MKUTANO WA KITAIFA WA SHUKRANI WA KUOMBEA NCHI NA RAIS KUFANYIKA UWANJA WA UHURU KESHO KUTWA JUMAMOSI JIJINI DAR ES SALAAM

July 12, 2017
Mratibu wa mkutano wa kitaifa wa kuombea nchi na Rais Dk.John Magufuli, ambaye ni Askofu Mkuu wa Kanisa la Abudant Blessing Center (ABC), Askofu Flaston Ndabila (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mkutano huo ambao utafanyika kesho kutwa Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Askofu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God Jimbo la Dar es Salaam, Lawrence Kameta  na katikati ni Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya maombi ya shukrani kitaifa  , Askofu Mkuu wa Naoith Pentekoste Church, Dk. David Mwasota