February 11, 2014

WAZIRI UMMY MWALIMU AFUNGUA MAFUNZO YA SIKU MBILI KWA MADIWANI WANAWAKE KUTOKA HALMASHAURI ZA MKOA WA TANGA LEO.

NAIBU WAZIRI OFISI YA MAKAMU WA RAIS,UMMY MWALIMU AKIUZNGUMZA WAKATI WA WARSHA YA MAFUNZO KWA MADIWANI WOTE WANAWAKE KUTOKA HALMASHAURI ZOTE MKOANI TANGA.
BAADHI WA WASHEMIWA MADIWANI KUTOKA HALMASHAURI MBALIMBALI MKOANI TANGA WAKIFUATILIA MADA MBALIMBALI KWENYE WARSHA YA MAFUNZO KWA MADIWANI WANAWAKE .

MAKAMU MWENYEKITI WA BODI YA  TAWODE .ABDI MAKANGE AKIZUNGUMZA KWENYE MAFUNZO HAYO LEO
MKUU WA WILAYA YA TANGA,HALIMA DENDEGO KULIA AKIWA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA TAWODE FATUMA MGANGA KUSHOTO KWENYE MAFUNZO HAYO LEO
NAIBU WAZIRI OFISI YA MAKAMU WA RAIS UMMY MWALIMU KATIKATI KUSHOTO NI MKUU WA WILAYA YA TANGA,HALIMA DENDEGO NA KULIA NI KATIBU WA CHAMA CHA MAPINDUZI MKOA WA TANGA,GUSTAV MUBBA WAKIWA KWENYE WARSHA YA MAFUNZO YA SIKU MBILI KWA MADIWANI WOTE MKOA WA TANGA.  
HAPA WAKIPIGA MAKOFI.
NAIBU WAZIRI OFISI YA MAKAMU WA RAIS UMMY MWALIMU KATIKATI KUSHOTO NI MKUU WA WILAYA YA TANGA,HALIMA DENDEGO  NA KULIA NI KATIBU WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) MKOA WA TANGA,GUSTAV MUBBA LEO WAKATI WA MAFUNZO YA SIKU MBILI KWA MADIWANI WANAWAKE KUTOKA HALMASHAURI ZOTE ZA JIJI LA TANGA
February 11, 2014

TAHADHARI KUTOKA (TMA) VIPINDI VYA MVUA KUBWA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WIZARA YA UCHUKUZI
MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA
Simu: 255 22 2460735/2460706
FAKSI: 255 22 2460735/2460700 S.L.P. 3056
Barua pepe: met@meteo.go.tz DAR ES SALAAM
Tovuti: www.meteo.go.tz
Unapojibu tafadhali nakili:
Kumb. Na.: TMA/1622 10 Februari, 2014
February 11, 2014

SERIKALI YALICHANILIA MBALI GAZETI LA KIZUSHI LA DAILY MAIL LA LONDON/UK THE MBURULAZZZ!!

SERIKALI imekanusha taarifa zilizochapishwa kwenye baadhi ya vyombo vya habari nchini kuhusu hali halisi ya vita dhidi ya ujangili ambazo chanzo chake ni gazeti la Daily Mail on Sunday la Uingereza na kuziita za uzushi, uongo na upotoshaji wa hali ya juu.

Taarifa hizo zilidai kuwa nyara karibu zote zinazotoka nchini zilikamatwa nje ya nchi badala ya ndani, jambo ambalo Serikali imesema si za kweli na ukweli ni kwamba nyara nyingi zimekamatwa nchini zikiwa kwenye harakati za kusafirishwa nje ya nchi.
February 11, 2014

CCM YATOA SHUKRANI KWA WANANCHI KUIMWAGA CHADEMA KATIKA UCHAGUZI MDOGO WA UDIWANI ULIOFANYIKA JUZI

NAPE NNAUYE
DAR ES SALAAM, Tanzania
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewashukuru Watanzania kwa kukiamini na kukipatia ushindi wa kishindo katika uchaguzi mdogo wa udiwani uliofanyika juzi katika kata 27 na CCM kushinda kata 23.

Akitoa shukrani hizo, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye alisema jana kwamba siri ya CCM kuimwaga CHADEMA ni uadilifu katika kuwatumikia wananchi na kwamba, kushindwa kwa chama hicho ni ushahidi kwamba hakikubaliki na Watanzania wamewathibitishia kwamba hawajazoea vurugu.
February 11, 2014

TCRA YAANDA KONGAMANO LA MABADILIKO YA MFUMO WA UTANGAZAJI WA ANALOJIA KWENDA DIGITALI JIJINI ARUSHA, LEO

Mkurugenzi wa Utangazaji kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Habbib Gunze (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha Februari 10, 2014 juu ya kukamilika kwa maandalizi ya Kongamano la 9 la CTO la mabadiliko ya mfumo wa utangazaji wa analojia kwenda Dijitali (DBSF) ambao utafanyika kuanzia 11 – 14 Februari, 2014 Naura Springs Hotel, Arusha Tanzania. Kulia ni Katibu Mtendaji wa CTO, Prof. Tim Unwin.
Waandishi wa habari wakifuatilia mkutano huo.
Mkurugenzi wa Utangazaji kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Habbib Gunze (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha Februari 10, 2014 juu ya Kongamano la 9 la CTO la mabadiliko ya mfumo wa utangazaji wa analojia kwenda Dijitali (DBSF) ambao utafanyika kuanzia 11 – 14 Februari, 2014 Naura Springs Hotel, Arusha Tanzania. Katikati ni Katibu Mtendaji wa CTO, Prof. Tim Unwin, akifuatiwa na Katibu Mtendaji wa Shirika la Mawasiliano Afrika Mahsriki (EACO) Hodge Semakula.

