RPC TANGA:AWATAKA BODABODA KUACHA KUTUMIKA KUBEBA WAHAMIAJI HARAMU NA DAWA ZA KULEVYA

June 10, 2017

 Kamanda wa Polisi Mkoani Tanga,Benedict Wakulyamba akizungumza na waendesha pikipiki maarufu kama bodaboda wilaya Muheza wakati wa  ufunguzi wa mpango wa kutoa elimu waendesha bodaboda mkoani hapa ambao ulihudhurwa na wadau mbalimbali ikiwemo madereva wa bodaboda kulia ni Kamanda wa kikosi cha Usalama barabarani Mkoani Tanga (RTO) Nassoro Sisiwayah kushoto ni Kaimu Mkuu wa Polisi wilaya ya Muheza (OCD) ambapo aliwataka madereva wa bodaboda kuacha kutumika kuwabeba wahamiaji haramu na dawa za kulevya kwani watakaokamatwa hawatapona
 Kamanda wa kikosi cha Usalama barabarani Mkoani Tanga (RTO) Nassoro Sisiwayah akizungumza katika kikao hicho kushoto ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga,Benedict Wakulyamba na kulia ni Katibu wa Bodaboda wilayani Muheza,Fransic Gerald
 Kaimu Mkuu wa Polisi wilaya ya Muheza,(OCD) akizungumza katika kikao hicho kulia ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga,Benedict Wakulyamba kushoto ni Mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji wa APEC Bahati Alex
 Mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji wa APEC Bahati Alex akizungumza katika kikao hicho wa pili kulia ni Kamanda wa Polisi Mkoani Tanga,Benedict Wakulyamba kushoto mwenye miwani ni Kaimu Meneja wa Mfuko wa Mafao ya Wastaafu (GEPF) Erick Haule
 Katibu wa Bodaboda wilayani Muheza,Fransic Gerald akizungumza katika kikao hicho
 Kaimu Meneja wa Mfuko wa Mafao ya Wastaafu (GEPF) Erick Haule aliwataka madereva wa bodaboda kujiunga na mfuko huo
kupitia mpango wa bodaboda Scheme ili waweze kunufaika
  Kamanda wa Polisi Mkoani Tanga,Benedict Wakulyamba katikati akifuatilia maswali mbalimbali kulia ni Kamanda wa kikosi cha Usalama barabarani Mkoani Tanga (RTO) Nassoro Sisiwayah
  Waendesha pikipiki wilayani Muheza maarufu kama bodaboda wakimsikiliza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga,Benedict Wakulyamba wakati wa kikao hicho
 Waendesha pikipiki wilayani Muheza maarufu kama bodaboda wakimsikiliza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga,Benedict Wakulyamba wakati wa kikao hicho
 Waendesha pikipiki wilayani Muheza maarufu kama bodaboda wakimsikiliza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga,Benedict Wakulyamba wakati wa kikao hicho

Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Akabidhi Mipira ya Maji Kwa Wananchi wa Kijiji cha Mwera Kiongoni

June 10, 2017
Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe Simai Mohammed Said akimkabidhi mipira ya maji Mmoja wa Wazee wa Kijiji cha Mwera Kiongoni kwa ajili ya kuunganisha maji kupata huduma hiyo katika kijiji chao. Mipira hiyo jumla ya roli sita zimetolewa na Mbunge na Mwakilishi wa jimbo hilo la Tunguu Zanzibar.
Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Mhe. Simai Mohammed Said akiwa na wananchi wa Kijiji cha Mwera Kiongoni sehemu ya Jimbo lake wakiitikia dua baada ya kukabidhi mipira ya maji kwa ajili ya kijiji hicho kuweza kupata huduma hiyo. kwa wakazi wake.
Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Mhe. Simai Mohammed Said akisikiliza matatizo ya Wananchi wa Jimbo lake katika Kijiji cha Mwera Kiongoni Wilaya ya Kati Unguja akiwa na wananchi hao akipata changamoto zinazowakabili. baada ya kukabidhi mipira ya maji iliotolewa na Mwakilishi na Mbunge kwa Wananchi wa kijiji hicho kuunga maji.
Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe Simai Mohammed Said akizungumza na Wananchi wa jimbo lake katika Kijiji cha Mwera Kiongoni Wilaya ya Kati Unguja alipofika kukabidhi mipira ya maji roli sita ili kuweza kupata huduma ya maji safi na salama.
Mwenyekiti wa Tawi la CCM Mwera Kiongoni akizungumza wakati wa hafla hiyo ya kukabidhiwa mipira ya maji kwa ajili yao kupata huduma hiyo.
Diwani wa Wadi ya Ubago akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Mwakilishi wa Jimbo la Tunguu Zanzibar Mhe Simai Mohammed Said akimsikiliza Diwani wa Wadi ya Ubago akitowa maelezo ya upatikanaji wa maji hayo kwa wananchi wa kijiji cha mwera kiongoni. wanancc chi wa kijiji hicho walikuwa wakipata shida ya huduma hiyo muhimu kwa jamii.
Imetayarishwa na OthmanMapara.Blog.
Zanzinews.com.
VIONGOZI WA TANZANIA MEDIA FUND (TMF) OFISINI KWAKE MJINI DODOMA.

