KAMATI YA MIUNDOMBINU YARIDHIA ITIFAKI ZA UMOJA WA POSTA DUNIANI

KAMATI YA MIUNDOMBINU YARIDHIA ITIFAKI ZA UMOJA WA POSTA DUNIANI

September 05, 2017
JPEG.1
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa (aliyesimama) akiwasilisha Itifaki Nyongeza ya Tano hadi ya Tisa ya Umoja wa Posta Duniani (UPU) mbele ya wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu (hawapo pichani) ili iweze kuridhiwa na Kamati hiyo. Aliyevaa tai ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo Eng. Edwin Ngonyani. Wasilisho hilo limefanyika mjini Dodoma.
JPEG.2
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu Mhe. Moshi S. Kakoso (wa kwanza kulia) akiendesha kikao cha Kamati hiyo mjini Dodoma wakati Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na  mawasiliano Prof. Makame Mbarawa (hayupo pichani) akiwasilisha Itifaki Nyongeza ya Tano hadi ya Tisa ya Umoja wa Posta Duniani ili iweze kuridhiwa. Kushoto ni Katibu wa Kamati hiyo Bi. Hosiana John.
JPEG.3
Katibu Mkuu wa Mawasiliano, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Dkt. Eng. Maria Sasabo (aliyesimama) akitoa ufafanuzi kuhusu Itifaki Nyongeza ya Tano hadi ya Tisa ya Umoja wa Posta Duniani mbele ya Kamati ya Bunge ya Miundombinu mjini Dodoma.
MAJALIWA AZINDUA MFUMO WA KUAANDAA MIPANGO NA BAJETI

MAJALIWA AZINDUA MFUMO WA KUAANDAA MIPANGO NA BAJETI

September 05, 2017
PMO_9547
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza kabla ya  Kuzindua Mfumo wa Kuandaa Mpango na Bajeti kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa na Mfumo wa Uhasibu na Utoaji Taarifa kwenye Vituo vya Kutolea Huduma nchini. Uzinduzi huo ulifanyika kwenye Ukukumbi wa LAPF mjini Dodoma Septemba 5, 2017
PMO_9572
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua Mfumo wa Kuandaa Mpango na Bajeti kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa na Mfumo wa Uhasibu na Utoaji Taarifa kwenye Vituo vya Kutolea Huduma ulifanyika kwenye Ukukumbi wa LAPF mjini Dodoma Septemba 5, 2017. Kulia kwake ni Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais TAMISEMI, George Simbachawene na kushoto kwake ni Kaimu Balozi wa Mrekani nchini, Bi. Inmi Patterson.Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,  Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, Wapili kushotoni ni Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango na watatu kushoto kwa Waziri Mkuu, ni Waziri wa Afya , Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu
PMO_9583
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifurahia baada ya kuzindua Mfumo wa Kuandaa Mpango na Bajeti kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa na Mfumo wa Uhasibu na Utoaji Taarifa kwenye Vituo vya Kutolea Huduma ulifanyika kwenye Ukukumbi wa LAPF mjini Dodoma Septemba 5, 2017. Kulia kwake ni Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais TAMISEMI, George Simbachawene na kushoto kwake ni Kaimu Balozi wa Mrekani nchini, Bi. Inmi Patterson.Kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,  Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, Wapili kushoto ni Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango na watatu kushoto kwa Waziri Mkuu, ni Waziri wa Afya , Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu
PMO_9513
Baadhi ya washiriki wa Uzinduzi wa  Mfumo wa Kuandaa Mpango na Bajeti kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa na Mfumo wa Uhasibu na Utoaji Taarifa kwenye Vituo vya Kutolea Huduma wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa wakati alipozindua  mfumo huo  kwenye Ukukumbi wa LAPF mjini Dodoma Septemba 5, 2017
PMO_9675
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Watalaam wlioandaa Mfumo wa Kuandaa Mpango na Bajeti kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa na Mfumo wa Uhasibu na Utoaji Taarifa kwenye Vituo vya Kutolea Huduma baada ya kuzindua mfumo huo kwenye ukumbi wa LAPF mjini Dodoma Septemba 5, 2017. Kulia kwake ni Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Geotge Simbachawene na kushoto kwake ni Kaimu Balozi wa marekani Nchini,  Bi. Inmi Pattersson. Aliyekaa kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Lugimbana
PMO_9463
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa LAPF mjini Dodoma Septemba 5, 2017 Kuzindua Mfumo wa Kuandaa Mpango na Bajeti kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa na Mfumo wa Uhasibu na Utoaji Taarifa kwenye Vituo vya Kutolea Huduma . Wapili kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, George Simbachawene na wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Lugimbana
PMO_9485
Kaimu Balozi wa Marekani Nchini, Bi. Inmi Patterson akizungumza  katika Uzinduzi wa  Mfumo wa Kuandaa Mpango na Bajeti kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa na Mfumo wa Uhasibu na Utoaji Taarifa kwenye Vituo vya Kutolea Huduma 
uliofanywa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye ukumbi wa LAPF mjin Dodoma Septemba 5, 2017.
PMO_9495
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, George Simbachawene akizungumza  katika Uzinduzi wa  Mfumo wa Kuandaa Mpango na Bajeti kwa Mamlaka za Serikali za Mitaa na Mfumo wa Uhasibu na Utoaji Taarifa kwenye Vituo vya Kutolea  Huduma 
          uliofanywa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye        ukumbi wa LAPF mjin Dodoma Septemba 5, 2017.
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