MWANRY AZITAKA HALMASHAURI KUENDELEA KUTENGA ASILIMIA TANO YA MAPATO YAO YA NDANI.

February 11, 2014
Na Omary Mlekwa,Siha
HALMASHAURI  nchini zimetakiwa kuendelea kutenga asilimia tano ya mapato yao ya ndani kwa ajili ya kuchangia mfuko wa Maendeleo ya wanawake ili kuwawezesha wanawake wengi zaidi kupata mikopo yenye masharti nafuu kupitia mifuko hiyo

Naibu Waziri Tawala za mikoa na Serikali za mitaa, Agrey Mwanry alitoa agizo hilo  wakati akizungumza na wanachama wa kikundi cha VICOBA cha Amani  kilichopo katika Kijiji cha Naweru ambapo alisema Halmashauri zinatakiwa kutenga fedha hizo bila kujali  hali ya makusanyo  yamapato ya ndani.

WAZIRI UMMY MWALIMU AFUNGUA MAFUNZO YA SIKU MBILI KWA MADIWANI WANAWAKE KUTOKA HALMASHAURI ZA MKOA WA TANGA LEO.

February 11, 2014
BAADHI WA WASHEMIWA MADIWANI KUTOKA HALMASHAURI MBALIMBALI MKOANI TANGA WAKIFUATILIA MADA MBALIMBALI KWENYE WARSHA YA MAFUNZO KWA MADIWANI WANAWAKE .
NAIBU WAZIRI OFISI YA MAKAMU WA RAIS,UMMY MWALIMU AKIUZNGUMZA WAKATI WA WARSHA YA MAFUNZO KWA MADIWANI WOTE WANAWAKE KUTOKA HALMASHAURI ZOTE MKOANI TANGA.

MJUMBE WA TAWODE NA MWENYEKITI WA JUMUIYA WA UMOJA WA VIJANA CHAMA CHA MAPINDUZI MKOA WA TANGA,ABDI MAKANGE AKIZUNGUMZA KWENYE MAFUNZO HAYO LEO
MKUU WA WILAYA YA TANGA,HALIMA DENDEGO KULIA AKIWA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA TAWODE FATUMA MGANGA KUSHOTO KWENYE MAFUNZO HAYO LEO
NAIBU WAZIRI OFISI YA MAKAMU WA RAIS UMMY MWALIMU KATIKATI KUSHOTO NI MKUU WA WILAYA YA TANGA,HALIMA DENDEGO NA KULIA NI KATIBU WA CHAMA CHA MAPINDUZI MKOA WA TANGA,GUSTAV MUBBA WAKIWA KWENYE WARSHA YA MAFUNZO YA SIKU MBILI KWA MADIWANI WOTE MKOA WA TANGA.  
HAPA WAKIPIGA MAKOFI.
NAIBU WAZIRI OFISI YA MAKAMU WA RAIS UMMY MWALIMU KATIKATI KUSHOTO NI MKUU WA WILAYA YA TANGA,HALIMA DENDEGO  NA KULIA NI KATIBU WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) MKOA WA TANGA,GUSTAV MUBBA LEO WAKATI WA MAFUNZO YA SIKU MBILI KWA MADIWANI WANAWAKE KUTOKA HALMASHAURI ZOTE ZA JIJI LA TANGA
MWEZESHAJI WA WARSHA YA MAFUNZO KWA MADIWANI WANAWAKE KUTOKA HALMASHAURI ZOTE MKOANI TANGA. KUTOKA CENTER FOR GOOD GOVERNANCE AND ECONOMIC DEVELEPMENT ,HAJI DACHI LEO  YALIYOFANYIKA KWENYE UKUMBI WA MIKUTANO WA MKUU WA MKOA WA TANGA 
 NAIBU WAZIRI OFISI YA MAKAMU WA RAIS UMMY MWALIMU WA TATU KUTOKA KUSHOTO AKIFUATIWA NA MKUU WA WILAYA YA TANGA KUSHOTO PAMOJA NA KATIBU WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM KULIA AKIWA NA VIONGOZI WENGINE WA KWANZA KUSHOTO NI MKURUGENZI WA TAWODE FATUMA MGANGA NA MWEZESHAJI WA MAFUNZO HAYO HAJI DACHI WAKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA.
MH,NAIBU WAZIRI  OFISI YA MAKAMU WA RAIS UMMY MWALIMU HAPA AKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA WAHESHIMIWA MADIWANI WA HALMASHAURI YA KILINDI LEO MARA BAADA YA KUFUNGU WARSHA YA SIKU MBILI INAYOHUSISHA MADIWANI WA HALMASHAURI ZOTE MKOANI HAPA.

 MH,NAIBU WAZIRI OFISI YA MAKAMU WA RAIS  UMMY MWALIMU AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WAHESHIMIWA MADIWANI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MUHEZA LEO MARA BAADA YA KUFUNGUA WARSHA YA MAFUNZO KWA MADIWANI WANAWAKE MKOANI HAPA
HAPA MH,NAIBU WAZIRI OFISI YA MAKAMU WA RAIS UMMY MWALIMU AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WAHESHIMIWA MADIWANI WA HALMASHAURI WA WILAYA YA KOROGWE.

HAPA AKIWA NA MADIWANI WA HALMASHAURI YA JIJI LA TANGA KATIKA PICHA YA PAMOJA MARA BAADA YA KUFUNGUA WARSHA HIYO YA SIKU MBILI YA MADIWANI WANAWAKE .