa pili kulia), Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Awa Dabo (kulia).(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog)

Katika mazungumzo yao na ujumbe wa nchi za Nordic ambazo ni Sweden, Denmark, Norway Finland na Iceland kulikuwepo pia asasi mbalimbali zisizo za kiserikali kama Women’s Legal Aid Center, Tanzania Women Lawyers Association, Tanzania Women Judges Association, Legal Aid and Human Rights Center, Human Rights Defenders Coalition, na Tanganyika Law Society.

Katika mazungumzo hayo asasi hizo zilielezea ufanyaji kazi wao mafanikio na changamoto wanazokumbana nazo na umuhimu wa ufadhili wa mashirika ya Umoja wa Mataifa.

Akizungumzia changamoto zinazokabili Umoja wa Mataifa, serikali na asasi Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez alisema ipo haja ya kuwa na muono wa muda mrefu wa kuratibu shughuli zinazohusiana na maendeleo endelevu.

Katibu Mtendaji wa THBUB, Mary Massay akizungumzia shughuli mbalimbali zinazofanywa na tume hiyo kwa ujumbe kutoka nchi za Nordic ulioambatana na wataalam kutoka mashirika ya Umoja wa Mataifa (hawapo pichani) ulipotembelea tume hiyo.

Alisema kwamba mabadiliko ya kitabia kwa binadamu huchukua muda mrefu kukubalika hivyo ni wajibu wa kila mmoja kufanya bidii ya kuhakikisha kwamba maisha yanabadilika na watu wanakumbatia mambo ya kisasa yanayochochea maendeleo yao na jamii

Akizungumza kwa niaba ya wajumbe kutoka nchi hizo za Nordic, Anders Rönquist, ambaye ni kiongozi wa ushirikiano wa kimataifa wa Shirika la Misaada la Sweden (SIDA), alisema pamoja na changamoto zilizopo kitaasisi, kisiasa, kifedha na kitamaduni maendeleo yaliyopo katika sheria na haki za binadamu nchini Tanzania yanatia moyo sana.

Alisema ipo haja ya serikali kuendelea kuhimiza mabadiliko na kwamba wao wapo tayari kusaidia mkakati wa kuboresha masuala ya sheria na haki za binadamu.

Kiongozi wa ushirikiano wa kimataifa wa Shirika la Misaada la Sweden (SIDA), Anders Rönquist (kulia) akizungumza kwa niaba ya wajumbe kutoka nchi hizo za Nordic ulipotembelea ofisi za Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Awa Dabo (kulia), akizungumza katika mkutano huo ambapo alishukuru mataifa hayo kwa kuendelea kusaidia programu za haki a binadamu nchini Tanzania. Alisema kwamba haki za binadamu ni kitu cha msingi katika maendeleo kwa kuwa hakuna maendeleo ya kweli bila kuwapo na haki za binadamu. Alisema kwamba maendeleo na haki za binadamu ni mambo yanayoshabihiana na kuimarika kwake kunasaidia kuimarisha ustawi wa jamii. Alishukuru pia serikali ya Tanzania kwa kuhakikisha kwamna masuala ya utawala bora na haki za binadamu yamo katika mpango wa miaka mitano wa maendeleo ambao unasaidiwa pia na UNDAP ll.
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Mhe. Bahame Tom Nyanduga akisisitiza jambo kwenye mkutano na wajumbe kutoka nchi za Nordic walioambatana na wataalam kutoka mashirika ya Umoja wa Mataifa walipotembelea ofisi za Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Msaada wa Sheria kwa Wanawake na Watoto (WLAC), Theodosia Muhulo akielezea shughuli mbalimbali zinazofanywa na kituo chake katika kuhakikishwa wanawake na watoto wapata msaada wa kisheria wakati wa ziara ya wajumbe kutoka nchi za Nordic walioambatana na wataalam kutoka mashirika ya Umoja wa Mataifa walipotembelea ofisi za Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) jijini Dar es Salaam.
Mwansheria kutoka Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Benedict Ishabakaki akizungumzia shughuli mbalimbali wanazofanya za msaada wa kisheria wakati wa ziara ya wajumbe kutoka nchi za Nordic walioambatana na wataalam kutoka mashirika ya Umoja wa Mataifa walipotembelea ofisi za Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) jijini Dar es Salaam.
Jaji wa Mahakama Kuu na Makamu Mwenyekiti wa TAWLA, Sophia Wambura aki-'share' uzoefu wake katika masuala ya sheria wakati wa ziara ya wajumbe kutoka nchi za Nordic walioambatana na wataalam kutoka mashirika ya Umoja wa Mataifa walipotembelea ofisi za Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) jijini Dar es Salaam.
Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez akitoa neno la shukrani kwa Mwenyekiti wa THBUB wakati wa ziara ya wajumbe kutoka nchi za Nordic walioambatana na wataalam kutoka mashirika ya Umoja wa Mataifa walipotembelea ofisi za Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) jijini Dar es Salaam.
Jaji wa Mahakama Kuu na Makamu Mwenyekiti wa TAWLA, Sophia Wambura akikabidhi zawadi kwa Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez (kulia) baada ya kumalizika mkutano wa wajumbe kutoka nchi za Nordic walioambatana na wataalam kutoka mashirika ya Umoja wa Mataifa walipotembelea ofisi za Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) jijini Dar es Salaam.
Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufaa, Eusebia Munuo akikabidhi zawadi kwa Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Mhe. Bahame Tom Nyanduga wakati wa ziara ya wajumbe kutoka nchi za Nordic walioambatana na wataalam kutoka mashirika ya Umoja wa Mataifa walipokutana na uongozi wa ofisi za Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) jijini Dar es Salaam.
Picha juu na chini ni wajumbe kutoka nchi za Nordic walioambatana na wataalam kutoka mashirika ya Umoja wa Mataifa walipotembelea ofisi za Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB).


