MBUNGE MAJI MAREFU AWA GUMZO ASHIRIKI KUFYATUA MATOFALI BAADA YA KUFUNGUA KIWANDA

September 01, 2017
 Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stepheni Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu akishiriki kufyetua matofali 10000 ambayo baadae yatagawiwa kwa kata 29 kwa ajili ya ujenzi wa madarasa na zahanati ikiwemo nyumba za wafanyakazi wa serikali  baada ya kupata saruji mifuko 200 kutoka kwa Mohamed MO na Hoza Farm naye amempa mifuko mingine 100

Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stepheni Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu akishiriki kufyetua matofali 10000 ambayo baadae yatagawiwa kwa kata 29 kwa ajili ya ujenzi wa madarasa na zahanati ikiwemo nyumba za wafanyakazi wa serikali

Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stepheni Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu akiwa kwenye harakati za kufyetua matofali hayo
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stepheni Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu akibeba tofali mara baada ya kulifyetua
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stepheni Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu akiendelea na kazi
 Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stepheni Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu mwenye shati za njano akishiriki kufyatua matofali na viongozi wa CCM Korogwe Vijijini
 Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini (CCM) Stepheni Ngonyani alimaarufu Proffesa Maji Marefu akiwa amebeba tofali mara baada ya kulifyetuaa

MADIWANI JIJINI TANGA WATAKIWA KUHESHIMU TARATIBU ZA VIKAO

September 01, 2017
Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga (CCM) Alhaji Mustapha Selebosi ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Nguvumali akizungumza kwenye kikao cha kawaida cha Baraza la Madiwani kulia ni Mkurugenzi wa Jiji la Tanga Daudi Mayeji akipitia kabrasha kushoto ni Naibu Meya wa Jiji hilo,Mohamed Haniu ambapo Meya huyo aliwataka madiwani kuheshimu taratibu za vikao.
Mkurugenzi wa Jiji la Tanga,Daudi Mayeji akizungumza wakati wa kikao hicho kushoto ni Mstahiki Meya wa Jiji hilo,Alhaj Mustapha Selebosi na kulia ni Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa
Naibu Meya wa Jiji la Tanga,Mohamed Haniu akizungumza wakati wa kikao hicho kulia ni Mstahiki Meya wa Jiji hilo(CCM) Alhaj  Mustapha Selebosi kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaji Mussa Mbaruku
Mkuu wa wilaya ya Tanga,Thobias Mwilapwa akizungumza wakati wa kikao hicho.
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku akizungumza wakati wa kikao hichi Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku
Waheshimiwa madiwani kutoka kata mbalimbali wakifuatilia hoja mbalimbali kwenye kikao hicho
Wataalamu kutoka idara mbalimbali katika Halamshauri ya Jiji la Tanga wakifuatilia kwa umakini kikao hicho
Wakuu wa Idara mbalimbali wakifuatilia kwa umakini katika kikao hicho katika ni Mchumi wa Jiji la Tanga,Ramadhani Posi
Waheshimiwaa madiwani wakifuatilia kikao hicho kulia ni diwani wa kata ya Central Khalid Mohamed
Waheshimiwaa madiwani wakifuatilia kikao hicho
Mbunge wa Jimbo la Tanga (CUF) Alhaj Mussa Mbaruku katikati akifuatilia taarifa mbalimbali kwenye kikao hicho kulia ni Naibu Meya wa Jiji la Tanga (CUF) Mohamed Haniu kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Tanga,Kassim Mbuguni
 Meneja wa Kituo cha Television ya Jiji la Tanga TATV Mussa Labani akifuatilia kikao hicho
Waandishi wa Habari kutoka Vyombo mbalimbali wakifuatilia kikao hicho kulia ni Dege Masoli wa Nipashe Tanga,Mbaruku Yusuph wa Tanzania Daima kushoto

JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA LAADHIMISHA MIAKA 53 TOKA KUANZISHWA KWAKE

September 01, 2017

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya  Wananchi wa Tanzania Jenerali Venance Mabeyo akizungumzia  maadhimisho ya miaka 53 tangu kuanzishwa kwa jeshi hilo la Wananchi katika Makao makuu ya Jeshi hilo Ngome jijini Dar es Salaam.
 Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya  Wananchi wa Tanzania Jenerali Venance Mabeyo akizungumzia  maadhimisho ya miaka 53 tangu kuanzishwa kwa jeshi hilo la Wananchi katika Makao makuu ya Jeshi hilo Ngome jijini Dar es Salaam.

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya  Wananchi wa Tanzania Jenerali Venance Mabeyo akiwa katika picha na Jenerali wa kwanza Mzalendo kuliongoza Jeshi hilo Jenerali Mstaafu Mrisho Sarakikya wa kwanza kushoto  pamoja na Jenerali Mstaafu Davis Mwamunyange mara baada ya kuzungumza kuhusu kuhusu miaka 53 tangu kuanzishwa kwa jeshi hilo la Wananchi katika Makao makuu ya Jeshi hilo Ngome jijini Dar es Salaam.



 Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya  Wananchi wa Tanzania Jenerali Venance Mabeyo akiwa katika picha na Jenerali wa kwanza Mzalendo kuliongoza Jeshi hilo Jenerali Mstaafu Mirisho Sarakikya wanne kutoka kushoto Jenerali Mstaafu Davis Mwamunyange wanne kutoka kulia Mnadhimu Mkuu wa Jeshi Luteni Jenerali Mwakibolwa watatu kutoka kushoto mstari wa mbele pamoja na Wakuu wa Kamandi na machifu wa Makao makuu ya Jeshi hilo. PICHA NA MPIGA PICHA WETU