JK AZINDUA MAJENGO PACHA YA GHOROFA 35 YA PSPF JIJINI DAR ES SALAAM LEO

September 16, 2015

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa pensheni wa PSPF Bw. Adam Mayingu alipowasili kuzindua majengo pacha ya ghorofa 35 ya PSPF TOWERS mtaa wa Sokoine jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015
 Mrisho Mpoto na Mjomba Band wakitumbuiza kwenye sherehe za majengo pacha ya ghorofa 35 ya PSPF TOWERS mtaa wa Sokoine jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mkurugenzi Mkuu wa PPF Bw. William Erio na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Dr. Ramadhani Dau  alipowasili kuzindua majengo pacha ya ghorofa 35 ya PSPF TOWERS mtaa wa Sokoine jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015
 majengo pacha ya ghorofa 35 ya PSPF TOWERS mtaa wa Sokoine jijini Dar es salaam yaliyozindulia  leo Septemba 16, 2015
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea jambo na  Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa pensheni wa PSPF Mkurugenzin Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu katika sherehe za kuzindua majengo pacha ya ghorofa 35 ya PSPF TOWERS mtaa wa Sokoine jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete hutubia kabla ya kuzindua rasmi majengo pacha ya ghorofa 35 ya PSPF TOWERS mtaa wa Sokoine jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015
 Sehemu ya wageni na wafanyakazi wa PSPF  kuzindua majengo pacha ya ghorofa 35 ya PSPF TOWERS mtaa wa Sokoine jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015
 Makandarasi waliojenga majengo pacha hayo wakisimama kutambuliwa
 Makandarasi waliojenga majengo pacha hayo wakisimama kutambuliwa
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akijaza fomu kujiunga na mfuko wa pensheni wa PSPF kwenye sherehe hizo. Kulia ni Naibu waziri wa Fedha Mhe. Adam Kighoma Malima. Kulia kwa Rais ni Mwenyekiti wa Bodi ya PSPF Mhe. George Yambesi na kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa pensheni wa PSPF Bw. Adam Mayingu 
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea mfano wa kadi kwa ajili ya Mama Salma Kikwete ambaye pia amejiunga na mfuko wa pensheni wa PSPF kwenye sherehe hizo. Kulia ni Naibu waziri wa Fedha Mhe. Adam Kighoma Malima. Kulia kwa Rais ni Mwenyekiti wa Bodi ya PSPF Mhe. George Yambesi na kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa pensheni wa PSPF Bw. Adam Mayingu 
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea mfano wa kadi yake baada ya kujiunga mfuko wa pensheni wa PSPF kwenye sherehe hizo. Kulia ni Naibu waziri wa Fedha Mhe. Adam Kighoma Malima. Kulia kwa Rais ni Mwenyekiti wa Bodi ya PSPF Mhe. George Yambesi na kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa pensheni wa PSPF Bw. Adam Mayingu 
   Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka alama ya dole kwenye fomu yake ya uanmachama baada ya kujiunga mfuko wa pensheni wa PSPF kwenye sherehe hizo. Kulia ni Naibu waziri wa Fedha Mhe. Adam Kighoma Malima. Kulia kwa Rais ni Mwenyekiti wa Bodi ya PSPF Mhe. George Yambesi na kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa mfuko wa pensheni wa PSPF Bw. Adam Mayingu 
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na  na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Dr. Ramadhani Dau  na Mkurugenzi Mkuu wa PPF Bw. William Erio kwenye sherehe zsa  kuzindua majengo pacha ya ghorofa 35 ya PSPF TOWERS mtaa wa Sokoine jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015
 Rais Kikwete na msanii Mrisho Mpoto baada ya kuzindua majengo pacha ya PSPF
 Rais Kikwete akikagua sehemu ya majengo hayo
 Rais Kikwete katika picha ya pamoja na viongozi na wakuu wa mifuko ya pensheni
 Rais Kikwete na viongozi wengine wakifurahia sanamu ya ukutani inayopamba eneo la mapokezi
 Rais Kikwete akiwa na Bodi ya PSPF
 Wakurugenzi wa vitengo mbalimbali vya PSPF
 Makandarasi wazalendo waliojenga majengo pacha ya PSPF Towers
 Watumishi wa PSPF
 Rais Kikwete akifungua mabango kuzindua sanamu kubwa ya PSPF
 Rais Kikwete akifunua pazia kuzindua rasmi majengo pacha ya PSPF TOWERS
 Rais Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi majengo pacha ya PSPF TOWERS
 Rais Kikwete akipokea zawadi ya picha ya PSPF Towers na Bw. George Yambesi. PICHA NA IKULU
Amos Makalla AAGA RASMI WIZARA YA MAJI

