UZINDUZI WA KAVASHA CLUB NA KITABU CHA JIFUNZE LINGALA MTUNZI TCHIMANGA ASSOSSA

September 05, 2015

Uzinduzi wa Dar Kavasha Club pamoja na uzinduzi wa kitabu cha kujifunza Kilingala utafanyika leo tarehe 05-Sep-2015 kuanzia saa 12 jioni katika ukumbi wa MRC Mikocheni, ukumbi ulio nyuma ya Shopperz Plaza. Uzinduzi huo utasindikizwa na burudani  kutoka kwa wana Bana Marquis bendi inayoongozwa na mwanamuziki Tshimanga Kalala Assosa, ambaye pamoja na kuwa ni kati ya wanamuziki waliokuweko katika enzi ya uanzishwaji na ukuaji wa mtindo wa Kavasha, akiwa mwanamuziki wa bendi kama Negro Success, Lipualipua, Orchestra kamale, na Orchestra Fuka fuka.
Uzinduzi huu ulikuwa ufanyike mwezi wa 5 lakini ukaahirishwa kutokana na mvua kubwa iliyonyesha siku ambapo uzinduzi huo ulipangwa kufanyika.
Kiingilio cha onyesho hili ni BURE. Na hakika tukio hili ni la aina yake katika tasnia ya muziki wa dansi
SERIKALI YA AWAMU YA TANO NI YA VIWANDA-SAMIA