 

Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Mhe. Bahame Tom Nyanduga katika picha ya pamoja na wajumbe kutoka nchi za Nordic walioambatana na wataalam kutoka mashirika ya Umoja wa Mataifa walipotembelea ofisi za Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) jijini Dar es Salaam.

SERIKALI KUBORESHA MITAMBO YA KUCHAPISHA NYARAKA YA KIWANDA CHA UHAMIAJI KIJICHI JIJINI DAR ES SALAAM

November 15, 2016
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, akizungumza na baadhi ya wananchi waliokuja kupata huduma Makao Makuu ya Idaya ya Uhamiaji wakati wa ziara yake ya siku moja aliyoifanya leo Kurasini jijini Dar es Salaam.

SERIKALI KUJENGA VITUO VITATU KWA KILA HALMASHAURI KWA AJILI YA UCHUNGUZI WA SARATANI YA MATITI NA MLANGO WA KIZAZI.

November 15, 2016
Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan, akizungumza kwenye Uwanja wa Furahisha Jijini Mwanza hii leo wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Bure ya Uchunguzi na Matibabu ya Saratani ya Matiti na Shingo ya Kizazi mkoani Mwanza.
Na BMG
Amesema serikali itaendelea kuboresha huduma za saratani ikiwemo kupatikana katika hospitali za rufaa Bugando Jijini Mwanza na KCMC Kilimanjaro ili kupunguza msongamano wa wagonjwa katika Hospitali ya Ocean Road Jijini Dar es salaam.
Waziri wa afya, maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto, Ummy Mwalimu, amesema watanzania wengi wanakabiliwa na magonjwa ya saratani na kuwahimiza kuwa na desturi ya kupima afya zao mara kwa mara.
Mkuu wa mkoa wa Mwanza, John Mongella, akizungumza kwenye ufunguzi huo
Mganga Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Dkt.Leonald Subi, akizungumza kwenye uzinduzi huo, ambapo amesema uchunguzi wa saratani ya matiti na mlango wa kizazi uliofanyika katika halmashauri za Buchosa, Ukerewe na Kwimba umewafikia wanawake 1294 na kati yao, 58 wana dalili za awali za saratani ya matiti, 13 saratani ya kizazi na kwamba 15 wamepewa rufaa ya uchunguzi zaidi hospitali ya rufaa Bugando.
Rais wa Chama cha Madaktari Wanawake nchini MEWATA, Dkt.Sarafina Mkuwa, amesema lengo la kampeni hiyo ya uchunguzi wa saratani ya matiti na mlango wa kizazi ni kuhamasisha wananchi kupata huduma hizo mapema kwani magonjwa hayo hutibika ikiwa mgonjwa ataanza matibabu mapema.
Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan (kushoto), akisalimiana na Naibu Waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi, Angelina Mabula (kulia) ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Ilemela mkoani Mwanza.
Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na diwani wa Kata ya Kirumba, Alex Ngussa, wakati akiwasili kwenye uwanja wa Furahisha
Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan, akilakiwa kwenye uwanja wa Furahisha
Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan (kushoto), akisalimiana na Grace Shindika ambaye ni Katibu wa UWT Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza.
Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan, akilakiwa kwenye uwanja wa Furahisha
Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na mwakilishi kutoka Marie Stops Tanzania, wakati akiwasili kwenye uwanja wa Furahisha
Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan, akilakiwa kwenye uwanja wa Furahisha
Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan, akilakiwa na wawakilishi kutoka Chama cha Madaktari Wanawake Tanzania MEWATA, wakati akiwasili kwenye uwanja wa Furahisha
Mwakilishi kutoka MEWATA akitoa maelekezo kwa Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan (kulia), wakati akikagua mabanda ya huduma kwenye Uwanja wa Furahisha
Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan, akiteta jambo na Waziri wa afya, maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto, Ummy Mwalimu 
Kutoka kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Mwanza, John Mongella, Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan, Waziri wa afya, maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto, Ummy Mwalimu pamoja na Rais wa MEWATA, Dkt.Sarafina Mkuwa.
Mbunge wa Misungwi, Charles Kitwanga (kushoto) pamoja na Naibu Waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Ilemela (kulia), wakiwa kwenye uzinduzi huo.
Meza kuu, aliyesimama ni mbunge wa jimbo la Nyamagana, Stanslaus Mabula, akisalimia
Mmoja wa akina mama akielezea kufurahishwa kwake na huduma za bure za uchunguzi wa saratani ya matiti na shingo ya kizazi
Baadhi ya wakazi wa Jiji la Mwanza wamesema hawamudu gharama za uchunguzi wa saratani ya matiti na shingo ya kizazi hivyo kampeni hiyo ya bure itawasaidia na wanaomba iwe inafanyika mara kwa mara
Wanafunzi nao wamenufaika na uchunguzi huo ambapo wamesema ni jambo jema kwani wanatambua afya zao mapema na wameshauri watanzania kuwa na desturi ya kupima afya zao mara kwa mara
Wamesema bado upimaji na matibabu ya saratani nchini ni ghari hivyo wengi wao hawamudu gharama zake ambapo wameomba kampeni hiyo iwe endelevu.
Baadhi ya wakazi wa Jiji la Mwanza wakiwa kwenye foleni kupata huduma ya uchunguzi wa saratani ya matiti na shingo ya kizazi bure
Mamia ya wanawake Jijini Mwanza waliojitokeza kwenye uzinduzi wa kampeni ya uchunguzi wa saratani ya matiti na shingo ya kizazi bure.

Na George Binagi-GB Pazzo
Serikali inatarajia kujenga vituo vitatu kwa kila halmashauri nchini ili kuboresha huduma za uchunguzi na matibabu ya mapema ya saratani ya matiti na mlango wa kizazi kwa akinamama kwa lengo la kupunguza vifo vitokanavyo na magonjwa hayo.

Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan, amebainisha hayo Jijini Mwanza wakati akizindua kampeni ya bure ya upimaji wa awali na matibabu wa saratani ya matiti na mlango wa kizazi.

Amesema Serikali kupitia Wizara ya afya, maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto imetenga shilingi bilioni saba kwa ajili ya ununuzi wa dawa za magonjwa hayo huku benki ya dunia ikiwa imetoa shilingi bilioni tano kwa ajili ya kuboresha upatikanaji wa huduma hizo katika ngazi za halmashauri nchini.

