MAGAVANA WA AFRIKA WAKUTANA NA MKURUGENZI WA SHIRIKA LA FEDHA LA KIMATAIFA BI. CHRISTINE LAGARDE

October 13, 2015

Magavana wa Afrika wakutana na Mkurugenzi wa Shirika la Fedha la Kimataifa Bi. Christine Lagarde na Rais wa Kundi la Benki ya Dunia Dr. Jim Yong Kim kujadili namna ya kuchochea maendeleo  na kuimarisha uchumi barani Afrika.
 Ujumbe wa Tanzania ukiongozwa na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dkt. Servacius Likwelile wakisalimiana na Mkurugenzi wa Shirika la Fedha la Kimataifa Bi. Christine Lagarde wakati akiingia kwenye ukumbi wa mkutano.
 Katikati ni Mkurugenzi wa Shirika la Fedha la Kimataifa Bi. Christine Lagarde akinukuu hoja zilizokuwa zikijadiliwa katika mkutano huo.
 Magavana wa Afrika wakiwa kwenye Mkutano wa majadiliano na Mkurugenzi wa Shirika la Fedha la Kimataifa Bi. Christine Lagarde na Rais wa Kundi la Benki ya Dunia Dr. Jim Yong Kim nchini Peru – Lima.
 Wa pili kulia ni Mkuu Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dkt. Servacius Likwelile akifuatilia yaliyokuwa yakijadiliwa kwenye mkutano. Kushoto kwake ni Mkurugenzi wa Utafiti na Sera za Uchumi Benki Kuu ya Tanzania Dr. Joseph Masawe.
 Ujumbe wa Tanzania wakiwa kwenye mkutano wakujadili namna ya kuimarisha uchumi na kuchoche maendeleo Barani Afrika. Kutoka kushoto ni Kamishna Idara ya Sera Bw. Bedason Shallanda, Mhasibu Mkuu Msaidizi Bw. Ishmael Kasekwa, John Mavura mchumi Wizara ya Fedha na Bw. Patrick Pima mchumi Wizara ya Fedha.
Imetolewa na
Msemaji wa Wizara ya Fedha
Bi. Ingiahedi Mduma
13/10/2015       
Rais Kikwete Afungua Hospitali ya Utafiti na Tiba Dodoma

Rais Kikwete Afungua Hospitali ya Utafiti na Tiba Dodoma

October 13, 2015

RE1RE2
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi ufunguo wa Hospitali ya Utafiti wa magonjwa ya The Benjamin Mkapa Ultra modern Hospital Waziri wa Afya Kebwe Steven Kebwe kama ishara ya kuikabidhi Wizara ya Afya hospitali hiyo leo wakati wa hafla ya ufunguzi.
RE3
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua jiwe la Msingi katika jengo jipya la Hospitali ya utafiti wa Magonjwa iliyojengwa katika chuo kikuu cha Dodoma na kupewa jina The Benjamin Mkapa Ultra Modern Hospital.Hospitali hiyo itatumika kwa mafunzo,tafiti na tiba ya magonjwa makubwa hususan figo na moyo.Kushoto ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma,Rais Mstaafu awamu ya Tatu Mh.Benjamin William Mkapa, na Katikati ni Waziri wa Afya Kebwe Steven Kebwe.
RE4 RE5
.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,na Rais wa Awamu ya Tatu Mh.Benjamin William Mkapa wakikata utepe kufungua rasmi la Hospitali ya utafiti wa Magonjwa iliyojengwa katika chuo kikuu cha Dodoma na kupewa jina The Benjamin Mkapa Ultra Modern Hospital.Hospitali hiyo itatumika kwa mafunzo,tafiti na tiba ya magonjwa makubwa hususan figo na moyo
RE6
RE7
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwajulia hali baadhi ya wagonjwa waliolazwa katika hospitali mpya ya The Benjamin Mkapa UltraModern Hospital mjini Dodoma leo(picha na Freddy Maro)
RE8
DK JOHN POMBE MAGUFULI: WATAKAOJARIBU KUFANYA UVUVI HARAMA BAHARINI NITALALA NAO MBELE

