Dk. Shein Azungumza na Wakuu wa Mikoa na Wilaya Zanzibar Ikulu leo.

Dk. Shein Azungumza na Wakuu wa Mikoa na Wilaya Zanzibar Ikulu leo.

October 25, 2014

IMG_2736 
WAKUU wa Mikoa na Wilaya Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein,wakati alipokutana nao Ikulu Zanzibar.(Picha na Othman Maulid) 
IMG_2747 
KATIBU Mkuu  Kiongozi Dk. Abdulhamid Yahya Mzee, akizungumza wakati wa Mkutano huo na Wakuu wa Mikoa na Wilaya walipokutana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein Ikulu Zanzibar.(Picha na Othman Maulid
IMG_2756 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Wakuu wa Mikoa na Wilaya wa Zanzibar, wakati alipokutana nao Ikulu Zanzibar leo 25/102014.(Picha na Othman Maulid)
KAMATI YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA MAZINGIRA YATEMBELEA WIZARA YA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS – MAZINGIRA

KAMATI YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA MAZINGIRA YATEMBELEA WIZARA YA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAIS – MAZINGIRA

October 25, 2014

_DSC0041Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira Mhe. Dkt. Injinia Binilith Satano Mahenge (aliyesimama), akizungumza na Wabunge wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, kuhusu Utekelezaji wa Sheria ya Mazingira katika Migodi ya Bulyankulu, North Mara, Geita na Buzwagi, wa kwanza kushoto ni Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mhe. Ummy Mwalimu, akiwa pamoja na Mbunge wa Mafia, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira Mhe. Abdulkarim Hassan Shaha(wa pili kulia).

_DSC0024Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Ndg. Sazi Salula (wa katikati), akiwa pamoja na Naibu Katibu Mkuu Inginia Anjelina Madete (wa kwanza kushoto) wakifuatilia kwa makini hotuba inayotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Muheshimiwa Dkt. Injinia Binilith Satano Mahenge (hayupo pichani)._DSC0039Baadhi ya Wabunge wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira,wakifuatilia hotuba inayotolewa na  Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Muheshimiwa Dkt. Injinia Binilith Satano Mahenge (hayupo pichani). _DSC0167Baadhi ya Wajumbe wakiwa katika kikao cha kamati ya Bunge la Ardhi, Maliasili na Mazingira jijini Dar es saalam
wakisiliza kwa makini Taarifa ya Utekelezaji wa agizo la kamati ya kudumu ya Bunge ya Ardhi,maliasili na
Mazingira ya udhibiti matumizi ya mifuko ya plastiki iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa
Rais-Mazingira Dk Binilith Mahenge kwenye ukumbi wa Benki kuu leo jijini Dar es Salaam.(Picha na OMR)
_DSC0169Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Mazingira Dk Binilith Mahenge akitoa taarifa ya utekelezaji wa agizo la Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira ya Udhibiti na Matumizi ya

Mifuko ya plastiki kwa Kamati hiyo. Kulia kwake ni Mh. Naibu Waziri Ummy Mwalimu akiwa na Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo Abdulkarim Esmail Shah pamoja na katibu wa Kamati Gerald Magili leo Jijini Dar es Salaam(Picha na OMR)
ZIARA YA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA NCHINI POLLAND

ZIARA YA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA NCHINI POLLAND

October 25, 2014

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Wajumbe wa Chama cha Wafanyabiashara cha Polland jijini Warsaw akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Oktoba 24, 2014. Wengine Pichani kutoka kushoto ni Makamu wa Rais na Mkurugenzi Mkuu wa Chama cha Wafanyabiashara cha Polland, Bw. Marek Kloczko,Naibu Katibu  Mkuu wa  Wizara ya Mambo ya Nje ya Polland, (Under Secretary Of State Ministry of Foreign Affairs),  Bibi Katarzyna Kacperczyk na Bwana  Jerzy Pietrewiez ambaye ni  Katibu Mkuu Wizara ya Uchumi ya Polland  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)PG4A6721Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Watanzania waishio Polland baada ya kuwasili jijini  Warsaw kwa ziara ya kikazi  Oktoba 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) PG4A6747 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Chama cha Wafanyabiashara cha Polland  jijini Warsaw akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Oktoba 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) PG4A6770 
Baadhi ya wajumbe wa Chama cha Wafanyabiashara cha Polland wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo  Pinda wakati alipowahutubia jijini Warsaw Oktoba 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) PG4A6813 
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akikagua matrekta yanayotengenezwa katika kiwanda cha  ROL- BRAT  kilichopo Warsaw, Polland akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Oktoba 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) PG4A6832 
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akikagua matrekta yanayotengenezwa katika kiwanda cha  ROL- BRAT  kilichopo Warsaw, Polland akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo Oktoba 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) PG4A6897 
Waziri Muu, Mizengo  Pindaakipata maelezo kutoka kwa mshauri wa uchumi nchini Polland Bw, Aleksandr Zincman(kushoto)  kuhusu usindikaji ngano wakati alipokagua kiwanda cha kusindika unga   cha  Chojnow nchini Polland akiwa kayika ziara ya kikazi nchini huo Oktoba 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)    PG4A7041 

