BODI YA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR YAANGAMIZA ZAIDI YA TANI KUMI ZA DAWA NA VYAKULA

BODI YA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR YAANGAMIZA ZAIDI YA TANI KUMI ZA DAWA NA VYAKULA

January 10, 2015

unnamed1rWAFANYAKAZI wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar wakiwa katika matayarisho ya uangamizaji wa vyakula na dawa mbali mbali vilivyopitwa na wakati na vile visivyokua na viwango kwa matumizi ya binaadamu zaidi ya tani 10, uangamizaji huo ulifanyika katika Kijiji cha Kibele Wilaya ya Kati Unguja.(Picha na Haroub Hussein).
unnamed2rWAFANYAKAZI wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar wakiwa katika matayarisho ya uangamizaji wa vyakula na dawa mbali mbali vilivyopitwa na wakati na vile visivyokua na viwango kwa matumizi ya binaadamu zaidi ya tani 10, uangamizaji huo ulifanyika katika Kijiji cha Kibele Wilaya ya Kati Unguja.(Picha na Haroub Hussein).
unnamed3r: KIJIKO kikiangamiza dawa, vyakula na vipodozi mbali mbali vilivyopitwa na muda wake wa matumizi pamoja na vile visivyokua na viwango kwa matumizi ya binaadamu, Bodi ya Chakula , dawa na vipodozi Zanzibar (ZFDB)iliangamiza vitu hivyo zaidi ya tani 10 katika Kijiji cha Kibele Wilaya ya Kati Unguja.(Picha na Haroub Hussein).
WAZIRI KIONGOZI MSTAAFU SHAMSI VUAI NAHODHA AFUNGUA SKULI YA SEKINDARI YA JUMBI.

WAZIRI KIONGOZI MSTAAFU SHAMSI VUAI NAHODHA AFUNGUA SKULI YA SEKINDARI YA JUMBI.

January 10, 2015

unnamed6q-
Waziri kiongozi mstaafu ambae pia ni Muakilishi wa Jimbo la Mwenakwerekwe Shamsi Vuai Nahodha akikunjuwa kitambaa ikiwa ni ishara ya Ufunguzi wa Skuli ya Sekondary ya Jumbi Wilaya ya kati Unguja ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 51ya mapinduzi ya Zanzibar.Nyuma yake ni Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Zahra Ali Hamad.
Waziri kiongozi mstaafu ambae pia ni Muakilishi wa Jimbo la Mwenakwerekwe Shamsi Vuai Nahodha akikata utepe ikiwa ni isharaya Ufunguzi wa Skuli ya Sekondary ya Jumbi Wilaya ya kati Unguja ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 51ya mapinduzi ya Zanzibar. unnamed2q 
Waziri kiongozi mstaafu ambae pia ni Muakilishi wa Jimbo la Mwenakwerekwe Shamsi Vuai Nahodha akitembelea maeneo mbalimbali ya Skuli ya Sekondary ya Jumbi Wilaya ya kati Unguja baada ya kuifungua.Kushoto yake ni Mwalimu Mkuu wa Skuli hiyo Juma Vuai Mshamba. unnamed3q 
Waziri kiongozi mstaafu ambae pia ni Muakilishi wa Jimbo la Mwenakwerekwe Shamsi Vuai Nahodha wakwanza kulia akiangalia Madawati yaliomo katika moja ya madarasa ya Skuli ya Sekondary ya Jumbi Wilaya ya kati Unguja baada ya kuifungua,ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 51ya mapinduzi ya Zanzibar.
unnamed4q-
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali  Zahra Ali Hamad.akitoa hotuba ya makaribisho kwa Waziri kiongozi mstaafu ambae pia ni Muakilishi wa Jimbo la Mwenakwerekwe Shamsi Vuai Nahodha katika ufunguzi wa Skuli ya Sekondary ya jumbi Wilaya ya kati Unguja baada ya kuifungua,ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka  51ya mapinduzi ya Zanzibar. unnamed5q 
Waziri kiongozi mstaafu ambae pia ni Muakilishi wa Jimbo la Mwenakwerekwe Shamsi Vuai Nahodha akitoa hotuba katika ufunguzi wa Skuli ya Sekondary ya jumbi Wilaya ya kati Unguja baada ya kuifungua,ikiwa ni shamra shamra za maadhimisho ya miaka 51ya mapinduzi ya Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
SHEREHE YA MAOFISA MAGEREZA KUUAGA MWAKA 2014 NA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA 2015 YAFANA JIJINI DAR

