MAMA SALMA KIKWETE AHUTUBIA MIKUTANO YA KAMPENI KATIKA KATA ZA JAMHURI NA MAKONDE HUKO LINDI MJINI.

MAMA SALMA KIKWETE AHUTUBIA MIKUTANO YA KAMPENI KATIKA KATA ZA JAMHURI NA MAKONDE HUKO LINDI MJINI.

December 13, 2014

Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi Mama Salma Kikwete akishangiliwa na wajumbe wa Halmashauri ya Tawi la Mayani lililoko katika Kata ya Jamhuri wilayani Lindi Mjini wakati alipowasili tawini hapo kwa ajili ya mkutano wa ndani tarehe 13.12.2014. unnamed2 
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayewakilisha Wilaya ya Lindi Mjini Mama Salma Kikwete akizungumza na wajumbe wa Halmashauri ya Tawi la Mayani lililoko katika Kata ya Jamhuri huko Lindi Mjini wakati wa kikao cha kuzungumzia uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 14.12.2014 unnamed3 
Baadhi ya mamia ya wananchi wa Lindi Mjini waliojumuika na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi wakifurahia hotuba iliyokuwa ikitolewa na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati wa kilele cha kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 14.12.2014. unnamed4  
 Wajumbe wa Halmashauri ya Tawi la Tulieni wakimsikiliza kwa makini Mjumbe wa NEC Taifa ya CCN, Mama Salma Kikwete wakati alipofika tawini hapo kwa ajili ya kufanya mkutano nwa ndani na wajumbe hao kuzungumzia uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika nchini n tarehe 14.12.2014. unnamed5 
Wajumbe wa Halmashauri ya Tawi la Tulieni wakimsikiliza kwa makini Mjumbe wa NEC Taifa ya CCN, Mama Salma Kikwete wakati alipofika tawini hapo kwa ajili ya kufanya mkutano nwa ndani na wajumbe hao kuzungumzia uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika nchini n tarehe 14.12.2014. unnamed6 
Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa kutoka Lindi Mjini Mama Salma Kikwete akipokea kadi kutoka kwa mwanachama wa Chama cha Wananchi, CUF, Ndugu Rukia Seleman Ngodo aliyeamua kuachana na chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi wakati wa kilele cha kampeni ya uchaguzi wa serikali ya mitaa unatarajiwa kufanyika tarehe 14.12.2014. Kilele hicho kilifanyika katika Kata ya Makonde huko Lindi Mjini. unnamed8  
Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa ya CCM Mama Salma Kikwete akiwahutubia mamia ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi na wananchi wa Lindi Mjini wakati wa kilele cha kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa, vitongoji na vijiji unaotarajiwa kufanyika nchini kote tarehe 14.12.2014. unnamed9  
Mke wa Rais na Mjumbe wa NEC Taifa ya CCM Mama Salma Kikwete akiwahutubia mamia ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi na wananchi wa Lindi Mjini wakati wa kilele cha kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa, vitongoji na vijiji unaotarajiwa kufanyika nchini kote tarehe 14.12.2014.

SIMBA ILIYOIKANDAMIZA YANGA 2-0,JANA MASHABIKI LUKUKI WAZIMIA UWANJANI

December 13, 2014

 Kocha wa Simba, Patrick Phir akisalimiana na kocha wa Yanga, Marcio Maximo kabla ya mchezo. (Picha zote na
Francis Dande)
 Emmanue Okwi akiomba dua wakati akiingia uwanjani.
 Mgeni rasmi akisalimiana na wachezaji wa Yanga.
 Mgeni rasmi akisalimiana na wachezaji waSimba.
Kikosi cha Yanga.
Kikosi cha Simba.
Kocha wa Yanga akitafakari.

Mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi akiwa amenyanyua juu
Kombe la Ubingwa wa mechi ya Nani Mtani Jembe msimu wa pili uliofanyika leo kwenye
Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Simba imeshinda 2-0. 

 Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Mchezo, Dk. Fenella Mukangala akimkabidhi nahodha wa Simba, Emmanuel Okwi Kombe la Ubingwa wa mechi ya Nani Mtani Jembe.
 Wachezaji wa Simba wakishangilia ushindi wa timu yao.
 Umati wa mashabiki wa Yanga.
 Umati wa mashabiki wa Simba.
Mashabiki wa Simba wakiwa wamebeba mfano wa jeneza kuwakejeli watani zao.
 Beki wa Yanga, Nadir Haroub ‘Canavaro’
 Beki wa Yanga, Kelvin Yondan akimiliki mpira.
 Mwamuzi wa mchezi akimuonyesha kadi ya njano mshambuliaji wa Simba, Simo Serunkuma.
 Kpah Sherman akiokoa moja ya hatari langoni mwake huku Elius Maguri akimzonga.
 Mshambuliaji wa Simba Emmanule Maguri akichuana na beki wa Yanga, Nadir Haroub.
Wachezaji wa Simba wakishangilia bao lao la kwanza.
 Hassan Isihaka (kushoto) ana Ramadhani Singano ‘messi’ wakishangilia bao la kwanza la timu yao.
Beki wa Yanga, Oscar Joshua akimtoka Elius Maguri wa Simba.
Shabiki wa Yanga akipata msaada baada ya kuzimia jukwaani.
 Mashabiki wa Simba wakiwa na bango lenye idadi ya mabao waliyowahi kufungwa Yanga.
Leo ni 2-0…..
Burudani zikitolewa uwanjani.
 Mashabiki wakitolewa uwanjani baada ya kuzimia.
 Hali ilikuwa ngumu kwa mashabiki mpaka baadhi yao kuzimia.
Huduma ya kwanza kwa waliozimia ikitolewa.
 Beki wa Yanga, Kpah Sherman akichuana na beki wa Simba, Hassan Isihaka.
 Danny Mrwanda akiwa ameshika kichwa baada ya kukosa bao la wazi.
Ivo Mapunda akiokoa moja ya hatari langoni mwake.
 Simon Msuva akichuana na Issa Rashid.
Ivo Mapunda (katikati) akishangilia ushindi na wenzake.
Wachezaji wa Yanga wakiwa na huzuni baada ya kumalizika kwa mchezo.
Yanga wakiwa vichwa chini.
 Medali za washindi.