SERIKALI YA AWAMU YA TANO NI YA VIWANDA-SAMIA

September 05, 2015
Baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu Jimbo la Kawe Kata ya Msasani kwenye viwanja vya Namanga jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu Jimbo la Kawe Kata ya Msasani kwenye viwanja vya Namanga jijini Dar es Salaam.Mgombea mwenza wa kiti cha urais, Bi. Samia Suluhu akizungumza na wanaCCM na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mkutano wa kampeni wa kwenye Viwanja vya Namanga jijini Dar es Salaam. Mgombea mwenza wa kiti cha urais, Bi. Samia Suluhu akizungumza na wanaCCM na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mkutano wa kampeni wa kwenye Viwanja vya Namanga jijini Dar es Salaam.Mgombea mwenza wa kiti cha urais, Bi. Samia Suluhu akimtambulisha mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM Jimbo la Kawe, Kippi Warioba (kushoto) katika mkutano wa kampeni wa kwenye Viwanja vya Namanga jijini Dar es Salaam. Mgombea mwenza wa kiti cha urais, Bi. Samia Suluhu akimtambulisha mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM Jimbo la Kawe, Kippi Warioba (kushoto) katika mkutano wa kampeni wa kwenye Viwanja vya Namanga jijini Dar es Salaam.Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM Jimbo la Kawe, Kippi Warioba akizungumza katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa kiti cha urais, Bi. Samia Suluhu katika viwanja vya Namanga jijini Dar es Salaam. Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM Jimbo la Kawe, Kippi Warioba akizungumza katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa kiti cha urais, Bi. Samia Suluhu katika viwanja vya Namanga jijini Dar es Salaam.Baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu Jimbo la Kawe Kata ya Msasani kwenye viwanja vya Namanga jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu Jimbo la Kawe Kata ya Msasani kwenye viwanja vya Namanga jijini Dar es Salaam.[/caption] MGOMBEA mwenza wa nafasi ya urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Bi. Samia Suluhu amesema awamu ya Serikali ya Tano itakayoundwa na CCM itakuwa maalum kwa ajili ya ujenzi na ufufuaji wa viwanda nchini ili kuongeza nafasi ya ajira kwa vijana na kuinua kwa kasi uchumi wa nchi. Bi. Suluhu ameyasema hayo alipokuwa akiinadi ilani mpya ya Chama Cha Mapinduzi katika ziara ya kampeni ya jijini Dar es Salaam ya kuinadi ilani hiyo kwa wananchi juu ya nini Serikali ya CCM itafanya endapo itapewa ridhaa tena na wananchi kuunda Serikali na kuongoza nchi baada ya uchaguzi. Alisema watahakikisha wanajenga viwanda na kuvifufua vile vilivyokufa ikiwa na lengo la kuongeza nafasi za ajira kwa vijana na hapo hapo kuwatambua wafanyabiashara ndogondogo ikiwa ni pamoja na kuwajengea uwezo katika biashara zao. "...Tunataka awamu ya Serikali ya Tano iwe awamu ya viwanda...tunataka asilimia 40 ya ajira ipatikane kwenye sekta ya viwanda...," alisema mgombea mwenza. Bi. Bi. Anna Abdallah akizungumza kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Jimbo la Kawe kwenye mkutano wa kampeni ulofanyika kwenye Viwanja vya Namanga jijini Dar es Salaam. Bi. Anna Abdallah akizungumza kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Jimbo la Kawe kwenye mkutano wa kampeni ulofanyika kwenye Viwanja vya Namanga jijini Dar es Salaam.Baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu Jimbo la Kawe Kata ya Msasani kwenye viwanja vya Namanga jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu Jimbo la Kawe Kata ya Msasani kwenye viwanja vya Namanga jijini Dar es Salaam.Waziri wa Ujenzi, Samuel Sitta akizungumza kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Jimbo la Kawe kwenye mkutano wa kampeni ulofanyika