ZARI NDANI YA DAR, ATHIBITISHA KWA MARA YA KWANZA KWA KAULI YAKE KUWA MPENZI WA DIAMOND

February 01, 2015
Kupitia Instagram mrembo huyo wa Uganda ambaye makazi yake yako Afrika Kusini amepost picha kadhaa akiwa na mpenzi wake Diamond Platnumz kwenye Gari aina ya BMWKatika mitoko yako ya weekend hii usije kushtuka utakapokutana na couple fulani ya ‘Ameizing’ ya TZ+UG, sababu Zari Tlale a.k.a The Boss Lady yupo ndani ya jiji la Dar au kama anavyopaita mrembo huyo D-City. 
Licha ya sasa kuwa Diamond na Zari wanajulikana kuwa nai wapenzi lakini wanapoulizwa juu ya Uhusiano wao wamekuwa wakikanusha na kusisitiza kuwa wanaproject ya pamoja.Lakini safari hii amethibitisha mwenyewe kwa kauli yake baada ya kumuita Girlfriend wa dancer wa Diamond 'wifi'
Kwenye picha aliyopiga na msichana huyu zari ameandika "with wifi@jujudumz Ount about D-City"

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »