COMRADE MWIGULU NCHEMBA ACHUKUA FOMU YA SERIKALI YA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA IRAMBA

COMRADE MWIGULU NCHEMBA ACHUKUA FOMU YA SERIKALI YA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA IRAMBA

August 17, 2015

Mgombea Ubunge Jimbo la Iramba kwa tiketi ya CCM Ndugu Mwigulu Nchemba akikabidhiwa Fomu za Serikali za kuwania Ubunge jimbo la Iramba kupitia CCM.Fomu zimetolea hii leo Ofisi ya Mkurugenzi wilaya ya Iramba.Mwigulu Nchemba akizaja Stakabadhi ya Malipo iliaweze kuchukua Fomu ya Kuwania Ubunge Jimbo la Iramba.Mwigulu NChemba akiwa na Wagombea Udiwani kwa tiketi ya CCM,Jimbo la Iramba.

Ngoma Africa band na Mama wa Mitindo Asia Idarous-Khamsin wanogesha hafla ya kongamano la Diaspora hoteli ya Serena jijini Dar es salaam

August 17, 2015
Ngoma Africa band yenye makazi yake nchini Ujerumani na Mama wa Mitindo Asia Idarous-Khamsin walivyonogesha hafla ya Kongamano la Pili la Diaspora lililofanyika hoteli ya Serena jijini Dar es salaam Agosti 15, 2015 ambapo Ngoma Africa band walituma CD yenye nyimbo kali mbili za kumuaga Rais Kikwete na Mama wa Mitindo alifanya onesho maalumu la mavazi ya Kiafrika.

WAZIRI HAWA GHASIA AZINDUA MAFUNZO YA MADEREVA WA MABASI YA MWENDO WA HARAKA DAR ES SALAAM LEO

August 17, 2015

 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mafunzo ya madereva wa mabasi yaendayo haraka uliofanyika  Kituo Kikuu cha Mabasi Ubungo Dar es Salaam leo asubuhi. Kulia ni Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Didas Massaburi na katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia, akijaribu kuendesha moja ya basi la mwendo wa haraka wakati wa uzinduzi wa mafunzo ya madereva wa mabasi yaendayo haraka uliofanyika  Kituo Kikuu cha Mabasi Ubungo Dar es Salaam
 Babasi ya wendo wa haraka yaliyoingia nchini kutoka nchini china,
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadiki (katikati), akizungumza katika uzinduzi huo.
Wadau mbalimbali na wanahabari wakiwa kwenye uzinduzi huo.

MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI(TPA)YASAIDIA KUFANIKISHA KONGAMANO LA PILI LA DIASPORA JIJINI DAR ES SALAAM

August 17, 2015

Hati kwa Mamlaka ya Bandari
Hati kwa Shirika la Nyumba
Hati kwa mdhamini
Hati kwa Azania Bank
Hati kwa mdhamini
Hati kwa mdhamini toka Coca Cola
Hati kwa mdhamini
Hati kwa mdhamini toka Clouds FM
Hati kwa mdhamini
Hati kwa mdhamini Mkuu
Hati kwa mdhamini mkuu
Hati na pongezi kwa mdhamini mkuu
Salamu toka kwa mdau kijana toka China
Peter Msechu na bendi yake jukwaani
Hafla ilinogeshwa na onesho la mavazi la Kiafrika toka kwa Fabak Fashions
Wanamitindo wa Fabak Fashions
Picha ya pamoja na Asia Idarous-Khamsin na wanamitindo
Picha ya pamoja na Asia Idarous-Khamsin na wanamitindo wake
Rais Kikwete akapata picha za pamoja na wadau









Rais Kikwete alipita meza moja moja kusalimia wadau wa Diaspora
Rais Kikwete alipita meza moja moja kusalimia wadau wa Diaspora
Rais Kikwete alipita meza moja moja kusalimia wadau wa Diaspora
Rais Kikwete alipita meza moja moja kusalimia wadau wa Diaspora
Rais Kikwete akisalimiana na mwanahabari wa kamati ya Diaspora na blogger maarufu nchini Maggid Mjengwa
Rais Kikwete akisalimiana na mdau wa Diaspora London, Amos Msanjila
Rais Kikwete na mdau kutoka Maputo
Selfie zilikuwepo kama kawa
Selfie na wadau wa Diaspora wa Azania Bank
Rais Kikwete akiwa na wanabendi wa Peter Msechu waliotumbuiza katika hafla hiyo
Rais Kikwete akiwa na wanabendi wa Peter Msechu waliotumbuiza katika hafla hiyo
Rais Kikwete na Asia Idarous-Khamsin na Mhe Ali Mzee Ali, Mjumbe wa Bodi ya AICC na Waziri  Dkt. Mwinyihaji Makame
Rais Kikwete akiongea na watoto na vijana wa Diaspora 
Rais Kikwete akiagana na Meneja Mkuu wa Hoteli ya Serena na wasaidizi wake baada ya hafla