kwenye Viwanja vya Namanga jijini Dar es Salaam. Waziri wa Ujenzi, Samuel Sitta akizungumza kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Jimbo la Kawe kwenye mkutano wa kampeni ulofanyika kwenye Viwanja vya Namanga jijini Dar es Salaam.Baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu Jimbo la Kawe Kata ya Msasani kwenye viwanja vya Namanga jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wananchi wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu Jimbo la Kawe Kata ya Msasani kwenye viwanja vya Namanga jijini Dar es Salaam.Burudani yake Isha Mashauri mara baada ya kusikiliza ilani ya CCM kwenye mkutano huo. Burudani yake Isha Mashauri mara baada ya kusikiliza ilani ya CCM kwenye mkutano huoMbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Shy-rose Bhanji akichukua taswira ya mkutano huo kwa simu yake kwa ajili ya kumbukumbu. Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Shy-rose Bhanji akichukua taswira ya mkutano huo kwa simu yake kwa ajili ya kumbukumbu
Alisema pamoja na hayo Serikali itakayoundwa na CCM itaanzisha dawati maalumu la bodaboda na bajaji na kukamilisha usajili wa vikundi vyao ili kuangalia namna ambayo kundi hili la vijana linaweza kufanya shughuli zao bila kubughuziwa. Alisema uimarishaji huo wa madawati ya bodaboda na bajaji utaenda sambamba na kuongeza mipaka ya kufanyia kazi, kutambua bodaboda na bajaji kwa rangi kulingana na maeneo zinapofanyia kazi ili zitambulike kwa uraisi. Alisema ili kumaliza kero ya foleni na msongamano wa magari jijini Dar es Salaam, Serikali imepanga kujenga miji mipya maalum na ya kisasa pembezoni wa jiji hili na kwa kuanzia itajenga mjini huo eneo la Kibaha ili shughuli nyingine ziwe zikifanyika katika mji huo na Dar es Salaam kupunguza msongamano, zoezi litakaloenda sambamba na ujenzi wa barabara ndogondogo za mitaani ambao utapunguza msongamano na foleni katika barabara kubwa. Aidha Bi. Suluhu alisema zitajengwa barabara za juu katika makutano ya barabara ikiwa pamoja na kuzijenga barabara ndogondogo zikiwemo za Mbezi Morogoro-Malamba Mawili-Tangi Bovu-Kimara Baruti-Goba na nyinginezo ili kupunguza msongamano katika barabara kubwa. Alisema ili kuboresha huduma za afya jijini Dar es Salaam, Serikali ya CCM kupitia ilani yake itaiongezea hadhi na kutoa upendeleo kwa Hospitali ya Mwananyamala ikiwa ni pamoja na kuiongezea watumishi wa kada zote pamoja na mgao wa dawa kulingana na mahitaji yake. Alisema mbali na hapo ilani inaeleza watahakikisha kila kata inakuwa na kituo cha afya na kuhimiza kuwakatia bima wananchi ili waweze kupata huduma hiyo muda wote bila kujali uwezo wa vipato vyao. Aliongeza wafanyabiashara nao hawajasahaulika kwani imetenga maeneo sehemu mbalimbali ya ujenzi wa masoko kwa wafanyabiashara ndogondogo, ambapo nafasi takribani 3263 kwa eneo moja zitapatikana na kupewa wafanyabiashara ndogondogo huku jitihada kama hizo zikiendelea maeneo mengine. Kwa upande wa huduma za upatikanaji maji safi na salama zimepewa kipaumbele pia ambapo mradi mkubwa wa kutoa maji Ruvu Juu na Ruvu Chini pamoja na ule wa Mto Ng'ombe utamaliza kabisa kero ya maji kwa jiji la Dar es Salaam baada ya mwaka mmoja ujao. Mgombea huyo wa urais anaendelea na ziara yake mkoa wa Dar es Salaam kunadi ilani ya CCM. *Imeandaliwa na www.thehabari.com ___________________________________________________________________________________ Joachim Mushi, Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na Mhariri Mkuu wa Thehabari.com. Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com Mobile:- 0717 030066 / 0756 469470 Web:- www.thehabari.com http://joemushi.blogspot.com
MKWASA ASEMA STARS IPO TAYARI KUWAVAA NIGERIA

