HIVI NDIVYO DKT MAGUFULI ALIVYOPOKELEWA LEO WILAYANI BABATI MKOA WA MANYARA

October 04, 2015


 Mkutano wa hadhara wa kampeni wa Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli ukiendelea katika uwanja wa Kwaraha,wilayani Babati mkoani Manyara jioni ya leo,ambapo umati mkubwa wa watu ulijitokeza kusikiliza sera zake.PICHA NA MICHUZI JR-BABATI,MANYARA.
 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia na kujinadi kwa kijinadi kwa Wakazi wa mji wa Babati mjini na Vitongoji vyake kwenye mkutano huo wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Kwaraha,mkoani Manyara.
 Wakazi wa mji wa Babati mjini na Vitongoji vyake wakimshangilia Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akijinadi mbele yao na kuwaomba kura za kutosha ifikapo Oktoba 25 Mwaka huu kwenye uchaguzi mkuu,ili awe Rais wa Tanzania wa awamu ya tano.Mkutano huo wa hadhara uliofana kwa kiasi kikubwa ulifanyika mjini humo katika uwanja wa Kwaraha,mkoni Manyara.
 Maelfu ya wakazi wa mji wa Babati wakiwa wemekusanyika katika uwanja wa Kwarahaa mapema leo jioni kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni wa Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli,alipokuwa akiwahutubia mjini humo mkoa wa Manyara.
  Baadhi ya wakazi wa mji wa Babati wakishangilia jambo wakati mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli alipokuwa akiwahutubia jioni ya leo kwenye uwanja wa Kwaraha,mkoani Manyara.


 Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi CCM Dkt John Pombe Magufuli akijinadi mbele ya Wakazi wa mji wa Babati mjini na Vitongoji vyake kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Kwaraha,mkoani Manyara.
 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwanadi wagombea Ubunge,Mbunge wa Babati vijijini Ndugu Jitu Soni ambaye tayari alikwisha kabidhiwa kitabu cha Ilani ya CCM
Maelfu ya wakazi wa mji wa Babati wakiwa wemekusanyika katika uwanja wa Kwarahaa mapema leo jioni kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni wa Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli,alipokuwa akiwahutubia mjini humo mkoa wa Manyara.
 Mgombea Ubunge wa jimbo la Hanang,Mama Mary Nagu akimuombea kura mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli kwa wakazi wa mji wa Babati mjini jioni ya leo kwenye mkutano wa kampeni,uliofanyika katika uwanja wa kwaraha.
 Maelfu ya wakazi wa mji wa Babati wakiwa wemekusanyika katika uwanja wa Kwarahaa mapema leo jioni kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni wa Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli,alipokuwa akiwahutubia mjini humo mkoa wa Manyara.  
  Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa mji wa Kondoa mapema leo mchana kwenye uwanja wa sabasaba,amapo mkutano wa hadhara wa kampeni ulifanyika.Dkt Magufuli akitokea mkoani Singida kuelekea mkoani Manyara kuendelea na kampeni zake za kusaka Urais,aliwahutubia wakazi wa wilaya ya Chemba,wilaya ya Kondoa,na vitongoji vingene kadhaa na hatimae kuibukia wilayani Babati na kuhutubia mkutano mkubwa katika uwanja wa Kwaraha.
-- Ahmad Issa Michuzi Editorial Director P.O BOX 9033, DAR ES SALAAM. issamichuzi.blogspot.com www.michuzijr.blogspot.com othmanmichuzi.blogspot.com Phone:0713 422 313/ 0783 422 313 Tanzania- East Africa.

KAIMU KATIBU TAWALA AFUNGA MAFUNZO YA WARATIBU WA UCHAGUZI DAR ES SALAAM LEO

October 04, 2015

 Kaimu Katibu Tawala Raymond Mapunda (wa katikati), amaye ni   Ofisa Elimu wa Dar es Salaam akifunga Mafunzo  kwa waratibu wa Uchaguzi, wasimamizi wa Uchaguzi,wasimamizi wasaidizi wa Uchaguzi ngazi ya Jimbo na Maofisa Uchaguzi, Mkoa wa Dar es Salaam leo, ambapo mafunzo hayo yalikuwa ya siku mbili, wa kwanza kulia ni Mratibu Uchaguzi  wa mkoa wa Mary Assey na  kushoto ni Msimamizi wa Uchaguzi Wilaya ya Temeke na Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke Photidas Kagimbo.
 (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
 Msimamizi wa Uchaguzi Wilaya ya Temeke na Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke Photidas Kagimbo akizungumza jambo mara baada ya kufungwa mafunzo hayo Dar es Salaam
 Washiriki wa mafunzo hayo wakimsikiliza mgeni rasmi mara alipokuwa akifunga mafunzo hayo

Kaimu Mkuu wa Sehemu Kanda ya Kusini  Crecencia Mayalla, akizungmza jambo na waandishi wa habari baada ya kufungwa mafunzo kwa waratibuwa Uchaguzi, wasimamizi wa uchaguzi, wasimamizi wa wasaidizi wa uchaguzi  ngazi  ya Jimbo na Maafisa uchaguzi.
Wahitimu wa NBAA wameaswa kulinda, kutunza na kusimamia viapo vya taaluma yao.