VIONGOZI WA TANZANIA MEDIA FUND (TMF) OFISINI KWAKE MJINI DODOMA.

June 10, 2017
unnamed
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura (kulia) akizungumza na viongozi wa Tanzania Media Fund (TMF) walipomtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma kuzungumza masuala mbalimbali yahusuyo Taasisi hiyo Kushoto ni Mkurugenzi Idara ya Habari MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi.
1
Meneja Huduma  kutoka Tanzania Media Fund (TMF) Bw. Alex Kanyambo akifafanua jambo  kwa Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura (hayupo pichani) wakati viongozi wa Tanzania Media Fund (TMF) walipomtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma kuzungumza masuala mbalimbali yahusuyo Taasisi hiyo.
2
Mtendaji Mkuu wa Tanzania Media Fund (TMF) Bw. Alex Kanyambo(kulia) akifafanua jambo  kwa Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura (hayupo pichani) wakati viongozi wa Tanzania Media Fund (TMF) walipomtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma kuzungumza masuala mbalimbali yahusuyo Taasisi hiyo.
3
Mtendaji Mkuu wa Tanzania Media Fund (TMF) Bw. Alex Kanyambo(kushoto) akijadilana jambo na Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura(katikati) pamoja na Mkurugenzi Idara ya Hbabari MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi (kushoto) wakati viongozi wa Tanzania Media Fund (TMF) walipomtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma kuzungumza masuala mbalimbali yahusuyo Taasisi hiyo.
5
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Anastazia Wambura(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Tanzania Media Fund (TMF) walipomtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma wa pili kulia ni Mkurugenzi Idara ya Habari MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi.
Picha zote na Octavian Kimario MAELEZO DODOMA 

MH MPINA ATEMBELEA MAENEO YA BUNJU BOKO TEGETA NA KEKO MWANGA KIFUATILIA UTEKELEZAJI WA MAAGIZO YAKE

June 10, 2017


Kushoto Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina Kiongea na vijana katika eneo la Bunju A Usalama, kuhusu Karavati (hawapo pichani) ambalo lilikuwa ni moja ya kero ya kuchangia mafuriko katika eneo hilo hasa katika vipindi vya mvua kutokana na uchafu wa mazingira uliopelekea karavati hilo kuziba. Naibu Waziri Mpina ametembelea eneo hilo leo ikiwa ni sehemu ya ufuatiliaji wa utekelezaji wa  magizo aliyotoa kwa sekta husika wakati wa ziara yake aliyowahi kuifanya katikamaeneo hayo.



Katikati Naibu Waziri Mpina akimsikiliza katibu wake Bw. Daniel Sagata (kulia) alipokuwa akizungumza kuhusu sehemu ya ukuta wa kiwanda cha red sea uliobomolewa kupisha maji ya mvua, wakati wa ukaguzi wa utekelezaji wa maagizo aliyoyatoa katika ziara yake alipotembelea katika eneo la keko mwanga mtaa wa Mafuta kushoto ni Bw. Salea Haffif mwakilishi wa kiwanda cha Red Sea.



Kushoto Naibu Waziri Mpina akimsikiliza katibu wake Bw. Daniel Sagata  kulia alipokuwa akimuonyesha tuta lililojengwa na kiwanda cha saruji cha Wazo cha Tegeta Jijini Dar es Salaam, Tuta ambalo  lilijengwa baada ya kujengwa mtaro wa kupitisha maji ya mvua yaliyokuwa yakisababisha kero ya mafuriko kwa wakazi wa maeneo jirani yaliyotaka na makorongo yaliyochimbwa na kiwanda hicho kwa lengo la kutafuta maligafi za kutengeneza saruji, kero hiyo inasemekana kupungua baada ya Naibu Waziri Mpina kuwahai kufanya ziara kiwandani hapo na kutoa maagizo.


Katika Picha ni sehemu ndogo ya korongo inayomwaga maji ya mvua na kuingia katika mfereji uliojengwa na kiwanda cha wazo.



(Pichani) Mtaro wa maji Machafu uliokuwa ukilalamikiwa na wakazi wa keko mwanga katika mtaa wa Mafuta habari na
Evelyn Mkokoi