MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA KUWAIT MHANDISI YOUSEF AL FOZAN AWASILI NCHINI KUSAINI MAKUBALIANO YA USAFIRI WA ANGA NA TCAA.

MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA USAFIRI WA ANGA KUWAIT MHANDISI YOUSEF AL FOZAN AWASILI NCHINI KUSAINI MAKUBALIANO YA USAFIRI WA ANGA NA TCAA.

March 28, 2016


Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Kuwait ,Mhandisi Yousef Al Fozan , maoja na msafara wake wakiwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es alaam leo.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania,(TCAA) Hamza Johari, (wapili kushoto) akiwa na maofisa wa Ubalozi wa Kuwait hapa nchini kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es alaam wakimsubiria Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Kuwait ,Mhandisi Yousef Al Fozan aliyewasili nchini kwa ajili ya kusaini makubaliano ya safari za Anga baina ya Tanzania na Kuwait.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania,(TCAA) Hamza Johari (Kushoto)akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Kuwait ,Mhandisi Yousef Al Fozan ,mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam leo,Kwa ajili ya kusaini makubaliano ya safari za Anga baina ya Tanzania na Kuwait.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania,(TCAA) Hamza Johari, (wapili kushoto) akiwa kwenye gari pamoja na wageni wake kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Kuwait ,Mhandisi Yousef Al Fozan na Kulia ni Ofisa Mwandamizi wa Ubalozi wa Kuwait Nchini, Mohamed Rashid Alamiri, mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es alaam leo,Kwa ajili ya kusaini makubaliano ya safari za Anga baina ya Tanzania na Kuwait.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania,(TCAA) Hamza Johari, (wapili kushoto) akiwa na mgeni wake Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Kuwait ,Mhandisi Yousef Al Fozan, wakati alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es alaam kwa ajili ya kusaini makubaliano ya safari za Anga baina ya Tanzania na Kuwait.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Kuwait ,Mhandisi Yousef Al Fozan ,(Kulia) akimfafanulia jambo Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania,(TCAA) Hamza Johari, kuhusiana na usafiri wa Anga mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es alaam leo,Kwa ajili ya kusaini makubaliano ya safari za Anga baina ya Tanzania na Kuwait.

MBUNGE MAJIMAREFU ALIENDELEA NA ZIARA JIMBONI KWAKE

March 28, 2016


 Moja ya milima iliyoko kata ya Kerenge jimbo la Korogwe Vijijini ambayo nyakati za jioni hutoa moshi na usiku hadi alfajiri hutiririsha maji baridi.

 Wananchi kata ya Kwashemshi jimbo la Korogwe Vijijini wakimsikiliza Mbunge wao Majimarefu wakati alipofanya ziara ya kuwashukuru na kusikiliza kero zao jana.




 Mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM) Stivin Ngonyani Almaarufu Profesa Majimarefu akihutubu katika mkutano wa hadhara kata ya Kerenge jimbo la Korogwe Vijijini jana.