RC Gallawa akisisitiza jambo katika kikao cha kujadili Maendeleo ya kilimo ,Umwagiliaji na Ushirika Mkoani Tanga

June 10, 2013
MKUU wa Mkoa wa Tanga,Luteni Mstaafu Chiku Gallawa  akisisitiza jambo katika kikao cha kujadili Maendeleo ya Kilimo ,Umwagiliaji na Ushirika Mkoani Tanga kilichofanyika leo katika ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa,kushoto kwake ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga,Benedict Ole Kuyan Picha kwa hisani ya blog hii.




umakini

June 10, 2013

 MKUU wa wilaya ya Kilindi,Suleiman Liwowo kushoto na Mkuu wa wilaya ya Handeni,Muhingo Rweymamu wakimsikiliza kwa umakini Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Luteni Mstaafu Chiku Gallawa wakati akizungumza katika kikao cha kujadili Maendeleo ya kilimo ,Umwagiliaji na Ushirika Mkoani Tanga

Katibu Tawala akizungumza katika kikao hicho

June 10, 2013
KATIBU Tawala wa Mkoa wa Tanga,Benedict Ole Kuyan akizungumza katika kikao cha kujadili Maendeleo ya kilimo ,Umwagiliaji na Ushirika Mkoani Tanga kabla ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Luteni Mstaafu Chiku Gallawa kuzungumza.