MSAJILI WA HAZINA AYATAKA MASHIRIKA YA UMMA KUJIENDESHA KIMKAKATI

September 05, 2017
 Msajili wa Hazina Dkt. Oswald Mashindano (kushoto) akizungumza na Wenyeviti wa Bodi za Mashirika ya Umma na Taasisi za Serikali pamoja Watendaji Wakuu wa taasisi hizo (hawapo pichani) wakati wa hafla ya kuweka saini mkataba wa utendaji kazi kwa taasisi hizo mapema hii leo jijini Dar es Salaam.
 Msajili wa Hazina Dkt. Oswald Mashindano (wa pili kushoto) pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Anne Makinda (wa pili kulia) wakiweka saini katika mkataba wa utendaji kazi mapema hii leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu toka Ofisi ya Msajili wa Hazina Bw. Michael John na kulia ni Kaimu Meneja wa Sheria toka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Bi. Martha Charles.
 Msajili wa Hazina Dkt. Oswald Mashindano (wa pili kushoto) akimkabidhi Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Anne Makinda (wa pili kulia) mkataba wa utendaji kazi mapema hii leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu toka Ofisi ya Msajili wa Hazina Bw. Michael John na kulia ni Kaimu Meneja wa Sheria toka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Bi. Martha Charles.
 Msajili wa Hazina Dkt. Oswald Mashindano (kushoto) pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) Bi. Gaudensia Kabaka (kulia) wakiweka saini katika mkataba wa utendaji kazi mapema hii leo jijini Dar es Salaam. 
Msajili wa Hazina Dkt. Oswald Mashindano (kushoto) akimkabidhi Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo Kikuu Dodoma (UDOM) Bi. Gaudensia Kabaka (kulia) mkataba wa utendaji kazi mapema hii leo jijini Dar es Salaam.

MWAKYEMBE AWAONGOZA WANAHABARI KUUAGA MWILI WA MUHINGO RWEYEMAMU DAR

September 05, 2017
 Roseline Rweyemamu (katikati) ambaye ni Mjane wa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Handeni na Mwanahabari Mkongwe, Muhingo Rweyemamu, akiweka shada la Ua juu ya Kaburi la mumewe wakati maziko katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam jioni hii.
 Watoto wa Marehemu, Muhingo Rweyemamu ambaye alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Handeni na Mwanahabari Mkongwe wakati wa maziko yake yaliyofanyika katika Makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam. (PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA NA VENANCE NESTORY
 Wakuu wa Wilaya Wastaafu, wakiweka Shada la Ua juu ya Kaburi la aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Handeni na Mwanahabari Mkongwe, Muhingo Rweyemamu wakati wa maziko katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam
 Aliyekuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Salva Rweyemamu (wa pili kushoto), akijadiliana jambo na Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo na Burudani (TASWA), Juma Pinto wakati wa shughuli ya kumuaga mwanahabari mkongwe,marehemu  Muhingo Rweyemamu. Kulia ni Benny Kisaka na kushoto ni Mwandishi wa habari za Michezo wa Gazeti la Jambo Leo, Asha Kigundula
 Sehemu ya waombolezaji wakisubiri kuaga mwili wa  marehemu Rweyemamu
 Wanahabari wakirekodi tukio hilo

 Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Mtanzania, ambaye pia alikuwa rafiki mkubwa wa marehemu Muhingo, akitoa salamu za rambirambi
 Mtoto wa marehemu Muhingo, Emmanuel  akisoma wasifu wa marehemu babake
 Wajumbe wa kamati ya mazishi ya marehemu, Muhingo, wakijadiliana jambo wakati wa kuuaga mwili. Kutoka kushoto ni Joyce Mmasi, Mgaya Kingoba, Theophil Makunga, Abubakar Liongo na Benjamin Thomson
Makamu wa Rais, Bi Samia Azinduwa Tamasha la Jinsia 2017