*SIMBA INAONGOZA MABAO 2-0 MPIRA NI KIPINDI CHA PILI

December 13, 2014

 Wachezaji wa timu ya Simba wakishangilia bao la pili lililofungwa na Elias Maguli katika dakika ya 40 ya kipindi cha kwanza. Mabao yote ya Simba yamefungwa katika kipindi cha kwanza huku bao la kwanza likifungwa na Awadh Juma katika dakika ya 30.
 Mashabiki wa Simba wakishangilia moja ya mabao yaliyofungwa na timu yao.
 Andreu Coutihno, akimiliki mpira katikati ya mabeki wa Simba...
Mchezaji mpya wa Yanga, kutoka nchini Liberia, Kpah Sherman. akisomba kijiji cha mabeki wa Simba.... Hadi hivi sasa tayari jumla ya mashabiki wanne wa rimu ya Yanga wameshazimia uwanjani hapo. KWA MATUKIO ZAIDI YA PICHA KAA NASI YATAKUJIA HAPO BAADAYE

Waziri wa Mambo ya Ndani awaambia madereva chonde chonde zingatieni sheria za usalama barabarani v Azindua rasmi kampeni ya “Wait to Send” ya Vodacom

December 13, 2014

Madereva nchini wametakiwa kuzingatia sheria za barabarani,kutotumia vinywaji vyenye ulevi na kuacha tabia ya kuongea na simu au kutuma na kupokea ujumbe wa maneno (sms) wanapokuwa wanaendesha vyombo vya moto. 
Wito huo umetolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani,Mheshimiwa Mathias Chikawe, katika kampeni ya uhamasishaji wa usalama barabarani iliyozinduliwa leo na serikali kupitia Jeshi la polisi,Baraza la Taifa la Usalama barabarani na kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania eneo la Mwenge jijini Dar es Salaam ambapo pia alishiriki katika zoezi la kuwagawia madereva pete maalum za kuwakumbusha kutotumia simu za mkononi wanapokuwa wanaendesha magari na pikipiki. 
Alisema madereva wakizingatia sheria za barabarani kwa kiasi kikubwa ajali zinazoendelea kutokea kila siku zitapungua hususani katika kipindi hiki kuelekea sikukuu ya Krismas na mwaka mpya na aliipongeza Vodacom Tanzania kwa kuunga mkono jitihada za serikali katika kupambana na tatizo hili ambalo limekuwa sugu . 
Naye Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani cha Jeshi la Polisi,Kamanda Mohamed Mpinga amesema kampeni hii ni muhimu katika kupunguza matukio ya ajali “Watumiaji wa barabara hususani madereva wa vyombo vya moto hawana budi kuzingatia maelekezo ambayo tumekuwa tukiwapa katika kampeni hizi ili tupate matokeo mazuri kwa kupunguza ajali kama ilivyokusudiwa”Alisema Kwa upande wake,Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na uhusiano wa Umma wa Vodacom,Rosalynn Mworia, alisema Vodacom itaendelea kushirikiana na serikali kuunga mkono jitihada za kuondoa matatizo kwenye jamii kama lilivyo tatizo hili la ajali ili kuhakikisha wananchi wanaishi maisha murua na marefu.
”Tunaomba madereva kufuata sheria za barabarani kwa usalama wenu,usalama wa abiria mnaowabeba na watumiaji wengine wa barabara". 
 Aliongeza kuwa Vodacom itakuwa mstari wa mbele kuelimisha jamii athari za kuendesha gari wakati huo huo unatumia simu ya mkononi kupitia kampeni ya "Wait to Send" pia itaendelea kuhamasisha madereva kuzingatia sheria za usalama barabarani.Mbali na kampeni hii alisema kwa mwaka huu kampuni ilidhamini Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani. 
Alisema kabla ya uzinduzi wa kampeni ya leo tayari umefanyika uhamasishaji wa madereva kuzingatia sheria za barabarani katika miji ya Dar es Salaam,Mwanza na kampeni itaendelea kufanyika sehemu mbalimbali nchini. 
Katika uzinduzi huu wafanyakazi wa Vodacom kwa kushirikiana na askari wa usalama barabarani walitoa uhamasishaji wa madereva kuacha kuongea na simu wanapoendesha vyombo vya moto pia zoezi la kupima madereva kubaini kama wanatumia vilevi lilifanyika.
 Waziri wa Mambo ya Ndani  Mh.Mathias Chikawe (watatu kutoka kulia) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kampeni ya usalama barabarani uliofanyika eneo la Mwenge makutano ya barabara ya Sam Nujoma na Ali Hassan Mwinyi jijini  Dar es Salaam, uzinduzi huo uliambatana na  upimaji wa kiwango cha pombe mwilini kwa madereva na ugawaji wa pete maalumu za kuwakumbusha madereva kuacha kutumia simu za mkononi wanapokuwa wanaendesha vyombo vya moto,wanaoshuhudia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Rosalynn Mworia, Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Kamanda Mohammed Mpinga,mwenyekiti wa usalama barabarani wilaya ya Kinondoni Hua Tluway,wapili (kushoto) na Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani Hamza Kassongo na Henry  Bantu