MKWASA ASEMA STARS IPO TAYARI KUWAVAA NIGERIA

September 05, 2015

Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro, Charles Mkwasa amesema kikosi chake kipo tayari kwa mchezo wa kesho dhidi ya Nigeria kuwania kufuzu kwa Fainali za Mataifa ya Afrika mwaka 2017.
Akiongea na waandishi wa habari leo katika ukumbi wa mikutano wa TFF uliopo Karume, Mkwasa amesema vijana wake wapo katika hali nzuri kuelekea kwenye mchezo huo wa kesho ambao ni muhimu kwa Taifa Stars.
“Tumefanya mazoezi kwa takribani siku kumi, vijana wako katika hali nzuri ya mchezo, uwezo waanaouonyesha mazoezini ni wa hali ya juu na unatupa matumaini ya kufanya vizuri” Alisema Mkwasa.
Aidha Mkwasa amesema katika mpira hakuna kinachoshindakana, anatambua Nigeria ni timu kubwa Afrika, wameshatwaa ubingwa wa Afrika mara tatu, lakini mpira wa sasa lolote linaweza kutokea, hivyo sisi tumejiandaa vilivyo kufanya vizuri katika mchezo huo.
Mwisho Mkwasa amesema wamejindaa vizuri kwa mchezo huo wa kesho, na kuwaomba watanzania kuja kuwapa sapoti wachezaji uwanjani kwa kuwashangilia muda wote wa mchezo, na kusema kikosi chake hakina mchezaji majeruhi hata mmoja kuelekea kwa mechi hiyo.
Mechi hiyo ya kesho jumamosi itachezeshwa na waamuzi kutoka nchini Rwanda ambao ni Louis Hakizimana (mwamuzi wa kati) Honore Simba (mwamuzi msaidizi), Jean Bosco Niyitegeka (mwamuzi msaidizi), Abdoul Karim Twagiramukiza (mwamuzi wa akiba) na kamisaaa wa mchezo ni Charles Kasembe kutoka nchini Uganda ambao wote tayari wameshawaili jijini Dar es salaam tangu jana jioni.
Tiketi za mchezo huo tayari zimeshaanza kuuzwa leo saa 4 kamili asubuhi katika vituo vya (i) Ofisi za TFF - Karume , (iii) Mbagala – Dar live, (iv) Ubungo – Oilcom, (v) Makumbusho – Stendi, (vi) Uwanja wa Taifa, (vii) Mwenge – Stendi, (viii) Kivukoni-  Feri, (ix) Posta – Luther House, (x) Big Bon – Msimbazi Kariakooo
Viingilio vya mchezo huo wa kuwania kufuzu kwa Fainali za Mataifa ya Afrika (AFCON Qaulifier 2017) kundi G itakua ni VIP A Tsh 40,000, VIP B Tsh 30,000, VIP C Tsh15,000, Rangi ya Machungwa (Orange) Tsh 10,000, na viti vya rangi ya Bluu na Kijani Tsh 7,000.
TFF inawaomba watanzania, wapenzi na wadau wa mpira wa miguu kununua tiketi za mchezo huo katika magari yaliyopo kwenye vituo vilivyotajwa ili kuondokana na tatizo la kuuziwa tiketi zisizokuwa halali.
Jeshi la Polisi nchini kwa kushirikiana na idara nyingine za kiusalama wameandaa usalama wa kutosha katika kuelekea kwenye mchezo na kuhakikisha kila mpenzi wa mpira wa miguu anaingia kushuhudia mchezo huo salama na kuondoka salama.
Mchezo huo utaanza saa 10:30 jioni kwa saa za Afrika Mashariki utachezeshwa na waamuzi kutoka nchini Rwanda ambao wanatarajiwa kuwasili leo jioni pamoja na kamisaa wa mchezo huo.
Wakati huo huo Kikosi cha wachezaji 23 cha timu ya Taifa ya Nigeria (Super Eagles) kimewasili nchini jana usiku na kufikia katika hoteli ya Kempsink iliyopo eneo la Posta ambapo leo jioni watafanya mazoezi katika uwanja wa Taifa uliopo jijini Dar es salaam.
Kikosi hicho cha Nigeria kinachoongozwa na kocha Sunday Oliseh kinawajumuisha makipa Ikeme Onoro, Ezenwa Ikechukwu, walinzi Thomas Olufemi, Balogun Aderemi, kwambe Solomon, Omeruo Keneth, Ekong William, Oboroakpo Austin, Akasi Chima, na Madu Kingsley.
Wengine ni viungo Ibrahim Rabiu, Muhamed Usman, Uzochukwu Izunna, Haruna Lukman, Nwankwo Obiora, Igboun Emeka, washambuliaji Simon Daddy, Ujah Anthony, Emenike Chinenye, Musa Ahmed, Aggreh Obus na Eduok Samuel.
A+E NETWORKS(R) KURUSHA DOKUMENTARI YA OJ SIMPSON