Amos Makalla AAGA RASMI WIZARA YA MAJI

September 16, 2015

1
Mhe. Amos Makalla akisalimiana na watumishi wa Wizara ya Maji waliompokea mara baada ya kuwasili Wizarani, pamoja na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu, Gideon Manambo.
4
Mhe. Amos Makalla akizungumza na watumishi wa Wizara ya Maji, wakati akiaga wizarani hapo.
2
Mhe. Amos Makalla akiwa ofisini kwake, alipofika kuaga Wizara ya Maji.
3 
Mhe. Amos Makalla akipokea shada la maua kutoka kwa Mkurugenzi Msaidizi wa Utawala, Beatrice Patrick.
5
Mhe. Amos Makalla akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi na watumishi wa Wizara ya Maji.
………………………………………
Aliyekuwa Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Amos Makalla leo mchana ameaga rasmi watumishi wa Wizara ya Majina kwenda kuanza majukumu mapya kama Mkuu wa Mkoawa Kilimanjaro.
Mhe.Makalla ambaye alifika Wizarani hapo, akitokea Ikulu alikoapishwa rasmi na Mhe. Rais, Jakaya Mrisho Kikwete, mara baada ya kuteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.
Mhe.Makalla ambaye alikuwa Naibu Waziri wa Maji kwa zaidi ya mwaka mmoja, aliweza kufanya kazi kwa weledi mkubwa licha kuwa mgeni kwenye Sekta hiyo. Ambapo aliweza kuzunguka karibu mikoa yote na kutembelea karibu Mamlaka zote za Maji nchini kati
RAIS KIKWETE AKAGUA MAENDELEO YA KITUO CHA MICHEZO KWA VIJANA CHA KIDONGO CHEKUNDU DAR ES SALAAM

RAIS KIKWETE AKAGUA MAENDELEO YA KITUO CHA MICHEZO KWA VIJANA CHA KIDONGO CHEKUNDU DAR ES SALAAM

September 16, 2015

1
Kituo cha Michezo kwa vija na cha Kidongo Chekundu jijini Dar es salaam kinavyoonekana kutoka angani.
3
Rais Jakaya Mrisho kikwete akitembezwa na Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya umeme ya Symbion Bw. Paul Hicks wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa
kituo cha kisasa cha Michezo kwa vijana cha Kidongo Chekundu jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015. Kituo hicho kinajengwa kwa msaada wa Klabu ya Sunderland ya Uingereza na kampuni ya symbion
4 5
Rais Jakaya Mrisho kikwete akitembezwa na Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya umeme ya Symbion Bw. Paul Hicks kwa mmoja wa wasimamizi wa mradi huo wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa
kituo cha kisasa cha Michezo kwa vijana cha Kidongo Chekundu jijini Dar es salaam leo Septemba 16, 2015. Kituo hicho kinajengwa kwa msaada wa Klabu ya Sunderland ya Uingereza na kampuni ya symbion
6
Rais Jakaya Mrisho kikwete akitembezwa na Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya umeme ya Symbion Bw. Paul Hicks kwa kocha wa vijana wa kandanda mwenye
kutambulika na FIFA kutoka Uingereza  wa mradi huo wakati akikagua maendeleo ya ujenzi wa kituo cha kisasa cha Michezo kwa vijana cha Kidongo Chekundu jijini Dar es salaam 
leo Septemba 16, 2015. Kituo hicho kinajengwa kwa msaada wa Klabu ya Sunderland ya Uingereza na kampuni ya symbion.
PICHA NA MICHUZI
MKUTANO WA UIMARISHAJI NA UHAKIKI WA MIPAKA KATI YA TANZANIA NA KENYA