SHEREHE YA MAOFISA MAGEREZA KUUAGA MWAKA 2014 NA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA 2015 YAFANA JIJINI DAR

January 10, 2015

  unnamed1t 
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Nchini, John Casmir Minja akitoa neno fupi kabla ya kumkaribisha rasmi Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe(wa tatu kushoto) atoe hotuba yake (wa kwanza kulia) ni Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa GEPF, Bw. Daud Msangi(wa pili kulia) ni Kamishna wa Huduma za Urekebishaji, Deonice Chamulesile(wa tatu kulia) ni Mkurugenzi Mkuu wa NIDA, Bw. Dickson Mwaimu(wa kwanza kushoto) ni Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza, Dkt. Juma Malewa) . unnamed4t 
Maofisa wa Jeshi la Magereza pamoja na Wageni waalikwa wakipita mbele ya Mgeni rasmi kwa ajili ya kutosi glasi za vinywaji katika sherehe ya kuuaga mwaka 2014 na kuukaribisha mwaka mpya 2015. unnamed5t 
Mgeni rasmi, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe akikabidhi zawadi ya Luninga mmoja wa Maofisa wa Jeshi la Magereza ambaye ni Mhakiki wa Sanaa na Lugha Chuo cha Maafisa Magereza Ukonga, Mrakibu wa Magereza, Rashid Mtimbe katika sherehe ya kuuaga mwaka 2014 na kuukaribisha mwaka mpya 2015.unnamed6t 
Maofisa wa Jeshi la Magereza pamoja na Wageni waalikwa wakisakata rumba katika sherehe ya kuuaga mwaka 2014 na kuukaribisha mwaka mpya 2015.
MATEMBEZI YA VIJANA 500 (UVCCM) WA MIKOA YA ZANZIBAR NA TANZANIA BARA

MATEMBEZI YA VIJANA 500 (UVCCM) WA MIKOA YA ZANZIBAR NA TANZANIA BARA

January 10, 2015

unnamed2f unnamed3fMAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mhe. Mboni Mhita akiongoza matembezi ya siku tatu ya Vijana mia tano kutoka mikoa mbali mbali ya Zanzibar na Tanzania bara kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar, ambapo vijana hao walitembea mikoa yote mitatu Unguja.(Picha na Haroub Hussein).
unnamed1f 
VIJANA 500 wa Chama cha Mapinduzi wakiwa katika matembezi ya siku tatu kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiwa katika eneo la Rahaleo.(Picha na Haroub Hussein).
unnamed2f
unnamed4f unnamed5f 
NAIBU Waziri wa Afrika Mashariki, Mhe. Juma Sadalla( mbele kushoto) akiungana na Vijana 500 wa Chama cha Mapinduzi katika matembezi ya siku tatu kuadhimisha miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(Picha na Haroub Hussein).
DK. MAGUFULI AHUDHURIA MAZISHI YA MTOTO WA RAILA ODINGA, NCHINI KENYA

DK. MAGUFULI AHUDHURIA MAZISHI YA MTOTO WA RAILA ODINGA, NCHINI KENYA

January 10, 2015



Waziri wa Ujenzi,Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mfiwa, Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya,Mh. Raila Odinga wakiongozana kuelekea sehemu maalum ya kuaga mwili wa Marehemu Fidel Odinga kabwa ya kuzikwa kwake.…SOURCE http://www.globalpublishers.info/
Waziri wa Ujenzi,Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mfiwa, Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya,Mh. Raila Odinga wakiongozana kuelekea sehemu maalum ya kuaga mwili wa Marehemu Fidel Odinga kabwa ya kuzikwa kwake.
Waziri wa Ujenzi,Dkt. John Pombe Magufuli akishiriki ibada ya kuaga mwili wa Marehemu Fidel Odinga kabwa ya kuzikwa kwake.Kushoto ni Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya,Mh. Raila Odinga ambaye ni baba wa Marehemu.
Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya,Mh. Raila Odinga ambaye ni baba wa Marehemu akimuombea mwanae.