 Waziri wa Mambo ya Ndani  Mh.Mathias Chikawe (wapili kutoka kulia) Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Rosalynn Mworia, Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Kamanda Mohammed Mpinga,mwenyekiti wa usalama barabarani wilaya ya Kinondoni Hua Tluway,wapili (kushoto) na Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani Hamza Kassongo na Henry  Bantu (kulia) wakishangilia baada ya uzinduzi wa kampeni ya usalama barabarani uliofanyika eneo la Mwenge makutano ya barabara ya Sam Nujoma na Ali Hassan Mwinyi jijini  Dar es Salaam, uzinduzi huo uliambatana na  upimaji wa kiwango cha pombe mwilini kwa madereva na ugawaji wa pete maalumu za kuwakumbusha madereva kuacha kutumia simu za mkononi wanapokuwa wanaendesha vyombo vya moto.
 Waziri wa Mambo ya Ndani  Mh.Mathias Chikawe akimsikiliza kwa makini Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Rosalynn Mworia, wakati alipokuwa akimuelezea matumizi ya pete maalumu za kidoleni ambazo huwakumbusha madereva kuacha kutumia simu za mkononi wanapokuwa wanaendesha vyombo vya moto wakati wa uzinduzi wa kampeni ya usalama barabarani uliofanyika eneo la Mwenge makutano ya barabara ya Sam Nujoma na Ali Hassan Mwinyi jijini  Dar es Salaam, uzinduzi huo uliambatana na upimaji wa kiwango cha pombe mwilini kwa madereva Kushoto ni Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Kamanda Mohammed Mpinga Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani Hamza Kassongo na Henry M. Bantu (kulia)  na  Mjumbe wa  baraza hilo Hamza Kasongo.

 Waziri wa Mambo ya Ndani  Mh.Mathias Chikawe (kushoto)  akimuonyesha  dereva wa pikipiki  pete zenye ujumbe wa “Wait to Send” wakati wa uzinduzi wa kampeni ya usalama barabarani uliofanyika eneo la Mwenge makutano ya barabara ya Sam Nujoma na Ali Hassan Mwinyi jijini  Dar es Salaam, uzinduzi huo uliambatana na  upimaji wa kiwango cha pombe mwilini kwa madereva na ugawaji wa pete maalumu za kuwakumbusha madereva kuacha kutumia simu za mkononi wanapokuwa wanaendesha vyombo vya moto.wengine wanaoshuhudia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Rosalynn Mworia na Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Kamanda Mohammed Mpinga
 Waziri wa Mambo ya Ndani  Mh.Mathias Chikawe (kushoto)  akishuhudia  dereva wa pikipiki  akivalishwa  pete zenye ujumbe wa “Wait to Send” wakati  wa  uzinduzi wa kampeni ya usalama barabarani uliofanyika eneo la Mwenge makutano ya barabara ya Sam Nujoma na Ali Hassan Mwinyi jijini  Dar es Salaam, uzinduzi huo uliambatana na  upimaji wa kiwango cha pombe mwilini kwa madereva na ugawaji wa pete maalumu za kuwakumbusha madereva kuacha kutumia simu za mkononi wanapokuwa wanaendesha vyombo vya moto.wengine wanaoshuhudia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Rosalynn Mworia na Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Kamanda Mohammed Mpinga

Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Kamanda Mohammed Mpinga akijadiliana jambo na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania Rosalynn Mworia wakati wa uzinduzi wa kampeni ya usalama barabarani iliyozindiliwa  na Waziri wa Mambo ya Ndani  Mh.Mathias Chikawe katika eneo la Mwenge makutano ya barabara ya Sam Nujoma na Ali Hassan Mwinyi jijini  Dar es Salaam leo, uzinduzi huo uliambatana na  upimaji wa kiwango cha pombe mwilini kwa madereva na ugawaji wa pete maalumu za kuwakumbusha madereva kuacha kutumia simu za mkononi wanapokuwa wanaendesha vyombo vya moto.