Karibuni sana Banda la Mfuko wa Pensheni PFF lililopo viwanja vya Tangamano.

May 18, 2013
MENEJA wa Mfuko wa Pensheni PPF kanda ya Kinondoni,Pwani na Tanga,Zahra Kayugwa akizungumza na waandishi wa habari ambao hawapo pichana mapema leo wakati walipolitembelea banda hilo ambalo lipo katika viwanja vya Tangamano jijini Tanga kunapofanyika maonyesho ya biashara  ya kimataifa aliyeketi kushoto kwake ni Afisa Uhusiano wa Mfuko huo Janet Ezekiel.

Mkuu tupange hivi

May 18, 2013
MENEJA wa Mfuko wa Pensheni wa PPF kanda ya Kinondoni,Pwani na Tanga,Zahra Kayugwa akitete jambo na mmoja kati ya wafanyakazi wa mfuko huo mkoani Tanga wakati wakiwa katika banda lao lililopo kwenye viwanja vya Tangamano ambapo maonyesho ya biashara ya kimataifa yanafanyika.

PPF nao wapo Tangamano

May 18, 2013
AFISA Uhusiano wa Mfuko wa Pensheni PPF,Janet Eziekiel akiwa na Meneja wa Mfuko huo Kanda ya Pwani,Kinondoni  na Tanga ,Zahra Kayugwa leo katika viwanja Tangamano.