NHIF ILIVYOSHIRIKI MAONYESHO YA BIASHARA NA UTALII YA 10 JIJINI TANGA

June 15, 2023


Afisa Matekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Macrina Clemence kulia akitoa elimu kwa mmoja wa wananchi waliofika kwenye Banda lao wakati wa maonyesho  ya 10 ya Biashara na Utalii yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwahako Jijini Tanga 
Wananchi wakiwa kwenye Banda ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wakipatiwa huduma mbalimbali wakati wa maonyesho hayo
Wananchi wakiendelea kupata huduma kwenye Banda ya NHIF