DK JOHN POMBE MAGUFULI: WATAKAOJARIBU KUFANYA UVUVI HARAMA BAHARINI NITALALA NAO MBELE

October 13, 2015

????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa mkoa wa Pwani mjini Mkuranga wakati akiwaomba kumpigia kura za ndiyo katika uchaguzi wa Rais, Wabunge na  Madiwani utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu nchini kote ukishirikisha  vyama mbalimbali vya kisiasa.
Dk. John Pombe Magufuli amesema mara atakapochaguliwa na kuunda serikali yake atahakikisha anapambana na Wavuvi haramu wa kimataifa wanaokuja katika bahari kuu ya Tanzania na kuvua samaki wakubwa kwa magendo huku wakisindika na kupeleka nchi za ulaya na Asia kwa ajili ya kuuza.
Amesema vita hiyo ni lazima iwe kubwa na tuhakikishe tunalinda maliasili za taifa ili watanzania waweze kufaidika na rasirimali zao na kuwajengea uchumi imara wa nchi.(PICHA NA JOHN BUKUKU- FULLSHANGWE-MKURANGA)
????????????????????????????????????
Baadhi ya wananchi wakiwa katika mkutano huo wa kampeni  uliofanyika mjini Mkuranga mkoa wa Pwani.
????????????????????????????????????
????????????????????????????????????
Baadhi ya vijana wakiwa wamepanda kwenye Roli la mafuta ili kumuona Dk. John Pombe Magufuli wakati aliposimama mjini Kibiti na kusalimiana na wananchi akitokea mkoani Lindi kuelekea mkoa wa Pwani kwa ajili ya mikutano ya kampeni.
????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kibiti wakati aliposimama na kuwasalimia akielekea mkoani Pwani.
????????????????????????????????????
Baadhi ya wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni mjini Kibiti huku wakiwa wameshikilia mabango yenye pivha ya mgombea ubunge wa jimbo la Kibiti Ndugu Ugando Hamidu Rashidi.
????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea ubunge wa jimbo la Kibiti Ndugu Ugando Hamidu Rashidi katika mkutano wa kampeni uliofanyika mjini Kibiti.
????????????????????????????????????
Baadhi ya wananchi wakimsikiliza mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk. John Pombe Magufuli hayupo pichani wakati akiwahutubia kwenye mkutano wa kampeni mjini Kibiti.
????????????????????????????????????
Baadhi ya wagombea udiwani wa Kibiti wakiwa katika mkutano huo.
????????????????????????????????????
Baadhi ya wananchi wakifuatilia mkutano huo mjini Kibiti.
????????????????????????????????????
Baadhi ya viongozi mbalimbali [amoja na wananchi wakiwa katika mkutano huo.
????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Kibiti mkoani Pwani wakati akiomba kura.
????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wakati akisalimiana nao katika kwenye kijiji cha Marendego wilayani Rufiji.
????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wakati wa mkutano wa kampeni katika jimbo la Nchinga mkoani Lindi.
????????????????????????????????????
Aliyewahi kuwa Mbunge wa jimbo la Nchinga Ndugu Mudhihir Mudhihir akimuombea kura za ndiyo Dk. John Pombe Magufuli.
????????????????????????????????????
Umati wa wananchi ukimsikiliza Mgombea Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi katika jimbo la Nchinga.
????????????????????????????????????
Mgombea ubunge wa jimbo la Nchinga Mh. Said Mtanda akizungumza na wananchi waliohudhuria katika mkutano huo.
????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wakati akimnadi mgombea ubunge wa jimbo la Mkuranga Ndugu Ulega.
????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wakati wa Mkuranga huku akionyesha Dole akisaidiwa na mgombea ubunge wa jimbo Ndugu Ulega.
????????????????????????????????????
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk. John Pombe Magufuli akifurahia jambo  wakati aliyekuwa mbunge wa jimbo la Mkuranga Mh. Adam Malima akimuombea kura Ndugu Ulega aliyesimama kulia
MO TO ATTEND LARGEST NORDIC-AFRICAN BUSINESS SUMMIT