A+E NETWORKS(R) KURUSHA DOKUMENTARI YA OJ SIMPSON

September 05, 2015
A&E_0005
Mkuu wa vipindi channel ya A & E Networks, Racheal Job akizungumza na waandishi wa habari kutoka nchi za Afrika waliokusanyika kwenye jukwaa kubwa la kuonesha vitu mbalimbali vinavyoburudisha katika chaneli za DStv na GoTv kupitia MultiChoice nchini Mauritius. Katikati ni Mkurugenzi wa Kanda channel ya A & E Networks, Anthea Petersen na kushoto ni Mkuu wa Mawasiliano channel ya A & E Networks, Sarah Williams-Robbins.
A&E_0038
Mkuu wa Mawasiliano channel ya A & E Networks, Sarah Williams-Robbins akifafanua jambo kwenye jukwaa lililowakutanisha waandishi wa habari (hawapo pichani) kutoka nchi mbalimbali za Afrika nchini Mauritius.
A&E_0045
Ebenezer Donkoh kutoka YFM Ghana akiuliza swali katika mkutano wa waandishi wa habari ulionadaliwa na MultiChoice Africa.
A&E_0033
Philip Mwaniki kutoka Nairobi, Kenya akiuliza swali kwenye jukwaa hilo lililowakutanisha waandishi wa habari kutoka nchi mbalimbali za Afrika.
A&E_0041
Pichani juu na chini ni baadhi ya waandishi wa habari kutoka nchi za Afrika waliohudhuria wanaohudhuria kongamano hilo linalotarajiwa kumalizika leo nchini Mauritius.
A&E_0051
Na Mwandishi Wetu
DOKUMENTARI inayomhusu mmoja wa masupastaa ambaye kadhia yake ya mauaji ilitagazwa sana OJ Simpson itarushwa na na chaneli ya uhalifu na uhunguzi ya A and E Networks Oktoba mwaka huu.
Dokumentari hiyo inatolewa katika siku ya kumbukumbu ya miaka 20 ya hukumu ya moja ya kesi iliyoandikwa sana na vyombo vya habari vya Marekani.
Doukumentari ya kwanza ya The Secret Tapes of the O.J. Case: The Untold Story (itarushwa Oktoba 6, saa 21) na O.J. Speaks: The Hidden Tapes (itakayorushwa Oktoba 13 saa 21).
Dokumentari hizo zimesheheni mambo ambayo hayajajulikana kwa watu ambayo yalizungumzwa na OJ Simpson na wengine waliohusika katika tuhuma za mauaji wakati wa shauri la jinai la la kiria.
Imeelezwa nchini Mauritius kwenye jukwaa kubwa la kuonesha vitu mbalimbali vinavyoburudisha katika chaneli za DStv na GoTv kupitia MultiChoice kwamba dokumentari hizo ni zenye msisimko mkubwa katika msimu ujao wa A+E Networks.
Mkurugenzi wa A+E Networks wa Kanda ya Afrika, Anthea Petersen : “msimu huu A+E Networks inaringia kitu kikubwa kitakachoingia sokoni cha OJ Simpson kupitia dokumentari za uhalifu na uchunguzi ( CI).”
Petersen pia alisema kwamba hivi karibuni wamefungua ofisi ya A+E Networks’ jijini Johannesburg, Afrika Kusini.
Mkurugenzi huyo wa A+E Networks kanda ya Afrika amesema kwamba wanawekeza katika bara la Afrika kama chaneli bora ya burudani wakiwa na upenzi wa asilimia 50 katika robo ya kwanza.
Aidha anazungumzia ujio wa programu ya Lifetime kuanzia Oktoba 16 mwaka huu itakayokuwa hewani saa 2 na dakika 50.
Kuna programu inayokwenda kwa jina la Four Weddings SA ambayo kwa sasa ndiyo inayowika na ipo kila Ijumaa.
Pia kuna kitu kizuri ndani ya HISTORY ambayo imepata haki miliki ya kutangaza filamu isiyokuwa na skrpti ya Idris Elba: Mandela, My Dad & Me, baada ya kucheza Mandela: Long Walk to Freedom.
Pia kuna shoo ya Fifth Gear ndani ya chaneli ya HISTORY, huku wakiwa na vitu vya mvuto safi kabisa kuhusu barabara za Afrika Kusini.
Mambo mengine matamu ni kama Pawn Stars SA, ikiwa katika msimu wa pili ndani ya History ityakayoanza kuonekana mapema mwakani.
SERIKALI YA CCM KUTOA MILION 150 KILA KATA DAR KWA WAJASIRIAMALI

