Uchangiaji wa damu.

June 07, 2013
Mwanafunzi wa Chuo cha Biblia kilichopo Kange jijini Tanga akitoa damu leo ikiwa ni uchangiaji wa hiari zoezi ambalo linaendeshwa na Klabu ya Waandishi wa habari mkoani Tanga na kufadhiliwa na Kampuni ya Simu za Mikononi Vodacom,Picha kwa hisani ya blog hii.

Redd's Miss Tanga 2013 usipime

June 07, 2013
WAREMBO wanaowania umalkia wa Mkoa wa Tanga Redd's Miss Tanga 2013 wakiwa katika pozi leo.

Muonekano wa warembo wanaowania Taji la Redd's Miss Tanga 2013

June 07, 2013
WAREMBO wanaowania Taji la Redd's Miss Tanga 2013 wakiwa katika pozi mara baada ya kumalizika mazoezi yao leo katika ukumbi wa Lavida Loca jijini Tanga ambapo shindano hilo linatarajiwa kufanyika June 22 mwaka huu katika uwanja wa Mkwakwani,Picha kwa hisani ya blog hii.