MAJALIWA AWEKA JIWE LA MSINGI LA NYUMBA ZA HALMASHAURI YA MOMBA

MAJALIWA AWEKA JIWE LA MSINGI LA NYUMBA ZA HALMASHAURI YA MOMBA

July 21, 2017
PMO_4263
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mwanachuo wa Chuo cha DIT, Grolia Shoo kuhusu Mradi wa Ujenzi wa Nyumba za watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Momba zinazojengwa na Shirika la Taifa la Nyumba katika eneo la Chitete wialyani Momba Julai 21, 2017.   Gloria anafanya kazi  kwa muda akijifunza  katika  shirika hilo. Kushoto kwake ni mkewe Mary na wapili kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Nyumba la Taifa, NHC, Blandina Nyoni. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_4273
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la Msingi la ujenzi wa nyumba 20 za watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Momba katika eneo la  Chitete akiwa katika ziara ya mkoa wa Songwe Julai 21, 2017. Wapili kulia ni mkewe Mary  na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Chiku Galawa. Kulia kwa Waziri Mkuu ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika  la Nyumba la Taifa (NHC) linalojenga nyumba hizo, Blandina Nyoni. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

HALMASHAURI YA WILAYA YA IGUNGA YATAKIWA KUTENGA BAJETI ILI KUINUA SEKTA YA KILIMO

July 21, 2017

 Mwenyekiti wa Halmshauri ya Wilaya ya Igunga, Peter Onesmo (kulia), akizungumza na waandishi wa habari na maofisa Ugani wa wilaya hiyo wakati akifungua mafunzo ya siku moja ya kuwajengea uwezo maofisa Ugani wa wilaya hiyo kwenye kilimo cha mazao ya Mihogo, Pamba na Viazi lishe yaliyoandaliwa na Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH), kupitia Jukwaa la Bioteknolojia (OFAB). Kutoka kushoto ni Ofisa Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika wa wilaya hiyo, Erasto Konga na Kaimu Katibu Tawala wa wilaya hiyo, Shadrack Kalekayo.

TAWLA YATOA MAFUNZO YA JINSI YA KUSHUGHULIKIA WATOTO WALIO KATIKA UKINZANI NA SHERIA

July 21, 2017
Mrakibu wa Polisi Mkoani Tanga (SP),Bahati Ngoli akifungua mafunzo ya jinsi ya kushughulika na watoto walio katika ukinzani na Sheria leo ulioandaliwa na chama cha wanasheria wanawake Tanzania (Tawla) Mkoani Tanga kwenye ukumbi wa Hotel ya Nyumbani mjini Tanga
 Mratibu wa Chama cha Wanasheria wanawake Tanzania Mkoani Tanga (Tawla) Latifa Ayoub akisisitiza jambo wakati wa mafunzo hayo leo
Juma Abdallah kutoka Tawla Mkoani wa Tanga akitoa mada kuhusu wajibu wa familia na jamii kuzuia uhalifu wa watoto
 Mwanasheria wa Chama cha Wanasheria wanawake Tanzania Mkoani Tanga,Adolphina Mbekinga akizungumza wakati akiwasilisha mada ya mfumo wa haki jinai kwa watoto Tanzania na Taratibu zake (2&3)
Mratibu wa dawati la Jinsia na watoto Mkoa wa Tanga akizungumza katika mafunzo hayo
Mkuu wa kituo cha Polisi Chumbangeni Mkoani Tanga, Mrakibu Msaidizi wa Polisi,ASP Saidi Mwagara akifuatilia taarifa mbalimbali wakati wa mafunzo hayo.
 Mrakibu wa Polisi Mkoani Tanga (SP),Bahati Ngoli kushoto akichuchukua mada mbalimbali
 Baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo wa pili kutoka kushoto ni Mkuu wa Polisi wilaya ya Tanga (OCD) akifuatiwa na Mrakibu Mwandamizi wa Jeshi hilo(SSP) Emanuel Minja
Mratibu wa Chama cha Wanasheria wanawake Tanzania Mkoani Tanga (Tawla) Latifa Ayoub kulia akifutilia masuala mbalimbali kwenye semina hiyo
 Mrakibu wa Polisi Mkoani Tanga (SP),Bahati Ngoli akifuatilia kulia ni Hakimu Mkazi Mfawidhi Aziza Lutalla

 Mkuu wa kituo cha Polisi Chumbageni Mkoani Tanga,Saidi Mwagara kushoto ni Mwendesha Mashtaka wilaya ya Handeni,Selemani Kawambwa wakifuatilia mafunzo hayo
Hakimu Mkazi Hilda Lyatuu kulia katikati ni Wakili wa Serikali Rebecca Msalangi wakifuatilia mada mbalimbali kwenye semina hiyo


