SBL YATOA SH.BILIONI 2.1 KUIDHAMINI TAIFA STARS KWA MIAKA MITATU

May 13, 2017

 Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF),  Jamal Malinzi, akiteta jambo na Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo  Dk.Harisson Mwakyembe wakati wa hafla ya kutiliana saini mkataba wa sh.bilioni 2.1 uliotolewa na Kampuni ya Bia ya SBL Dar es Salaam jana kwa ajili ya kuidhamini timu ya Taifa Stars kwa miaka mitatu.