March 09, 2014

TANZANIA SHINES AT ITB BERLIN, 2014

1 
Minister for Natural Resources and Tourism Hon. Lazaro Nyalandu (2nd right) with TEAM TANZANIA  participating in the ongoing International Tourism Exchange in Berlin, Germany. 2 
Minister for Natural Resources and Tourism Hon. Lazaro Nyalandu (centre) together with the Hon. Abdulkarim Shah (right-MP for Mafia) who is also the Vice Chairperson of Tanzania Tourist Board and Dr. Aloyce Nzuki, Managing Director of Tanzania Tourist Board in the ongoing International Tourism Exchange in Berlin, Germany.
……………………………………………………………………..
By Pascal Shelutete
Tanzanian stand attracted hundreds of tourists, travel agents and other tourism stakeholders in the ongoing International Tourism Exchange, which is the World’s largest annual tourism exhibition taking place in Berlin, Germany. Team Tanzania in ITB is led by the Minister for Natural Resources and Tourism, Hon. Lazaro Nyalandu. The flow of visitors in the stand who were looking for various information regarding Tanzanian tourist attractions brings hope that Tanzania will receive more tourists from Germany in the near future.
March 09, 2014

GODFREY MGIMWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI KATIKA MVUA KUBWA, WANANCHI WASEMA “NINI MVUA TUNASIKILIZA SERA”

Mgombea  ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Bw. Godfrey Mgimwa akibebwa juu juu na wananchi mara baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wa kampeni katika kijiji cha Wenda kata ya Mseke Iringa vijijini huku kukiwa na mvua kubwa ambayo hata hivyo haikuzuia kuendelea kwa mkutano huo, wananchi wa kijiji hicho walionekana kuwa na hamu kubwa ya kumsikiliza mgombea huyo wa (CCM) walisikika wakisema “Nini mvua sisi tunataka sera tu, tunataka tusikilize maneno ya huyu mgombea wa (CCM)”PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-KALENGA) 3 
Wananchi wakinyanyua mikono0 yao juu kuonyesha ishara ya kumkubali Bw. Godfrey Mgimwa katika mkutano wa kampeni kwenye kijiji cha Saadani.
March 09, 2014

IKULU YAKANUSHA HABARI YA GAZETI LA MWANANCHI YA RAIS KUMTEMBELEA MFUNGWA MARANDA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete alipotembelea Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Upasuaji wa Mishipa ya Fahamu (MOI) katika  Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jana (Jumamosi) kuwajulia hali wanahabari wawili – Ndugu Salum Mkambala wa Channel Ten (juu) na chini Ndugu Margaret Chambili wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
March 09, 2014

TANZANIA YAENDELEA KUWA KINARA WA UWATAWALA BORA

Katibu Mtendaji wa Mpango wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM) Tanzania Rehema Twalib (wa kwanza kushoto) akiongea na waandishi wa habari leo jijijni Dar es salaam ambapo Tanzania inaungana na nchi nyingine za Afrika wanachama wa mpango huo kuadhimisha siku APRM na kutoa  taarifa ya tathmini ya utawala bora nchini. Katikati ni Afisa Habari Idara ya Habari MAELEZO Frank Mvungi na wa kwanza kulia ni Mratibu wa APRM Tanzania Dkt. Cuthbert Ngalepeka.
March 09, 2014

MAZIKO YA MEJA JENERALI BAKARI SHAABANI

 Maafisa wa Jeshi la JWTZ wenye vyeo vya Meja wakiwa wamebeba Mwili wa marehemu Meja Jenerali Mstaafu Bakari Shaabani  Hassan,ukitokea katika Hospitali ya jeshi Lugalo baada ya kufariki juzi marehemu amefariki akiwa na umri wa miaka zaidi ya 60.
 Maafisa wa Jeshi la JWTZ wenye vyeo vya Meja wakiwa wameubeba Mwili wa marehemu Meja Jenerali Mstaafu Bakari Shaabani  Hassan,ukitokea katika Hospitali ya jeshi Lugalo baada ya kufariki juzi.
 Marehemu Meja Jenerali Mstaafu Bakari Shaabani  Hassan, enzi za uhai wake.