KATIBU MKUU WA SHIRIKA LA KIMATAIFA LA USAFIRI WA ANGA (ICAO) BW,RAYMOND BENJAMIN AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI KUANZIA TAREHE 14 HADI 18 MEI 2014

KATIBU MKUU WA SHIRIKA LA KIMATAIFA LA USAFIRI WA ANGA (ICAO) BW,RAYMOND BENJAMIN AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI KUANZIA TAREHE 14 HADI 18 MEI 2014

May 14, 2014

000 . 
Waziri wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe  akiongozana na Katibu Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga  (ICAO) Raymond Benjamin  baada ya kuwasilia  katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam,kwa ziara ya kikazi  nchini kuanzia leo tarehe 14n hadi  18 Mei 2014. Tanzania ni moja ya nchi mbili ikiwemo Ethiopia atakazotembelea katika Kanda ya ICAO .
o1  
Waziri wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe  akiteta jambo na Katibu Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga  (ICAO) Raymond Benjamin( Kulia) baada ya kuwasilia  katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, kwa ziara ya Kiakazi hapa nchini.
06  
Waziri wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe wapili kutoka kushoto  akiongea wakati alipokuwa akimkalibisha  Katibu Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga  (ICAO) Raymond Benjamin   watatu kutoka (kushoto)baada ya kuwasilia  katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam,kwa ziara ya kikazi  nchini kuanzia leo tarehe 14n hadi  18 Mei 2014. Tanzania ni moja ya nchi mbili ikiwemo Ethiopia atakazotembelea katika Kanda ya ICAO .07 
Katibu Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga  (ICAO) Raymond Benjamin wa tatu kutoka (kulia)  akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Uchukuzi Dk. Harrison Mwakyembe na Viongozi mbalimbali wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania.
Rais Kikwete azindua Huduma ya M-PAWA ya Vodacom

Rais Kikwete azindua Huduma ya M-PAWA ya Vodacom

May 14, 2014

D92A2564  
Mkurugenzi Mkuu wa VODACOM Tanzania Bwana Rene Meza akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam ambapo alizindua Huduma ya M-PAWA leo.
D92A2603 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake wakati wa uzinduzi wa Huduma ya kampuni ya simu ya VODACOM iitwayo M-PAWA itakayowawezesha watumiaji kutuma na kupokea pesa kwa urahisi zaidi na pia kupata mikopo ya pesa kwa matumizi mbalimbali.Hafla hiyo ya uzinduzi ilifanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam leo.
D92A2675  
Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria hafla ya uzinduzi wa Huma ya-M-PAWA ya kampuni ya simu ya VODACOM wakisikiliza kwa makini hotuba ya uzinduzi iliyotolewa na Rais Dkt.Jakaya Mrisho kikwete katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam leo.
D92A2698 
Wasanii waionesha mabango wakati wa uzinduzi wa huduma ya M-PAWA(picha na Freddy Maro)

AKO LABAMBA YAJITOSA MISS UBUNGO

May 14, 2014
 Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
CLABU ya Ako Labamba ya jijini Dar es Salaam imejitosa kudhamini shindano la Miss Ubungo litakalofanyika mwezi ujao.
Baadhi ya washiriki wa Miss Ubungo 2014 wakiwa katika pozi. 
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana, Meneja Miradi wa Kampuni ya AKO Group Ltd, Honesty Minde, alisema wameamua kudhami ni shindano hilo ili kusaidia kulifanikisha.


Alisema wameamua kuwasaidia waandaaji wa shindano hilo ili kukuza sanaa ya urembo, wakiamini kuwa ndio dira ya maendeleo kwa Watanzania wote.
Baadhi ya washiriki wakiwa katika pozi kwenye clabu ya Ako Labamba.
“Tuliamua kuwapa maeneo ya kufanya mazoezi pamoja na huduma nyingine muhimu kwa waandaaji na warembo wao. “Naamini kwa pamoja tutafanikisha kwa vitendo mafanikio makubwa ya Miss Ubungo mwaka huu, ukizingatia kuwa ndio lengo letu,” alisema.


Wadhamini wengine katika shindano hilo ni Sigmark Tanzania, Prima Hair, Smart Bol, Handeni Kwetu Blog, MG Hostel, City Park Hotel, Milladayo.com, Dartalk na Nelson Fashion.

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AFUNGUA MKUTANO WA ALAT LEO MJINI TANGA

May 14, 2014
WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA KULIA AKISISITIZA JAMBO NA MKURUGENZI WA MASOKO NA MAHUSIANO WA UTT-ASSET MANAGEMENT AND INVESTOR SERVICE P/C,DAUDI MBAGA MARA BAADA YA KUTEMBELEA BANDA LAO LEO KUSHOTO NI AFISA MWANDAMIZI MASOKO NA UHUSIANO MARTHA MASHIKU.



MKURUGENZI WA MASOKO NA MAHUSIANO WA UTT-ASSET MANAGEMENT AND INVESTOR SERVICE P/C,DAUDI MBAGA KATIKA AKI,MUANDALIA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA VIPEPERUSHI VYA UTT WAKATI ALIPOTEMBELA BANDA LAO LEO  KATIKATI NI AFISA MWANDAMIZI MASOKO NA UHUSIANO MARTHA MASHIKU. NA KUSHOTO NI AFISA MASOKO NA UHUSIANO RAHIM MWANGA

AFISA MWANDAMIZI MASOKO NA UHUSIANO MARTHA MASHIKU ALIMUHUDUMIA MTEJA ALIYETEMBELEA KWENYE BANDA LAO LA UTT LEO

AFISA MWANDAMIZI MASOKO NA UHUSIANO WA UTT ,MARTHA MASHIKU AKIMSIKILIZA MTEJA ALIYETEMBELEA BANDA LAO LILILOPO KWENYE HOTEL YA REGAL NAIVERA KUNAPOFANYIKA MKUTANO MKUU WA ALAT.

AFISA MASOKO NA UHUSIANO WA UTT,RAHIM MWANGA AKIMUHUDUMIA MTEJA KWENYE BANDA LAO LEO

 MKURUGENZI WA MASOKO NA MAHUSIANO WA UTT-ASSET MANAGEMENT AND INVESTOR SERVICE P/C,DAUDI MBAGA KULIA AKITAFAKARI JAMBO KUSHOTO KWAKE NNI AFISA MWANDAMIZI MASOKO NA UHUSIANO WA UTT ,MARTHA MASHIKU