HAFLA YA TGGA KUWAAGA GIRL GUIES WA RWANDA, UGANDA NA MADAGASCAR

July 21, 2017
 Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha Tanzania Girl Guides (TGGA), Anna Makinda akimkabidhi  zawadi Girl Guides kutoka Uganda, Rachel Baganyire wakati wa hafla ya kuwaaga Girl Guides kutoka Rwanda, Uganda na Madagascar kwenye Hoteli ya Courtyard Protea, Seaview, Dar es Salaam. Girl Guides hao walikuwa nchini kwa muda wa miezi 6 kwa programu ya kubadilisha uzoefu katika masuala ya utamaduni, maadili na uongozi. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha Tanzania Girl Guides (TGGA), Anna Makinda akimkabidhi  zawadi Girl Guides kutoka Madagascar, Andriambolamanana Vahatrimama wakati wa hafla ya kuwaaga Girl Guides kutoka Rwanda, Uganda na Madagascar kwenye Hoteli ya Courtyard Protea, Seaview, Dar es Salaam. Girl Guides hao walikuwa nchini kwa muda wa miezi 6 kwa programu ya kubadilisha uzoefu katika masuala ya utamaduni na uongozi.
 Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha Tanzania Girl Guides (TGGA), Anna Makinda akimkabidhi  zawadi Girl Guides kutoka Rwanda, Michelline Uwiringiyimana wakati wa hafla ya kuwaaga Girl Guides kutoka Rwanda, Uganda na Madagascar kwenye Hoteli ya Courtyard Protea, Seaview, Dar es Salaam. Girl Guides hao walikuwa nchini kwa muda wa miezi 6 kwa programu ya kubadilisha uzoefu katika masuala ya utamaduni na uongozi.
 Vingozi wa TGGA wakiwa katika picha ya pamoja Girl Guides wanaoagwa
Girl Guides waliokuwa katika mafunzo ya uongozi, maadili na utamadun walioagwa; Wasichana hao ni; Michelline Uwiringiyimana (Rwanda), kulia, Recheal Baganyire (Uganda),kushoto, na Andriambolamanana Vahatrimama.
Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya TGGA, Grace Makenya akizungumza wakati wa hafla hiyo.
 Katibu Mkuu wa TGGA, Grace Shaba akizungumza wakati wa kuanza kwa hafla hiyo ambapo alianza kwa kuwatambulisha viongozi wa TGGA. Kulia ni Kamishna wa TGGA Makao Makuu, Rose Majuva.
 Kiongozi wa Girl Guides Mkoa wa Dar es Salaam, Ruth akitambulishwa wakati wa hafla hiyo..
Dereva wa TGGA, Juma akitambulishwa
Kamishna Mkuu wa TGGA, Symphorosa Hangi (wa pili kushoto) akiwa katika hafla hiyo
Recheal Baganyire Girl Guides kutoka Uganda
Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya TGGA, Zakia Meghji akizungumza na Recheal Baganyire Girl Guides kutoka Uganda
Kamishna Mkuu wa TGGA, Symphorosa Hangi akizungumza wakati wa hafla hiyo
Mwenyekiti wa Taifa wa TGGA, Martha Qorro akitoa nasaha kwa Guides wakati wa hafla hiyo
Andriambolamanana Vahatrimama.
Michelline Uwiringiyimana (Rwanda)
Michelline Uwiringiyimana (Rwanda), akitoa shukrani kwa TGGA kwa kuwalea kwa muda wote wa miezi sita na kwamba wamejifunza mambo mengi watakayokwenda kufundisha kwao.
Mkufunzi wa TGGA Makao Makuu akizungumza alipotambulishwa
Kamishna Mkuu wa TGGA Makao Makuu, Rose Majuva akizungumza alipotambulishwa
Kiongozi wa Girl Guides TGGA Makao Makuu, Valentina (katikati) akijadiliana jambo na Michelline Uwiringiyimana (Rwanda) pamoja na Andriambolamanana Vahatrimama.
Kiongozi wa TGGA Makao Makuu, Rehema Kijazi (kulia) akiwa na Mhasibu wa chama hicho
Sasa ni wakati wa misosi
Ni misosi kwa kwenda mbele

Anna Abdalah akitoa nasaha kwa Girl Guides wanaoagwa kutumia vizuri mafunzo waliyoyapata nchini na kwenda kufundisha wenzao katika nchi zao.
Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya TGGA, Grace Makenya naye akitoa nasaha zake
Girl Guides wanaoagwa wakiwa katika picha ya pmoja na viongozi wa TGGA


Kamishna Mkuu wa TGGA, Hangi akiwa katika picha na Girl Guides wanaoagwa

Tigo imekabidhi darasa lenye thamani ya Tsh milioni 8.5 kwa shule ya msingi Hachwi wilayani Kondoa

July 21, 2017
Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Sezaria Makutta akikata utepe kuashiria kupokea darasa lenye thamani ya shilingi milioni 8.5 lililojengwa na kampuni ya Tigo kwa shule ya msingi Hachwi wilayani Kondoa, wanaoshuhudia ni Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini George Lugata, Mkuu wa kitengo cha usimamizi na mahusiano na serikali kutoka Tigo, Sylvia Balwire na Meneja wa mahusiano na huduma za Jamii kutoka Tigo, Halima Okash(mwenye kilemba) makabidhiano hayo yalifanyika jana.

Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Sezaria Makutta akiingia katika  darasa lenye thamani ya shilingi milioni 8.5 lililojengwa na kampuni ya Tigo kwa shule ya msingi Hachwi wilayani Kondoa, wanaoshuhudia ni Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Kaskazini George Lugata, Mkuu wa kitengo cha usimamizi na mahusiano na serikali kutoka Tigo, Sylvia Balwire na Meneja wa mahusiano na huduma za Jamii kutoka Tigo, Halima Okash(mwenye kilemba) makabidhiano hayo yalifanyika jana
Darasa lenye thamani ya shilingi milioni 8.5 lililojengwa na kampuni ya Tigo kwa shule ya msingi Hachwi wilayani Kondoa, 
Wazazi wakishudia makabidhiano ya darasa lenye thamani ya Milion 8.5 kwa shule ya msingi Hachwi wilayani Kondoa.