DC DENDEGO ASHIRIKIANA NA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI WANAWAKE MKOA WA TANGA(WMO)LEO WATEMBELEA KITUO CHA AFYA PONGWE,WAGAWA ZAWADI KWA WAGONJWA

October 25, 2014

MWENYEKITI WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI WANAWAKE MKOA WA TANGA,BERTHA MWAMBELA WA KWANZA KUSHOTO WALIOKAA AKISAINI KITABU CHA WAGENI MARA BAADA YA KUFIKA KWENYE KITUO CHA AFYA PONGWE LEO WA KWANZA KULIA NI MKUU WA WILAYA YA TANGA HALIMA DENDEGO

BAADA YA KUSAINI KITABU HICHO WALITEMBELEA MAENEO MBALIMBALI KWENYE KITUO HICHO NA ANAYEELEKEZA NI MGANGA MFAWIDHI WA KITUO CHA AFYA PONGWE FEISAL ALLY AKIWAONYESHA BAADHI YA MAJENGO MUHIMU KWENYE KITUO HICHO WA PILI KUSHOTO NI MKUU WA WILAYA YA TANGA HALIMA DENDEGO
MKUU WA WILAYA YA TANGA,HALIMA DENDEGO KULIA KATIKATI NI DIWANI WA KATA YA PONGWE,UZIA JUMA KOMBO NA MWENYEKITI WA KAMATI YA AFYA KITUO CHA PONGWE SADICK SADOLE WAKIMSIKILIZA MWENYEKITI WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI WANAWAKE MKOA WA TANGA(WMO)BERTHA MWAMBELE AMBAYE HAYUPO PICHANI KUHUSU ZIARA YA CHAMA HICHO KWENYE KITUO HICHO LEO
MWENYEKITI WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI WANAWAKE MKOA WA TANGA(WMO)BERTHA MWAMBELA AKIZUNGUMZA MACHACHE KABLA YA KUKABIDHI ZAWADI NA KUFANYA USAFI KWENYE KITUO CHA AFYA PONGWE JIJINI TANGA LEO

KULIA NI MWENYEKITI WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI WANAWAKE MKOA WA TANGA,BIBI BERTHA MWAMBELA AKIMKABIDHI ZAWADI YA SAUBINI  MWENYEKITI WA KAMATI YA AFYA KITUO CHA AFYA PONGWE JIJINI TANGA LEO WANAOSHUHUDIA KATIKATI NI CECILIA KWEGYIR AMBAYE PIA NI MWANDISHI WA HABARI
WAANDISH WA HABARI WANAWAKE HAPA WAKIWAJIBIKA KUFANYA USAFI LELO
 
MKUU WA WILAYA YA TANGA,HALIMA DENDEGO ALIYEVAA TISHETI YA KIJANI KATIKATI WALIOSIMAMA AKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA WAANDISHI WA HABARI WANAWAKE MKOA WA TANGA MARA BAADA YA KUMALIZIKA ZIARA YAO LEO


KATIKATI NI MRATIBU WA CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA TANGA(TANGA PRESS CLUB)NEEMA KHATIBU AKIJIANDAA KUVAA GLOVES KWA AJILI YA KUFANYA USAFI KWENYE KITUO CHA AFYA PONGWE LEO KUSHOTO NI MWANDISHI WA GAZETI LA MTANZANIA TANGA,AMINA OMARI NA KULIA NI MWANDISHI WA GAZETI LA TANZANIA DAIMA ELIZABERTH KILINDI
KUSHOTO NI MENEJA MASOKO WA KAMPUNI YA MWANANCHI MKOA WA TANGA,SALMA MIRAJI KATIKATI NI MWANDISHI WA RADIO TRIPLE A YA ARUSHA MKOANI HAPA AGNES MAMBO NA MSAIDIZI WA MANEJA MASOKO WA MCL TANGA CECILIA KWEGYIAR WAKITAFAKARI JAMBO BAADA YA KUMALIZA KAZI YA USAFI LEO