SERIKALI YA CCM KUTOA MILION 150 KILA KATA DAR KWA WAJASIRIAMALI

September 05, 2015
Mgombea mwenza wa kiti cha urais, Bi. Samia Suluhu akizungumza na wanaCCM na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza kwenye Viwanja vya Barafu Mburahati jijini Dar es Salaam. Mgombea mwenza wa kiti cha urais, Bi. Samia Suluhu akizungumza na wanaCCM na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza kwenye Viwanja vya Barafu Mburahati jijini Dar es Salaam.[/caption] SERIKALI ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imepanga kutoa shilingi milioni 150 kwa kila Kata ya Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuwawezesha wajasiriamali kimikopo ili kukuza biashara zao. Kauli hiyo imetolewa na Mgombea mwenza wa CCM katika mkutano wa kampeni uliofanyika viwanja vya Mbezi Centre jijini Dar es Salaam. Alisema ili kuboresha huduma za afya Jimbo la Kibamba Serikali imedhamiria kujenga hospitali kubwa itakayofanya kazi saa 24 pamoja na kuboresha huduma nzima za afya katika hospitali hiyo wakiwemo wataalam. Aliongeza kuwa Serikali kupitia mradi mkubwa wa maji safi na salama imepanga kuongeza huduma za usambazazi maji kwenye eneo la Kibamba na kiujumla mradi mzima utakapokamili hali ya upatikanaji maji itapanga kutoka asilimia 65 ya watu hivi sasa hadi kufikia asilimia 95 jambo ambalo litamaliza kero kabisa ya maji Jijini Dar es Salaam.Baadhi ya wanaCCM na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu kwenye uwanja wa Mbezi Centre Kata ya Mbezi jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wanaCCM na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu kwenye uwanja wa Mbezi Centre Kata ya Mbezi jijini Dar es Salaam.[/caption] Hata hivyo Serikali ya CCM imepanga kuyapima maeneo ya viwanja na kuyakabidhi kwa wananchi jimboni humo ili kuwawezesha wamiliki kuyatumia kama dhamana pamoja na kuwalipa fidia wananchi 8,365 wa Mloganzila ili kupisha uendelezaji wa eneo lililoitajika kwa maendeleo. Mgombea mwenza alifanya mikutano yake ya kunadi ilani ya CCM katika Jimbo la Kinondoni maeneo ya Mbezi, Mburahati, Mwananyamala na Msasani (Namanga) jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wanaCCM na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu kwenye Viwanja vya Barafu Mburahati jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wanaCCM na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu kwenye Viwanja vya Barafu Mburahati jijini Dar es Salaam.Mgombea mwenza wa kiti cha urais, Bi. Samia Suluhu akiwanadi wagombea udiwani wa Jimbo la Kawe kwenye mkutano wa kampeni ulofanyika kwenye Viwanja vya Barafu Mburahati jijini Dar es Salaam. Mgombea mwenza wa kiti cha urais, Bi. Samia Suluhu akiwanadi wagombea udiwani wa Jimbo la Kawe kwenye mkutano wa kampeni ulofanyika kwenye Viwanja vya Barafu Mburahati jijini Dar es Salaam.IMG_0860 Meya wa Kinondoni, Yusuf Mwenda akizungumza na wanaCCM na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye Viwanja vya Barafu Mburahati jijini Dar es Salaam. Meya wa Kinondoni, Yusuf Mwenda akizungumza na wanaCCM na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye Viwanja vya Barafu Mburahati jijini Dar es Salaam.[/caption] [caption id="attachment_61499" align="aligncenter" width="975"]Hawa Ng'umbi akizungumza kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Jimbo la Kawe kwenye mkutano wa kampeni ulofanyika kwenye Viwanja vya Barafu Mburahati jijini Dar es Salaam. Hawa Ng'umbi akizungumza kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Jimbo la Kawe kwenye mkutano wa kampeni ulofanyika kwenye Viwanja vya Barafu Mburahati jijini Dar es Salaam.[/caption] *Imeandaliwa na www.thehabari.com ___________________________________________________________________________________ Joachim Mushi, Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na Mhariri Mkuu wa Thehabari.com. Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com Mobile:- 0717 030066 / 0756 469470 Web:- www.thehabari.com http://joemushi.blogspot.com

TBS KUFANYA MSAKO MKALI NCHI NZIMA KUWABAINI WAUZAJI WA UMEME NURU 'SOLAR POWER PANELS' ZILIZO CHINI YA KIWANGO

September 05, 2015
 Katibu  Mtendaji wa Taasisi ya Nishati Jadidifu (TAREA), Mhandisi Mathew Matimbwi (katikati), akiwaonesha wanahabari Dar es Salaam leo asubuhi Umeme Nuru (Solar Power panels) ambazo hazina ubora zilizokamatwa zikiwa katika soko la Tanzania baada ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa kushirikiana na Taasisi hiyo, kufanya uchunguzi na kubaini kuwepo katika soko solar hizo. Kulia ni Ofisa Viwango wa TBS, Henry Massawe  na Ofisa Uhusiano, Roida Andusamile.


 Katibu  Mtendaji wa Taasisi ya Nishati Jadidifu (TAREA), Mhandisi Mathew, akiwaonesha wanahabari Solar Power panels zinazotakiwa kuwa kwenye soko ambazo ni bora.
  Ofisa Uhusiano wa TBS, Roida Andusamile (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Makao Makuu ya Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Ubungo Dar es Salaam leo asubuhi kuhusu shirika hilo kuanza msako mkali wa kuwabaini wafanyabiashara wanaouza Umeme Nuru (Solar Power Panels), zilizochini ya kiwango. Kulia ni  Ofisa Viwango wa TBS, Henry Massawe na Ofisa Udhibiti Ubora wa TBS, Ashura Katunzi.
 Ofisa Udhibiti Ubora wa TBS, Ashura Katunzi akisisitiza jambo wakati akizungumza na wanahabari. Kutoka kushoto ni Ofisa Masoko Mwandamizi wa TBS, Gladness Kaseka,Katibu  Mtendaji wa Taasisi ya Nishati Jadidifu (TAREA), Mhandisi Mathew Matimbwi, Ofisa Uhusiano wa TBS, Roida Andusamile.
 Ofisa Viwango wa TBS, Henry Massawe akizungumza katika mkutano huo.
Wanahabari na wadau wengine wakiwa kwenye mkutano huo.

