SKULI YA SECONDARY YA FARAJA YAFUNGULIWA ZANZIBAR.

SKULI YA SECONDARY YA FARAJA YAFUNGULIWA ZANZIBAR.

January 06, 2015

Jengo la Skuli ya Secondary ya  Faraja lililofunguliwa na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi Kwamtipura Mjini Zanzibar ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 51ya Mapinduzi ya Zanzibar.PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR. unnamed2B  
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akikunjuwa Kitambaa ikiwa ni ishara ya Ufunguzi wa Skuli ya Secondary ya Faraja Kwamtipura Mjini Zanzibar ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 51ya Mapinduzi ya Zanzibar. unnamed4B 
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi akitembelea maeneo mbali mbali ya Skuli ya Secondary ya Faraja Kwamtipura Mjini Zanzibar baada ya kuifungua rasmi ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 51ya Mapinduzi ya Zanzibar. unnamed5B 
Baadhi ya Walimu na wananchi mbalimbali waliohudhuria katika Ufunguzi wa Skuli ya Secondary ya Faraja Kwamtipura Mjini Zanzibar  ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 51ya Mapinduzi ya Zanzibar. unnamed6B 
Wanafunzi wa Madrasa ya Kamaria wakileta burudani ya Kasida katika ufunguzi wa Skuli ya Secondary ya Faraja Kwamtipura Mjini Zanzibar ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 51ya Mapinduzi ya Zanzibar.
unnamed7B 
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamhuna akitoa maelezo kuhusiana na Skuli ya Secondary ya Faraja iliofunguliwa na  Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi Kwamtipura Mjini Zanzibar ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra za Maadhimisho ya miaka 51ya Mapinduzi ya Zanzibar.

POLISI TANGA YAWASHIKILIA WAHAMIAJI HARAMU 13

January 06, 2015

MAKOBAZI BEI POA

January 06, 2015


 Wakazi wa mji wa Chake Chake Wilaya Kusini Pemba wakinunua viatu aina ya Makobazi kwa muuzaji Fakihi Mansour eneo la njia ya kwenda kituo cha magari yaendayo Wilayani na katikati ya mji. Kobazi pea mmoja ilikuwa ikiuzwa kati ya shilingi  20,000, hadi 28,000.



PESA NOMA HATIMAYE DIAMOND AGEUZWA BUSHOKE NA ZARI...ABEBESHWA POCHI HUKU BAUNSA WAKE AKIMCHEKA

January 06, 2015

Baada ya Diamond Platinumz a.k.a Chibu kunaswa na camera akiwa amembebea mkoba mpenzi wake Zarri Hussein, jiulize je wanaume wangapi tunaliweza jambo hilo.
Kwa kitendo hicho ambacho wanawake wengi wamekifagilia na kukiita cha kigentleman unampa maksi ngapi msanii huyu?

MAKAMU WA RAIS,DKT. BILAL AZINDUA KITUO CHA KOMPYUTA CHA SKULI YA KIEMBE SAMAKI ZANZIBAR WAFANYIKA

January 06, 2015

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk,Mohd Gharib Bilali kushoto akisalimiana na Balozi mdogo wa China alieko Zanzibar Mr.Xie Yunliang katika ufunguzi wa Kituo cha Kompyuta cha Skuli ya Secondary ya Kiembe Samaki mjini Zanzibar ikiwa ni Shamra shamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk,Mohd Gharib Bilal akikata Utepe kuashiria ufunguzi wa Kituo cha Kompyuta cha Skuli ya Secondary ya Kiembe Samaki mjini Zanzibar ikiwa ni Shamra shamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk,Mohd Gharib Bilal akipata maelezo kuhusiana na Compyuta kwa Balozi mdogo wa china alieko Zanzibar Mr.Xie Yunliang katika ufunguzi wa Kituo cha Kompyuta cha Skuli ya Secondary ya Kiembe Samaki mjini Zanzibar ikiwa ni Shamra shamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk,Mohd Gharib Bilal akitoa hotuba katika ufunguzi wa Kituo cha Kompyuta cha Skuli ya Secondary ya Kiembe Samaki mjini Zanzibar ikiwa ni Shamra shamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.kulia yake ni Balozi mdogo wa china alieko Zanzibar Mr.Xie Yunliang na kushoto yake ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Ali Juma Shamhuna.
Baadhi ya Walimu na Wanafunzi waliohudhuria katika sherehe ya ufunguzi wa Kituo cha Kompyuta cha Skuli ya Secondary ya Kiembe Samaki mjini Zanzibar ikiwa ni Shamra shamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar. PICHA NA YUSSUF SIMAI.MAELEZO ZANZIBAR.