MO TO ATTEND LARGEST NORDIC-AFRICAN BUSINESS SUMMIT

October 13, 2015
DSC_0310
Mr. Mohammed Dewji, Group Chief Executive Officer, Mohammed Enterprises Tanzania (MeTL Group).
For the fifth consecutive year, The Norwegian-African Business Association (NABA) will host the largest Nordic-African business summit. 500 Scandinavian and African experis from finance, renewable energy, agriculture, ITC, fisheries, oil and gas sectors will gather at RaddisonBLU Scandinavian Hotel in Oslo on Thursday, 29 October 2015 to discuss how Nordic capabilities can be linked with African opportunities.
Africa's future economy hosts the world's youngest and fastest growing urban population. Africa's economy must facilitate rapid growth and change in the coming years. This is why "Nordic competence linked to African opportunities" is the main theme at this year's Nordic-Africa Business Summit.The summit is being held for the fifth consecutive year. Due to its great success, the Norwegian-African Business Summit has now become the Nordic-African Business Summit.
"Norway has a responsibility to further develop trade relations with the African continent, and this event is one of the initiatives we have to assist Scandinavian industries in navigating the new investment landscape in African countries. This year we are incredibly proud to welcome Ashish J. Takkar, Bob Diamond og Mohammed Dewji". Eivind Fjeldstad, CEO of NABA.
More than 20 African ambassadors from Europe will attend the conference. The conference will have parallel sessions on finance, ICT, renewable energy, agriculture and aquaculture, and oil and gas. Overall, 35 speakers and 500 participants will attend the NABA summit, including the following key speakers:
- Ms. Monica Mæland, Norwegian Minister of Trade and Industry
- Mr. Ashish Thakkar, CEO, Mara Group
- Mr. Bob Diamond, CEO, Atlas Merchant Capital
- Mr. Jaakko Kangasniem, Managing Director, Finnfund
- Ms. Koosum Kalyan, Director, MTN Group
- Mr. Mohammed Dewji, Group Chief Executive Officer, Mohammed Enterprises Tanzania (Metla Group)
- Mr. Adam Ikdal, Managing Director, Boston Consulting Group (BCG)
- Mr. Rob Hersov, Founder, Invest Africa
- Mr. Ladi Delano, CEO, Bakrie Delano Africa (BDA)

PETER TINO, ZAMOYONI MOGELLA NA WENGINE KIBAO KATIKA 'SEND OFF' YA RAIS KIKWETE JANA DAR

October 13, 2015


Washambuliaji wa zamani wa Yanga SC, Zamoyoni Mogella (kulia) na Peter Tino kushoto wakifurahi pamoja katika sherehe ya Wanamichezo kumuaga Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete anayemaliza muda wake mwishoni mwa mwezi huu iliyoandaliwa na Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo (TASWA) jana ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam. Mogella alicheza kwa muda mrefu zaidi Yanga SC, wakati Tino alicheza zaidi Majimaji ya Songea.
Rais Kikwete akiteremka ngazi jana baada ya kuhutubia
Mwandishi wa Habari Athumani Hamisi alikuwepo kwenye sherehe hizo jana
Maofisa wa Bosi ya Ligi, Fatuma na Rose walikuwepo jana
Kutoka kulia Nahodha wa zamani wa Taifa Stars, Nsajigwa Shadrack, kipa wa zamani wa Yanga SC, Stephen Malashi na kocha wa Taifa Stars, Charles Boniface Mkwasa
Mchambuzi wa soka wa Azam TV, Jeff Leah (kulia) akiwa na Farough Baghozah, mmiliki wa kampuni ya TSN
Mkurugenzi wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga alikuwepo jana
Ofisa Habari wa TFF, Baraka Kizuguto (kulia) akimuonyesha kitu Nahodha wa Taifa Stars, Nadir Haroub 'Cannavaro'
Arafat Bakari naye alikuwepo jana katika sherehe hizo
Mabondia wa zamani, Emmanuel Mlundwa (kulia) na Anthiny Lutta kushoto
Mwandishi wa Habari, Asha Kigundula (kushoto) na mumewe
Zaituni Kibwana (kulia) na Sofia Komba (kushoto)
Yassi Ustadh kulia na wanafamilia wenzake wa ndondi
Alhaj Mintanga naye alikuwepo pia kwenye sherehe hizo
Iddi Mshangama (kushoto) na Kalambo kulia walikuwepo pia jana
Beki wa zamani wa Simba SC, Mohammed Bakari 'Tall' alikuwepo pia jana
Jamal Rwambow kushoto na wadau wengine jana
Waandishi nguli, Grace Hoka na Zena Chande walikuwepo pia jana
Mwani Nyangassa na Majuto Omary walikuwepo pia jana