Ugua pole

May 13, 2013
MKUU wa wilaya ya Mkinga,Mboni Mgaza akimpatia msaa wa sabuni na vitu nyengine mgonjwa katika kituo cha Afya Maramba wilayani humo wakati wa maadhimisho ya siku ya Wauguzi duniani ambapo kimkoa iliazimishwa wilayani humo.

Utapona

May 13, 2013
MKUU wa wilaya ya Mkinga,Mboni Mgaza akiweka mche wa sabuni na vifaa vyengie kwa wagonjwa katika kituo cha Afya Maramba wilayani Mkinga siku ya maadhimisho ya wauguzi duniani ambapo kimkoa iliazimishwa wilayani humo

Kiapo

May 13, 2013
WAUGUZI kutoka wilaya mbalimbali mkoani Tanga wakila kiapo wakati wa maadhimisho ya siku ya wauguzi duniani ambapo kimkoa yalifanyikia katika kituo cha Afya maramba wilayani Mkinga.