Ameongeza kwamba serikali itaendelea kuboresha huduma za saratani ikiwemo kupatikana katika hospitali za rufaa Bugando Jijini Mwanza na KCMC Kilimanjaro ili kupunguza msongamano wa wagonjwa katika Hospitali ya Ocean Road Jijini Dar es salaam pamoja na vifo kwa akina mama ambavyo ni zaidi ya asilimia 60 nchini.

Waziri wa afya, maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto, Ummy Mwalimu, amesema watanzania wengi wanakabiliwa na magonjwa ya saratani na kuwahimiza kuwa na desturi ya kupima afya zao mara kwa mara.

Baadhi ya wananchi mkoani Mwanza wamesema bado upimaji na matibabu ya saratani nchini ni ghari hivyo wengi wao hawamudu gharama zake ambapo wameomba kampeni hiyo iwe endelevu.

Rais wa Chama cha Madaktari Wanawake nchini MEWATA, Dkt.Sarafina Mkuwa, amesema lengo la kampeni hiyo ya uchunguzi wa saratani ya matiti na mlango wa kizazi ni kuhamasisha wananchi kupata huduma hizo mapema kwani magonjwa hayo hutibika ikiwa mgonjwa ataanza matibabu mapema.

WASAIDIZI WA KISHERIA WA SHIRIKA LA EfG WAUNGA JITIHADA ZA RAIS MAGUFULI KATIKA KUFANYA USAFI

November 15, 2016
Ofisa Ufuatiliaji na Tathmini wa Shirika la Equality for Growth (EfG), Shaban Rulimbiye (kushoto), akiwaongoza kufanya usafi Soko la Temeke Sterio Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliwa ni kuunga mkono jitihada za Rais Dk.John Magufuli katika suala zima la usafi wa mazingira.
Harusi ya Bw. Louis Munishi

