Coastal Union hao TANGA RAHA BLOG April 26, 2013 TANGA RAHA BLOG Wachezaji wa Coastal Union wakiwa uwanjani kabla ya kuanza mechi yao na Azam ambapo mechi hiyo ilimalizika kwa timu hizo kutoka suluhu pacha ya kutokufungana.
Kacheze hivi! TANGA RAHA BLOG April 26, 2013 TANGA RAHA BLOG KOCHA Mkuu wa Azam Fc,Stewart Halla akimuelekeza mchezaji wake mahala ambapo atakwenda kucheza pindi atakapoingia,Picha na Mwandishi Wetu