Wahitimu wa NBAA wameaswa kulinda, kutunza na kusimamia viapo vya taaluma yao.

October 04, 2015

07
Baadhi ya wahitimu wakijiaandaa kabla ya kuanza maandamano kuelekea eneo la kutunuku vyeti wakati wa mahafali ya 37 yaliyofanyika katika kituo cha NBAA Mbweni jana jijini Dar es Salaam.
08
Bendi ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) wakiongoza maandamano kuelekea eneo la kutunuku vyeti wakati wa mahafali ya 37 yaliyofanyika katika kituo cha NBAA Mbweni jana jijini Dar es Salaam.
01
Mgeni rasmi ambaye pia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Prof. Mark Mwandosya akiongea na wahitimu wakati wa mahafali ya 37 ya Bodi ya Taifa na Wakaguzi wa Hesabu nchini (NBAA) na wageni waalikwa yaliyofanyika jana katika kituo cha NBAA Mbweni jijini Dar es Salaam.
02
Mwenyekiti wa Bodi ya Taifa na Wakaguzi wa Hesabu nchini (NBAA) Prof. Isaya Jairo akimkaribisha Mgeni rasmi ambaye pia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Prof. Mark Mwandosya kuongea na wahitimu wakati wa mahafali ya 37 wa Bodi hiyo pamoja na wageni waalikwa yaliyofanyika jana katika kituo cha NBAA Mbweni jijini Dar es Salaam.
03
Mkurugenzi wa Bodi ya Taifa na Wakaguzi wa Hesabu nchini (NBAA) Bw. Pius Maneno akitoa hotuba fupi kwa mgeni rasmi wakati wa mahafali ya 37 yaliyofanyika katika kituo cha NBAA Mbweni jana jijini Dar es Salaam.
04
Baadhi ya wahitimu wa Bodi NBAA wakifuatilia kwa makini hotuba ya Mgeni rasmi wakati wa mahafali ya 37 yaliyofanyika katika kituo cha NBAA Mbweni jana jijini Dar es Salaam ambapo jumla ya wahitimu 972 walipata CPA na wahitimu 87 walipata cheti cha utunzaji wa hesabu.
05
Mgeni rasmi ambaye pia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Prof. Mark Mwandosya akimpongeza mmoja wa wahitimu wa CPA aliyefanya vizuri kwenye mitihani yake wakati wa mahafali ya 37 yaliyofanyika katika kituo cha NBAA Mbweni jana jijini Dar es Salaam.
06
   09
Mgeni rasmi ambaye pia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Prof. Mark Mwandosya akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Bodi ya Taifa na Wakaguzi wa Hesabu nchini (NBAA) na wahitimu CPA wakati wa mahafali ya 37 yaliyofanyika jana katika kituo cha NBAA Mbweni jijini Dar es Salaam.
..……………………………………………………………………….
Na Eleuteri Mangi-MAELEZO
Wahitimu wa Bodi ya Taifa na Wakaguzi wa Hesabu nchini (NBAA) ambao ni wataalamu wa masuala ya uhasibu na ukaguzi wa hesabu wameaswa kulinda, kutunza na kusimamia viapo vyao wakati wakitekeleza majukumu yao ya kihasibu ipasavyo katika sehemu zao za kazi Hayo yamesemwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum), Prof. Mark Mwandosya wakati wa mahafali ya 37 ya Bodi ya NBAA yaliyofanyika jana katika kituo cha NBAA Mbweni jijini Dar es Salaam. “Kiapo mlichoapa leo kiwe chachu ya ufanisi katika utendaji wenu wa kazi, kushuka kwa kiwango cha maadili katika utumishi kunatokana na kuota kwa mizizi katika suala la fedha” Prof. Mwandosya aliendelea kusisitiza, “Mlinzi mkuu wa fedha katika sehemu yeyote ile ni Mhasibu, nanyi leo mnahitimu, mnapaswa kuwa waaminifu kwa familia zenu, taaluma yenu na kwa taifa mkiongozwa na kiapo mlichoapa, isiwe ni sehemu ya ajenda ya leo ya kutimiza wajibu, bali kiapo hicho kiwe cha kusisitiza maadili, uaminifu, uadilifu na uzalendo”. Aidha, Prof. Mwandosya aliongeza kuwa Bodi ya NBAA na Watanzania wana wajibu wa kujenga fikra ya kizalendo kwa taifa lao na kujiamini katika masuala ya hesabu za fedha ili waweze kufikia viwango vya kimataifa kwa kuweka misingi imara kwa wahasibu na wakaguzi wa hesabu ambapo mataifa mengine wavutiwe kuja kujifunza hapa nchini. Kwa upande wake Mkurugenzi wa Mtendaji Bodi ya Taifa na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania (NBAA) Bw. Pius Maneno akitoa taarifa ya Bodi hiyo kwa mgeni rasmi wakati wa maafali hayo alisema kuwa kituo hicho kimefanikiwa kinatoa mchango mkubwa nchi katika kukuza fani ya wahasibu na wakaguzi wa hesabu nchini tofauti na hali ilivyokuwa miaka ya nyuma. Katika mahafali hayo, idadi ya wahitimu imeongezeka mwaka huu na kufikia 972 waliopata CPA na wahitimu 87 kwa ngazi ya cheti cha utunzaji wa hesabu tofauti na hali ilivyokuwa mwaka jana 2014 ambapo kulikuwa na jumla ya wahitimu 855 walipata CPA na wahitimu 82 walipata cheti cha utunzaji wa hesabu. Wakati huo huo, mmoja wa wahitimu hao Imelda Mzatulla alisema kuwa kiapo walichoapa kinawahamasisha kutimiza wajibu wao kwa mujibu wa kanuni za maadili ya kiuhasibu na ukaguzi wa hesabu, kwa uaminifu, uadilifu na utaalamu kwa kuzingatia matarajio ya Serikali, muajiri, jamii na taifa kwa ujumla. Kiapo hicho walichoapa wahitimu hao, pia kinawahimiza kuwa waendelee kushirikiana na kituo hicho cha NBAA kwa kuzingatia miongozo yote ya taaluma yao inayotolewa na Bodi hiyo nchini.

