Habari yako

April 12, 2013
Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi chama cha Mapinduzi Taifa CCM,Abdallah Bulembo akisalimiana na Mkuu wa wilaya ya Tanga,Halima Dendego wakati wa sherehe za kilele cha wiki ya wazazi ambapo kitaifa ilifanyika mkoani Tanga,anayeshuhudia katikati ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi  CCM wilaya ya Tanga,Komrade Kassim Mbuguni. Picha na Mwandishi wetu.

Mcheze kwa kuonyesha nidhamu.

April 12, 2013
Mkuu wa wilaya ya Tanga,Halima Dendego akizungumza na wanamichezo wakati wa ufunguzi wa michuano ya klabu bingwa kikapu hivi karibuni,Picha na Mwandishi Wetu

Mtuwakilishe vema.

April 12, 2013
Picha ni Afisa Michezo mkoa wa Tanga,Digna Tesha akisalimiana na timu ya Bandari Tanga wakaiti wa michuano ya Klabu bingwa kikapu iliyofanyika hivi karibuni anayeshuhudia mwenye tisheti nyekundu na kofia ni Mkuu wa wilaya ya Tanga,Halima Dendego,Pcha na Mwandishi wetu