Makamu wa Rais, Bi Samia Azinduwa Tamasha la Jinsia 2017

September 05, 2017
Makamu wa Rais Tanzania, Bi. Samia Suluhu (mwenye mtandio) akikata utepe pamoja na wageni meza kuu kuashiria uzinduzi rasmi wa Tamasha la Jinsia Tanzania la mwaka 2017. Makamu wa Rais Tanzania, Bi. Samia Suluhu (mwenye mtandio) akikata utepe pamoja na wageni meza kuu kuashiria uzinduzi rasmi wa Tamasha la Jinsia Tanzania la mwaka 2017 
Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP, Bi. Lilian Liundi (kushoto) akimpongeza Spika mstaafu mwanamke wa Bunge la Tanzania, Anna Makinda (kulia) mara baada ya kupokea tuzo yake. Makamu wa Rais Tanzania, Bi. Samia Suluhu (kushoto) akikabidhi tuzo Mama Getrude Mongela (kulia) Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP, Bi. Lilian Liundi akizungumza wakati wa uzinduzi rasmi wa Tamasha la Jinsia Tanzania Mwaka 2017. Mwenyekiti wa Bodi ya TGNP, Vicensia Shule akizungumza wakati wa uzinduzi rasmi wa Tamasha la Jinsia Tanzania Mwaka 2017. Washiriki mbalimbali katika tamasha hilo. Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto, Bi. Siaba Mkinga akizungumza katika uzinduzi wa Tamasha hilo. 
Makamu wa Rais Tanzania, Bi. Samia Suluhu akizungumza leo wakati akizinduwa rasmi Tamasha la Jinsia Tanzania la mwaka 2017. Uzinduzi huo umefanyika katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam.

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII YATEMBELEA HIFADHI YA MAZINGIRA ASILIA ULUGURU NA JUMUIYA YA HIFADHI YA WANYAMAPORI YA WAMI MBIKI MKOANI MOROGORO

September 05, 2017
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhandisi Ramo Makani (katikati) akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii wakati wa ziara yao ya kikazi katika eneo la Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori ya Wami Mbiki/Ushoroba mkoani Morogoro ambayo iliyolenga kubaini changamoto mbalimbali za uhifadhi kwa ajili ya kuishauri Serikali namna bora ya kukabiliana nazo.
 Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii wakimsikiliza Afisa Wanyamapori Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), Leonard Mayeta (wa nne kulia) wakati akitoa maelezo kuhusu Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori ya Wami Mbiki/Ushoroba wakati wa ziara ya kamati hiyo kwenye hifadhi hiyo ambayo ililenga kubaini changamoto mbalimbali za uhifadhi kwa ajili ya kuishauri Serikali namna bora ya kukabiliana nazo.
Kaimu Mkurugenzi wa Biashara na Utalii wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA), Imani Nkuwi akiwasilisha taarifa ya mamlaka hiyo kwa niaba ya Kaimu Mkurugenzi Mkuu, Dkt. James Wakibara mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii baada ya kutembelea eneo la Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori ya Wami Mbiki mkoani Morogoro. 
 Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhandisi Ramo Makani (kulia) na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), Prof. Dos Santos Silayo (wa tatu kulia) wakiongoza Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii kupanda mlima katika Hifadhi ya Mazingira Asilia Uluguru mkoani Morogoro wakati wa ziara yao iliyolenga kubaini changamoto mbalimbali za uhifadhi kwa ajili ya kuishauri Serikali namna bora ya kukabiliana nazo. 
 Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), Prof. Dos Santos Silayo (kulia) akizungumza na Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii wakati wa ziara yao ya kikazi katika Hifadhi ya Mazingira Asilia Uluguru mkoani. 
 Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Mazingira Asilia Uluguru, Cathbert Mafupa (kushoto) akitoa maelezo kwa Wajumbe wa Kamati hiyo kuhusu Hifadhi hiyo. 
 Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, Mary Chatanda (wa tatu kushoto) akizungumza kutaka ufafanuzi wa baadhi ya mambo kuhusu Hifadhi ya Mazingira Asilia Uluguru wakati wa ziara ya kamati kwenye hifadhi hiyo. Wengine pichani ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhandisi Ramo Makani (wa tatu kulia), Mwenyekiti wa kamati hiyo, Mhandisi Atashasta Ndetiye (wa nne kulia) na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Huduma za Misitu, Prof. Dos Santos Silayo (wa pili kulia). 
 Wajumbe wa Kamati wakikagua eneo la Hifadhi ya Mazingira Asilia Uluguru mkoani Morogoro wakati wa ziara yao ya kikazi ya kuangalia changamoto mbalimbali za uhifadhi zinazoikabili hifadhi hiyo kwa ajili ya kuishauri Serikali namna bora ya kukabiliana nazo. 
 Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), Prof. Dos Santos Silayo (kulia) akiongoza Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii kutembelea Hifadhi ya Mazingira Asilia Uluguru. 
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Aloyce Nzuki (kulia) na Wajumbe wa Kamati hiyo wakitembelea eneo la Hifadhi ya Mazingira Asilia Uluguru.