MKUTANO WA UIMARISHAJI NA UHAKIKI WA MIPAKA KATI YA TANZANIA NA KENYA

September 16, 2015

1
Mkurugenzi Idara ya upimaji na Ramani Justo Lyamuya, Mkurugenzi wa Nyumba Charles Mafuru kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Barozi wa Kenya nchini Tanzania Chirua Ali wakiwa katika kikao hicho.
2
Wajumbe kutoka Tanzania na Kenya wakiwa katika kikao hicho.
4
Baadhi ya wajumbe kutoka Tanzania wakiwa katika kikao hicho.
5
Baadhi ya wajumbe kutoka Kenya wakiwa katika kikao hicho.
3
Washiriki wa mkutano wakiwa katika picha ya pamoja, hoteli ya  Kilimanjaro jijini Dar es salaam.
Picha zote na Hassan mabuye
……………………………………………
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inafanya mkutano wa siku tano kati ya Serikali ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Kenya ili kuimarisha na kuhakiki mipaka kati ya nchi hizo. Kikao hicho cha wajumbe maalumu kutoka nchi hizo mbili kinafanyika katika Hoteli ya Kilimanjaro jijini Dar es salaam kuanzia tarehe 14 hadi 18 septemba 2015.

MTANDAO WA EVERJOBS TANZANIA KUWAKUTANISHA WAAJIRIWA NA WAAJIRI

September 16, 2015

 Mkurugenzi Mtendaji wa Everjobs wa Ukanda wa Afrika Eric Lauer, akiwaelezea waandishi wa habari pamoja na wageni waalikwa jinsi mfumo wao wa tovuti ambao unaweza kuwaunganisha waajiri na waajiriwa kwa urahisi kabisa huku waajiri wakipata nafasi ya kuweza kupata taarifa zote muhimu kutoka kwa wanaoomba kazi kupitia tovuti hiyo pindi wanapokuwa wamejiunga na Kampuni ya Everjobs Tanzania.Mkutano huo ulifanyika jana katika hoteli ya Serena Jijini Dar Es salaam.
 Mkurugenzi wa Everjobs Tanzania, Florens Roell akielezea namna ambavyo waajiri na waajiriwa wanaweza kunufaika na Kampuni ya Everjobs Tanzania ambayo inatoa nafasi kwa waajiriwa kuweza kuomba kazi kupitia tovuti yao ya www.everjobs.co.tz.
 Mkuu wa Kitengo cha Mauzo wa Everjobs Tanzania Lucas Masson (wa pili kutoka kulia) akielezea jinsi ya waajiliwa ambavyo wanaweza kujiunga katika tovuti yao ya www.everjobs.co.tz na kuweza kuona nafasi za kazi mbalimbali zinazotangazwa kupitia tovuti hiyo na kuweza kuomba kazi hapo hapo kupitia tovuti.
Mmoja wa wageni waalikwa akiuliza swali kwa Wakurugenzi na maafisa wa Everjobs wakati wa mkutano wao na waandishi wa habari pamoja na wageni waalikwa uliofanyika jana
  Mkurugenzi Mtendaji wa Everjobs Katika Ukanda wa Afrika Eric Lauer (wa kwanza kushoto) akijibu baadhi ya maswali yaliyokuwa yakiulizwa na waandishi wa habari pamoja na wageni waalikwa waliohudhuria mkutano uliofanyika jana katika hoteli ya Serena Jijini Dar
 Mmoja wa wageni akitoa shukrani kwa wamuluki wa kampuni ya Everjobs Tanzania kwa kuona changamoto na kuifanya kuwa fursa.
  
Baadhi ya Wageni waalikwa na waandishi wa habari wakifuatilia kwa makini mkutano huo