Waamuzi 11 nchini wapata Beji za FIFA

January 06, 2015


 Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF),Jamal Malinzi akizungumza na Waandishi wa Habari pamoja na baadhi ya waamuzi waliopata hadhi ya kuwa waamuzi wenye beji za FIFA katika hafla fupi ya kukabidhi Beji hizo,iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karume Mchikichini,Jijini Dar es salaam.Jumla ya waamuzi 11 wamepata Beji ya FIFA mwaka huu na kupelekea idadi ya waamuzi wote nchini wenye Beji hizo kufikia 18.Picha zote na Othman Michuzi.

Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF),Celestine Mwesigwa akizungumza machache katika hafla hiyo.
 Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF),Jamal Malinzi akisisitiza jambo kwa waamuzi waliopata beji za FIFA wakati akiwaonyesha kitabu cha Maadili ya FIFA katika hafla iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karume Mchikichini,Jijini Dar es salaam.
 Kiongozi wa Waamuzi wanaume waliopata Beji ya FIFA,Mujuni Mkongo (kati) akizungumza Waandishi wa Habari (hawapo pichani) wakati akitoa shukrani zake kwa uongozi wa TFF kwa jitihada walizozionyesha mpaka kuwafanikisha wao kupata hadhi hiyo,pia alitoa wito kwa Waamuzi wengine kuipenda kazi yao na wajitume zaidi.Kushoto ni Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF),Jamal Malinzi na kulia ni Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF),Celestine Mwesigwa.
 Kiongozi wa Waamuzi wanawake waliopata Beji ya FIFA,Hellen Mduma akizungumza Waandishi wa Habari (hawapo pichani) wakati akitoa shukrani zake kwa niaba ya Waamuzi wenzake.Kushoto ni Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF),Jamal Malinzi na kulia ni Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF),Celestine Mwesigwa.
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF),Jamal Malinzi akimkabidhi Beji ya FIFA,Mwamuzi Jonesia Rukyaa katika hafla iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karume Mchikichini,Jijini Dar es salaam.
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF),Jamal Malinzi akimkabidhi Beji ya FIFA,Mwamuzi Sophia Mtongori katika hafla iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karume Mchikichini,Jijini Dar es salaam.
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF),Jamal Malinzi akimkabidhi Beji ya FIFA,Mwamuzi Florentina Zabron katika hafla iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karume Mchikichini,Jijini Dar es salaam.
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF),Jamal Malinzi akimkabidhi Beji ya FIFA,Mwamuzi Msaidizi Grace Muhindi katika hafla iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karume Mchikichini,Jijini Dar es salaam.
Sehemu ya Waamuzi waliopata Beji ya FIFA pamoja na wageni mbali mbali.
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF),Jamal Malinzi akimkabidhi Beji ya FIFA,Mwamuzi Kiongozi Mujuni Mkongo katika hafla iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karume Mchikichini,Jijini Dar es salaam.Kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Wamuzi Tanzania,Salim Chama.
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF),Jamal Malinzi akimkabidhi Beji ya FIFA,Mwamuzi Msaidizi, Sudi Hilla katika hafla iliyofanyika leo kwenye Viwanja vya Karume Mchikichini,Jijini Dar es salaam.Kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Wamuzi Tanzania,Salim Chama.
Uongozi wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) chini ya Rais Jamal Malinzi ukiwa katika picha ya pamoja na waamuzi hao waliopata Beji ya FIFA.