Karibuni PSPF

June 06, 2013
AFISA Mfawidhi wa Mfuko wa PSPF Mkoa wa Tanga,Salome Makau akizungumza na wafanyakazi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa leo.

Wafanyakazi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Tughe,Ally Kibwana leo

June 06, 2013

Nasi pia tulikuwepo

June 06, 2013
WAANDISHI wa Habari wakiwa kazini katika mkutano huo,kushoto ni Mbonea Hermani Mwandishi wa gazeti la Jambo leo Tanga na Clouds Fm Tanga,anayefuatia ni Mwandishi wa gazeti la Mtanzania Sussan Uhinga,Picha na Mpicha picha wetu

Tumekuelwa mkuu

June 06, 2013
WAFANYAKAZI wa Ofisi ya Ras Tanga wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Tughe,Ally Kibwana leo wakati akizungumza na wafanyakazi hao

Katibu Mkuu Tughe.

June 06, 2013
KATIBU  Mkuu wa chama ya Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya TUGHE,Ally Kibwana akizungumza na wanafanyakazi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa leo ,kulia kwake ni OFISA Mfawidhi wa PSPF Mkoa wa Tanga,Salome Makau.

MFUKO wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma watoa somo kwa wafanyakazi Ras Tanga.

June 06, 2013

MFUKO WA PSPF watoa elimu kwa wafanyakazi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga.

June 06, 2013
KATIBU wa Tughe Ally Kibwana kulia kwake ni Meneja wa Mfuko wa Pensheni kwa watumishi wa Umma PSPF,Salome Makall kushoto kwake ni Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Monica Kinala wakati wakati wakitoa mada kwa wafanyakazi wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa Tanga leo.