Mgombea Ubunge Jimbo la Chumbuni Ussi Salum Pondeza AMJADI,Awahutubia Wananchi wa Jimbo Hilo katika Mkutano Wake wa Kampeni Viwanja vya Mabanda ya Ngombe Chumbuni Unguja.

October 04, 2015

Msoma Utenzi akisoma Utenzi maalum wakati wa Uzinduzi wa Mkutano wa Kampeni wa Jimbo la Chumbuni Unguja uliofanyika katika Viwanja vya Mabanda ya Ngombe Chumbuni Zanzibar.
Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi akiwa katika viwanja vya mkutano akishangilia na Picha ya Mgombea wake wa Ubunge kupitia CCM Ndg. Ussi Salum Pondeza AMJADI wakati wa mkutano huo
Wananchi wa Jimbo la Chumbuni wakiwa katika viwanja vya mkutano wa Kampeni ya Mbunge na Mwakilishi wa Jimbo hilo uliofanyika viwanja vya Mabanda ya Ngombe Chumbuni Unguja.
Wagombea Ubunge Uwakilishi na Udiwani wakiwapungia mikono Wananchi waliohudhuria mkutano huo wa kampeni wakati msoma utenzi akitaja majina ya Wagombea.
Wanachama wa CCM wa Tawi la Masumbani Jimbo la Chumbuni wakifuatilia mkutano huo wa kampeni uliofanyika viwanja vya mabanda ya ngombe chumbuni Unguja
Mgombea Ubunge Jimbo la Mfenesini Kanali Mstaaf Masoud akimtunza msoma Utenzi wakati wa mkutano wa Uzinduzi wa Jimbo la Chumbuni Unguja. 
Katibu wa CCM Jimbo la Chumbuni akisoma utaratibu wa mkutano huo wa kampeni wa jimbo hilo. 
Aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Chumbuni Unguja Mhe Machano Othman, akiwasalimia Wananchi wa Jimbo hilo na kuwaombea Kura Wagombea wote wa CCM wanaogombea katika Jimbo la Chumbuni kuazi Mbunge Mwakilishi na Madiwani kuwa kura ya Ndio kuendelea maendeleo katika jimbo hilo walioyawacha wao.kwa sasa anagombea Jimbo la Mfenesini nafasi ya Uwakilishi 
Mgombea Ubunge Jimbo la Mfenesini Kanal Mstaaf Masaud, akiwasalimia Wananchi wa Jimbo la Chumbuni wakati wa Mkutano wa Kampeni ya Uzinduzi ya Jimbo zilizofanyika katika viwanja vya mpira mabanda ya ngombe chumbuni Unguja

Rais Kikwete Azindua Jengo la Kuhifadhia Madawa la Hospitali ya CCBRT jijini Dar es salaam Ijumaa Oktoba 3, 2015

