*CHEKI PICHA ZA MATUKIO YA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA MUUNGANO JANA , WANAJESHI WATIA FORA

April 26, 2014


 Rais Jakaya Kikwete, akikagua gwaride...
 Paredi la askari....likiwa ni tofauti na ilivyozoeleka...
 Moshi wa rangi...
 Ndege za kijeshi zikipita kwa speed ya ajabu...
 Askari wa Jeshi akishuka kwa Parachuti....
 Askari wa Miamvuli wakishuka kutoka umbali wa Futi 4000.....
 Watoto wa Halaiki...
Wasanii wa miziki tofauti tofauti 50, walioshirikiana kuimba wimbo maalum wa miaka 50 ya Muungano wa Tanzania, wakitoa burudani wakati wa sherehe hizo.