SHIRIKA  la viwango Tanzania limekuwa likifanya ukaguziwa kushtukiza  wa bidhaa zilizopo sokoni na viwandani mara kwa mara, lengo likiwa niku hakikisha kuwa bidhaa hizo zinakidhi matakwa ya kiwango cha bidhaa husika wakatiwote. 

TBS kwakushirikiana naTaasisya NishatiJadididu (TAREA) iliamua kufanya ukaguzi wa kushtukiza kufuatia malalamiko mengi kuhusiana na ubora waVipande vyaumemenuru katika soko la Tanzania ilikutatuatatizo. Mnamo  tarehe 23-06-2015, TBS ilifanya ukaguzi wa Umeme Nuru (Solar Power panels) katika maeneo yafuatayo;
Keko- Mwanga, MtaawaMsimbazi, Mtaawa Congo. 

 TBS ilibaini baadhi
ya wasambazaji  walikuwa na bidhaa za umemenuru zilizo chini ya kiwangonyingizikitokeanchini China.

Jumla ya vipande vya umemenuru 1321 kutokaduka na ghala la Regal Solar Ltd vilizuiwa kuuzwa; na 164 kutokaduka la Nishati Electronics Ltd pia vilizuiwa kuuzwa baada ya ubora wake kutiliwashaka mpaka matokeo ya maabara yatakapotoka. Na vile vile wakaguzi walichukua sampuli kutokaduka la Keoali Power & EquipmentsCo.Ltd.

Matokeo ya maabara yalitoka na kuonesha kuwasampuli hizo zilizochukuli wakati kama duka tajwa zimefeli.

1.    Vipande vya Umeme Nuru vinazosambazwa na Regal Solar Ltd vimefeli kufikia kiwango cha“marking and name plate”, kwa mfano hazijaonyesha nchi zinapotengenezewa,ainaya panel naserial namba; kipimo cha nguvu ya umeme inayotoka ni ndogo ukilinganishanakiwango cha chini cha  nguvu ya umeme inayotakiwa kutoka, na  hii ni kwa vipande vya umemenuru vilivyo na nguvu zifuatazo: 100W, 120W,70W,50W,20W,250W,30W,150W na 170W.

2.    Vipandevya Umeme Nuru vya Nishati Electronics Ltd vimefelikufikiakiwango cha “marking and name plate”,- havijaonyesha nchi zinapotengenezwa kipimo cha nguvu ya umemeinayotokanindogoukilinganishanakiwango cha chini cha nguvu ya umeme inayotakiwa kutoka ,hii ni kwa vipande vya umeme nuru vilivyo na nguvu zifuatazo: 100W,80W,70W,120W,40W,200W,30W. na kwa Vipande vya Umeme Nuru vya 120W na 200W kiwango cha juu cha mfumo wa nguvu ya umeme hakikubainishwa hivyo kukwamisha zoezi la upimaji.
3.    
Keoali Power &EquipmentsCo.Ltd vipande vya umeme nuru vimeonyesha kufeli “marking and name plate- havikuoneshanchizilipotengenezwa, ainayaplate, serial namba; havikubainisha kiasi cha juu cha mfumo wa nguvu ya umeme.

Tamko la Shirika
TBS inatoatamko kuwa zoezi hili niendelevu na iwapo msambazaji atabainika kukiuka na kuingiza bidhaa chini ya kiwango  cha Afrika Mashariki EAS364:2005, Shirika litachukua hatua kali zakisheria.

Tunawasihi wafanyabiashara wanaouza bidhaa hafifu za  vipandevya umemenuru kuziondoa madukani mara moja kablaShirika halijaanza zoezi hilo. 

Kushindwa kufanya hivyo kutasababisha hatua kali za kisheria kuchukuliwa dhidi   yao pindi bidhaa hizo hafifu zitakapokutwa madukani.

Vile vile tunapenda kuwafahamisha kuwa zoezi la kuondoa bidhaa hafifu sokoni ikiwa pamoja na nguo za ndani,vilainishi vya mitambo,juisi ( ready to drink) na mikate  ya naendelea. Wananchi wasisite kuwasiliana nasi kupiti nanamba 0800 110 827 kwa kutumia mitandao ya TTCL na Vodacom bila gharama yoyote.