Harusi ya Bw. Louis Munishi

November 15, 2016
Bwana harusi Louis Munishi akipata picha ya kumbukumbu na mkewe Bi. Inviolata ukumbini. Ibada takatifu ya ndoa yao ilifanyika Kanisa la Bikira Maria mama wa huruma Mbezi Beach Jumamosi iliyopita jijini Dar es Salaam. Bwana harusi Louis Munishi akipata picha ya kumbukumbu na mkewe Bi. Inviolata ukumbini. Ibada takatifu ya ndoa yao ilifanyika Kanisa la Bikira Maria mama wa huruma Mbezi Beach Jumamosi iliyopita jijini Dar es Salaam.Bwana harusi Louis Munishi akipata picha ya kumbukumbu na mkewe Bi. Inviolata ukumbini. Ibada takatifu ya ndoa yao ilifanyika Kanisa la Bikira Maria mama wa huruma Mbezi Beach Jumamosi iliyopita jijini Dar es Salaam. Bwana harusi Louis Munishi akipata picha ya kumbukumbu na mkewe Bi. Inviolata ukumbini. Ibada takatifu ya ndoa yao ilifanyika Kanisa la Bikira Maria mama wa huruma Mbezi Beach Jumamosi iliyopita jijini Dar es Salaam.Baba mzazi wa Bwana harusi Louis Munishi akiwapongeza maharusi kwa hatua yao ukumbini. Ibada takatifu ya ndoa yao ilifanyika Kanisa la Bikira Maria mama wa huruma Mbezi Beach Jumamosi iliyopita jijini Dar es Salaam. Mungu awape maisha marefu na yenye furaha maharusi. Baba mzazi wa Bwana harusi Louis Munishi akiwapongeza maharusi kwa hatua yao ukumbini. Ibada takatifu ya ndoa yao ilifanyika Kanisa la Bikira Maria mama wa huruma Mbezi Beach Jumamosi iliyopita jijini Dar es Salaam. Mungu awape maisha marefu na yenye furaha maharusi.Baba mzazi wa Bwana harusi Louis Munishi akiwapongeza maharusi kwa hatua yao ukumbini. Ibada takatifu ya ndoa yao ilifanyika Kanisa la Bikira Maria mama wa huruma Mbezi Beach Jumamosi iliyopita jijini Dar es Salaam. Mungu awape maisha marefu na yenye furaha maharusi. Baba mzazi wa Bwana harusi Louis Munishi akiwapongeza maharusi kwa hatua yao ukumbini. Ibada takatifu ya ndoa yao ilifanyika Kanisa la Bikira Maria mama wa huruma Mbezi Beach Jumamosi iliyopita jijini Dar es Salaam. Mungu awape maisha marefu na yenye furaha maharusiWazazi wa Bwana harusi Louis Munishi wakipongezwa ukumbini na jamaa na marafiki. Wazazi wa Bwana harusi Louis Munishi wakipongezwa ukumbini na jamaa na marafiki.Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya sherehe hiyo, Bw. Oscar Munishi akijumuika kutoa huduma kwa wageni waalikwa ukumbini, kuhakikisha mambo yanakwenda sawa. Ibada takatifu ya ndoa ya Louis Munishi na mkewe Bi. Inviolata ilifanyika katika Kanisa la Bikira Maria mama wa huruma Mbezi Beach Jumamosi iliyopita jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya sherehe hiyo, Bw. Oscar Munishi akijumuika kutoa huduma kwa wageni waalikwa ukumbini, kuhakikisha mambo yanakwenda sawa. Ibada takatifu ya ndoa ya Louis Munishi na mkewe Bi. Inviolata ilifanyika katika Kanisa la Bikira Maria mama wa huruma Mbezi Beach Jumamosi iliyopita jijini Dar es SalaamSehemu ya meza ya wazazi wa Bibi harusi Inviolata wakimchumu mtoto wao ukumbini. Sehemu ya meza ya wazazi wa Bibi harusi Inviolata wakimchumu mtoto wao ukumbini.Baadhi ya wanakamati ya sherehe hiyo wakipata kumbukizi ukumbini Baadhi ya wanakamati ya sherehe hiyo wakipata kumbukizi ukumbiniMwakilishi wa Kamati ndogo ya maandalizi ya harusi kutoka Moshi, Kilimanjaro ikizungumza kutoa shukrani kwa Kamati Kubwa ya Maandalizi (hawapo pichani) ya jijini Dar es Salaam. Mwakilishi wa Kamati ndogo ya maandalizi ya harusi kutoka Moshi, Kilimanjaro ikizungumza kutoa shukrani kwa Kamati Kubwa ya Maandalizi (hawapo pichani) ya jijini Dar es Salaam.Wanajumuiya kutoka Goba wakiwapongeza maharusi ukumbini...! Wanajumuiya kutoka Goba wakiwapongeza maharusi ukumbini...Mwenyekiti wa Kamati ya vinywaji (kulia) pamoja na mjumbe wake wakipata picha ya kumbukumbu...! Mwenyekiti wa Kamati ya vinywaji (kulia) pamoja na mjumbe wake wakipata picha ya kumbukumbu...!Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya sherehe hiyo, Bw. Oscar Munishi (kulia) pamoja na mkewe wakielekea kutoa zawadi maalumu kwa maharusi. Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya sherehe hiyo, Bw. Oscar Munishi (kulia) pamoja na mkewe wakielekea kutoa zawadi maalumu kwa maharusi.Maharusi Louis Munishi na mkewe Bi. Inviolata (katikati) wakiwa pamoja na wapambe wao ukumbini. Maharusi Louis Munishi na mkewe Bi. Inviolata (katikati) wakiwa pamoja na wapambe wao ukumbini.Ndugu, jamaa na wageni wa maharusi wajumuika katika hafla hiyo iliyofanyika kwenye Ukumbi wa 'Mwenge Social Hall'. Ndugu, jamaa na wageni wa maharusi wajumuika katika hafla hiyo iliyofanyika kwenye Ukumbi wa 'Mwenge Social Hall'.Bwana harusi Louis Munishi (kulia) 'akimng'ata' sikio mpambe wake ukumbini. Bwana harusi Louis Munishi (kulia) 'akimng'ata' sikio mpambe wake ukumbini.Burudani ya muziki ikitamalaki kwa wageni waalikwa...! Burudani ya muziki ikitamalaki kwa wageni waalikwa...!Baba mzazi wa Bwana harusi Louis Munishi akitoa neno kwa mwanae pamoja na mkewe ukumbini. Baba mzazi wa Bwana harusi Louis Munishi akitoa neno kwa mwanae pamoja na mkewe ukumbini. Bwana harusi Louis Munishi akipata picha ya kumbukumbu na mkewe Bi. Inviolata ukumbini. Ibada takatifu ya ndoa yao ilifanyika Kanisa la Bikira Maria mama wa huruma Mbezi Beach Jumamosi iliyopita jijini Dar es Salaam.Bwana harusi Louis Munishi akipata picha ya kumbukumbu na mkewe Bi. Inviolata ukumbini. Ibada takatifu ya ndoa yao ilifanyika Kanisa la Bikira Maria mama wa huruma Mbezi Beach Jumamosi iliyopita jijini Dar es Salaam. Bwana harusi Louis Munishi akipata picha ya kumbukumbu na mkewe Bi. Inviolata ukumbini. Ibada takatifu ya ndoa yao ilifanyika Kanisa la Bikira Maria mama wa huruma Mbezi Beach Jumamosi iliyopita jijini Dar es Salaam.Baba mzazi wa Bwana harusi Louis Munishi akiwapongeza maharusi kwa hatua yao ukumbini. Ibada takatifu ya ndoa yao ilifanyika Kanisa la Bikira Maria mama wa huruma Mbezi Beach Jumamosi iliyopita jijini Dar es Salaam. Mungu awape maisha marefu na yenye furaha maharusi. Baba mzazi wa Bwana harusi Louis Munishi akiwapongeza maharusi kwa hatua yao ukumbini. Ibada takatifu ya ndoa yao ilifanyika Kanisa la Bikira Maria mama wa huruma Mbezi Beach Jumamosi iliyopita jijini Dar es Salaam. Mungu awape maisha marefu na yenye furaha maharusiBaba mzazi wa Bwana harusi Louis Munishi akiwapongeza maharusi kwa hatua yao ukumbini. Ibada takatifu ya ndoa yao ilifanyika Kanisa la Bikira Maria mama wa huruma Mbezi Beach Jumamosi iliyopita jijini Dar es Salaam. Mungu awape maisha marefu na yenye furaha maharusi. Baba mzazi wa Bwana harusi Louis Munishi akiwapongeza maharusi kwa hatua yao ukumbini. Ibada takatifu ya ndoa yao ilifanyika Kanisa la Bikira Maria mama wa huruma Mbezi Beach Jumamosi iliyopita jijini Dar es Salaam. Mungu awape maisha marefu na yenye furaha maharusiWazazi wa Bwana harusi Louis Munishi wakipongezwa ukumbini na jamaa na marafiki. Wazazi wa Bwana harusi Louis Munishi wakipongezwa ukumbini na jamaa na marafiki.Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya sherehe hiyo, Bw. Oscar Munishi akijumuika kutoa huduma kwa wageni waalikwa ukumbini, kuhakikisha mambo yanakwenda sawa. Ibada takatifu ya ndoa ya Louis Munishi na mkewe Bi. Inviolata ilifanyika katika Kanisa la Bikira Maria mama wa huruma Mbezi Beach Jumamosi iliyopita jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya sherehe hiyo, Bw. Oscar Munishi akijumuika kutoa huduma kwa wageni waalikwa ukumbini, kuhakikisha mambo yanakwenda sawa. Ibada takatifu ya ndoa ya Louis Munishi na mkewe Bi. Inviolata ilifanyika katika Kanisa la Bikira Maria mama wa huruma Mbezi Beach Jumamosi iliyopita jijini Dar es SalaamSehemu ya meza ya wazazi wa Bibi harusi Inviolata wakimchumu mtoto wao ukumbini. Sehemu ya meza ya wazazi wa Bibi harusi Inviolata wakimchumu mtoto wao ukumbini.