April 27, 2013
Mashabiki wakishuhudia mechi ya African Sports na Small Prisoni jana kwenye uwanja wa Mkwakwani ambapo Sports walikubali kichapo cha bao 1-0.

Lazima tushinde mechi hii

April 27, 2013

KOCHA wa Azam Fc,Stewart Halla akiwapa semina elekezi wachezaji wake kabla ya kuanza mtanange kati yao na Coastal Union ambapo timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1,Picha zote na Oscar Assenga,Tanga.

hapa ni kazi tu

April 27, 2013
KOCHA Mkuu wa Azam Fc,Stewart Hall akiingia uwanja wa Mkwakwani jana kabla ya kuanza mechi ya Ligi kuu Tanzania bara dhidi yao na Coastal Union ambapo timu hizo ziliweza kutoka sare ya kufungana bao 1-1.

mashabiki

April 27, 2013
MASHABIKI wa Coastal Union wakishangilia baada ya mechi ya Coastal Union na Azam FC kumalizika ambapo timu hizo zilitoka suluhu pacha ya kutokufungana,Picha na Mwandishi Wetu