October 04, 2015

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen. Kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe Seif S. Rashid na katikati yao ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salam Mhe Saidi Meck Sadick.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa  kwa  Mtendaji Mkuu wa CCBRT Bw. Erwin Telemans alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen. 
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete viongozi mbalimbali  alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wadau alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa mabalozi wa nchi wafadhili  alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na mabalozi alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa mabalozi akiwa ameongozana na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa alipokwenda hospitalini hapo kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa na mabalozi na watoto wanaopata matibabu wakikata utepe kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen. Kulia ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe Seif S. Rashid 
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua pazia kuashiria kufunguliwa jengo l bohari ya madawa  huku akishuhudiwa na Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa
 Rais Kikwete akitembezwa katika bohari ya madawa ya hospitali ya CCBRT ambayo ni ya kisasa kabisa
 Rais Kikwete akitembezwa katika bohari ya madawa ya hospitali ya CCBRT ambayo ni ya kisasa kabisa

 Rais Kikwete akitembezwa katika bohari ya madawa ya hospitali ya CCBRT ambayo ni ya kisasa kabisa

 Rais Kikwete akinyunyizia maji mmea a Mbuyu uliopandwa kama kumbukumbu
 Rais Kikwete akifunua kitambaa chenye jina la aina ya huo mbuyu
 
 Rais Kikwete akipokea mchoro wa kitambaa uliotengenezwa na kinamama waliopona ugonjwa wa Fistula

 Watendaji na wagonjwa wa Fistula wakishuhudia

 Rais Kikwete akiwa na mtoto ambaye mama yake anatobiwa Fistula hospitalini hapo
 Rais Kikwete na wadau wengine wakipozi kwa furaha na kinamama walio katika matibabu ya Fistula kutoka kila pembe ya Tanzania
 Rais Kikwete akiwapongeza kinamama hao kwa kuwa mashujaa na kujitokeza kutibiwa ugonjwa wa Fistula ambao unatibika
 Rais Kikwete akifurahi na mzazi na mtoto anayesubiri kufanyiwa upasuaji wa mdomo-sungura
 Rais Kikwete akiongea na mtoto ambaye baada ya kupata  matibabu ya kuondoa mtoto wa jicho hapo CCBRT  ameweza kuona kwa mara ya kwanza maishani mwake
 Rais Kikwete  na wote wakimshangilia mtoto ambaye baada ya kupata  matibabu ya kuondoa mtoto wa jicho hapo CCBRT  ameweza kuona kwa mara ya kwanza maishani mwake

 Rais Kikwete akimpongeza mtoto ambaye baada ya kupata  matibabu ya kuondoa mtoto wa jicho hapo CCBRT  ameweza kuona kwa mara ya kwanza maishani mwake
 Sehemu ya kupumzikia iliyopo karibu na hio canteen mpya iliyozinduliwa
 Sehemu ya kupumzikia iliyopo karibu na hio canteen mpya iliyozinduliwa
 Mtendaji Mkuu wa CCBRT Bw. Erwin Telemans akiongea katika sherehe za  kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen
 Baadhi y wageni waalikwa na wafadhili wa mradi huo
 Mshauri wa ufundi wa hospitali ya CCBRT Dkt. Brenda D'Mello akitoa maelezo ya shughuli za hapo

 Sehemu ya kupumzikia iliyopo karibu na hio canteen mpya iliyozinduliwa
 Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Mhe Seif S. Rashid 
 Rais Kikwete akitoa hotuba yake ya kuzindua majengo hayo
 Rais Kikwete akitoa hotuba yake ya kuzindua majengo hayo
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa kwa hotuba na  Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa baada ya  kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa kwa hotuba na  Mtendaji wa  Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Bw. Erwin Telemans baada ya  kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen
 Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa akimshukuru Rais Kikwete kwa   kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen
 Rais Kikwete, Rais wa Bodi ya Hospitali ya CCBRT ya jijini Dar es salaam Dr Wilbroad Slaa, Waziri wa Afya na Mtendaji Mkuu baada ya  kuzindua jengo la bohari kuu ya madawa ya hospitali hiyo pamoja na canteen

 Karibuni vinywaji baridi waheshimiwa...."Anasema mmoja wa wahudumu
 Rais Kikwete akiongea na mabalozi mbalimbali
 Rais Kikwete na wadau wa hospitali ya CCBRT katika picha ya pamoja
  Rais Kikwete na watendaji  wa hospitali ya CCBRT katika picha ya pamoja
  Rais Kikwete na wafadhili  wa hospitali ya CCBRT katika picha ya pamoja
  Rais Kikwete na wajumbe wa Bodi ya  hospitali ya CCBRT katika picha ya pamoja
 Rais Kikwete akiagana na Balozi wa Ujerumani na mabalozi wengine baada ya sherehe hiyo