Rais Kikwete afungua Mkutano wa Wakaguzi wa Hesabu za Serikali Dar es Salaam

Rais Kikwete afungua Mkutano wa Wakaguzi wa Hesabu za Serikali Dar es Salaam

June 23, 2014

1 (1) (1) 
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali Bwana Ludovick  Utouh  akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Kikwete na kuwatambulisha baadhi ya wageni na viongozi waandamizi walioshiriki katika hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa wakaguzi wa Hesabu za Serikali uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere(JNICC) jijini Dar es Salaam leo.Kutoka kushoto ni balozi wa Sweden Mh.Lennarth Hjelmaker, mdhibiti na mkaguzi Mkuu wa Serikali ya Sweden Bwana Jan Landahl, na watatu kutoka kushoto ni Bibi Lara Tayloir Pearce ambaye ni mdhibiti na mkaguzi mkuu wa Serikali ya Sierra leone.
1 (2) (1) 
Baadhi ya wajumbe walioshiriki katika hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Mwaja wa wakaguzi wa Hesabu za Serikali uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Julius Nyerere(JNICC) jijini Dar es Salaam leo.(picha na Freddy Maro).

SSRA YATOA SOMO KWA MADAS NA WATUMISHI WA HALMASHAURI MKOANI TANGA.

June 23, 2014
KATIBU TAWALA WA MKOA WA TANGA,SALUMU CHIMA AKIZUNGUMZA LEO WAKATI AKIFUNGUA SEMINA YA SIKU MOJA YA SSRA KWENYE UKUMBI WA MKUU WA MKOA WA TANGA ILIYOHUSISHA SECRETARIETI YA MKOA WA TANGA,MAAFISA UTUMISHI KUTOKA HALMASHAURI ZOTE .


MWAKILISHI WA MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA UDHIBITI WA MIFUKO YA HIFADHI ZA JAMII NCHINI (SSRA) CARINA WENGWE AKIZUNGUMZA KATIKA SEMINA YA SIKU MOJA ILIYOHUSISHA MAKATIBU TAWALA,,SECRETARIETI YA MKOA WA TANGA NA MAAFISA UTUMISHI WA HALMAMSHAURI MKOANI HAPA LENGO LIKIWA KUWAPA UELEWA WA MAJUKUMU YA MFUKO HUO




MWAKILISHI WA MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA UDHIBITI WA MIFUKO YA HIFADHI ZA JAMII NCHINI (SSRA) CARINA WENGWE AKIZUNGUMZA KATIKA SEMINA YA SIKU MOJA

KATIBU TAWALA MSAIDIZI MKOA WA TANGA UPANDE WA MIUNDOMBINU,MONICA KINALLA AKIUZNGUMZA KATIKA SEMINA HIYO LEO




MWAKILISHI WA KITENGO CHA UHUSIANO NA UHAMASISHAJI SSRA,AMINA ALLY AKITOA NENO KWENYE SEMINA HIYO AMBAYO ILIFANYIKA LEO KWENYE UKUMBI WA MIKUTANO WA MKUU WA MKOA WA TANGA.
AFISA HABARI WA MKOA WA TANGA,MONICA LAURENT AKIZUNGUMZA KWENYE SEMINA HIYO LEO
 


 MWAKILISHI WA MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA UDHIBITI WA MIFUKO YA HIFADHI ZA JAMII NCHINI (SSRA) CARINA WENGWE AKIFUATILIA MADA MBALIMBALI KWENYE SEMINA HIYO YA SIKU MOJA
WAJUMBE KUTOKA HALMASHAURI MBALIMBALI MKOANI TANGA WAKIFUATILIA MADA ZILIZOKUWA ZIKIWASILISHWA KWENYE SEMINA HIYO.
KATIBU TAWALA WILAYA YA KOROGWE,PETER MABUGA AKIZUNGUMZA WAKATI WA SEMINA HIYO ILIYOFANYIKA LEO MKOANI HAPA.


AFISA UTUMISHI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KOROGWE,SAMINA AYUB GULLAM AKISISITIZA JAMBO WAKATI WA SEMINA HIYO YA LEO ILIYOFANYIKA KWENYE UKUMBI WA MIKUTANO OFISI YA MKUU WA MKOA WA TANGA.

MWAKILISHI WA MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA UDHIBITI WA MIFUKO YA HIFADHI ZA JAMII NCHINI (SSRA) CARINA WENGWE AKIFUATILIA MADA MBALIMBALI KWENYE SEMINA HIYO YA SIKU MOJA


AFISA UTUMISHI WILAYA YA HANDENI MKOANI TANGA,NOEL ABEL AKIULIZA SWALI KATIKA SEMINA HIYO ILIYOFANYIKA LEO KWENYE UKUMBI WA MKUU WA MKOA WA TANGA .

HRO RAS TANGA,ROBERT MTATIRO AKIULIZA SWALI KWENYE SEMINA HIYO ILIYOFANYIKA LEO NA KUHUSISHA WAJUMBE KUTOKA HALMASHAURI MBALIMBALI MKOANI HAPA.

KULIA NI KATIBU TAWALA MSAIDIZI MKOA WA TANGA UPANDE WA MIUNDOMBINU,MONICA KINALLA AKIZUNGUMZA JAMBO WAKATI WA SEMINA YA SIKU MOJA ILIYOKUWA NA LENGO KUWAPA UELEWA WA MAJUKUMU YA (SSRA) NA KUSHOTO NI MWAKILISHI WA KITENGO CHA UHUSIANO NA UHAMASISHAJI SSRA,AMINA ALLY


MWAKILISHI WA KITENGO CHA UHUSIANO NA UHAMASISHAJI SSRA,AMINA ALLY AKIANDIKA BAADHI YA MAMBO YALIYOKUWA YAKIJADILIWA KWENYE SEMINA HIYO.


WAJUMBE WAKIFUATILIA MADA ZILIZOKUWA ZIKIWASILISHWA KWENYE SEMINA HIYO LEO
KATIBU TAWALA WA MKOA WA TANGA,SALUM CHIMA KUSHOTO NI AMINA ALLY MWAKILISHI WA KITENGO CHA UHUSIANO NA UHAMASISHAJI WA SSRA NA KULIA NI MWAKILISHI WA MKURUGENZI WA SSRA CARINA WANGWE WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WASHIRI WA SEMINA YA SIKU MOJA ILIYOKUWA IKIRATIBIWA NA SSRA.