NAIBU SPIKA ACKSON AFUNGUA SEMINA KWA WABUNGE YA UELEWA WA HAKI ZA WATU WENYE ULEMAVU

May 07, 2016
 Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Wenye Ulemavu), Dk Abdallah Possi (kulia), akiwasilisha mada katika semina ya Wabunge kukuza na kuimarisha usawa wa watu wenye ulemavu nchini, kwenye Ukumbi wa Bunge wa Msekwa mjini Dodoma jana. Kutoka kushoto ni Mbunge wa Jimbo la Bukene, Seleman Zedi (CCM) na Naibu Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG
 Naibu Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson akifungua semina hiyo

 Baadhi ya wabunge wakihudhuria kwenye semina hiyo

 Zedi akiongoza majadiliana wakati wa semina hiyo


RAIS DKT. MAGUFULI ATUNUKU KAMISHENI MAAFISA 586 KATIKA CHUO CHA MAAFISA WA JESHI MONDULI

RAIS DKT. MAGUFULI ATUNUKU KAMISHENI MAAFISA 586 KATIKA CHUO CHA MAAFISA WA JESHI MONDULI

May 07, 2016

MON1 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride kabla ya kutunuku Kamisheni kwa Maafisa Wapya 586 wa jeshi la Wananchi wa Tanzania kundi la 58/15 katika chuo cha kijeshi cha Monduli TMA mkoani Arusha.
MON2 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akikagua gwaride kabla ya kutunuku Kamisheni kwa Maafisa Wapya 586 wa jeshi la Wananchi wa Tanzania kundi la 58/15 katika chuo cha kijeshi cha Monduli TMA mkoani Arusha.
MON3 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akitunuku kamisheni kwa maafisa wapya 586 wa jeshi la Wananchi wa Tanzania kundi la 58/15 katika chuo cha Mafunzo ya kijeshi cha Monduli TMA mkoani Arusha
MON4 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Afisa Mpya wa cheo cha Luteni Usu, Nasra Rashid ambaye alifanya vizuri zaidi kuliko Maafisa Wanafunzi wanawake katika chuo cha kijeshi cha Monduli TMA mkoani Arusha.
MON5 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya wananchi General Davis Mwamunyange mara baada ya kuwasili kwenye chuo cha Mafunzo Kijeshi cha Monduli TMA mkoani Arusha.
MON6 
Maafisa Wanafunzi wakipita kwa mwendo wa haraka  mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu Dkt. John Pombe Magufuli kabla ya kutuniwa Kamisheni
MON7 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi cha Monduli TMA Meja Jenerali Paul Peter Massao kabla ya kutunuku Kamisheni kwa Maafisa Wapya 586 katika chuo hicho cha Monduli.
MON8 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa wapya aliowatunuku Kamisheni katika cha Mafunzo Kijeshi cha Monduli TMA mkoani Arusha. Wengine katika picha ni Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya wananchi  Jeneral Davis Mwamunyange , Mkuu wa Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi cha Monduli TMA Meja Jenerali Paul Peter Massao, Waziri wa Ulinzi Dkt. Hussein Mwinyi pamoja na Maafisa wa ngazi za juu katika Jeshi la Ulinzi.
MON9 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi  wa Ngarenaro waliomsimamisha wakati akitokea kwenye chuo cha Mafunzo ya Kijenshi cha Monduli mkoani Arusha.
MON10 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akitembea kikakamavu mara baada ya kutoka kukagua gwaride katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi cha Monduli TMA mkoani Arusha.
MON11 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo wakati akizungumza na wanaanchi wa kona ya Mbauda mkoani Arusha.
MON12 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Mkuu wa majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi cha Monduli mara baada ya kutazama picha za Majenerali wastaafu waliongoza Jeshi la Wananchi katika miaka ya nyuma.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Mkuu wa majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi cha Monduli mara baada ya kutazama picha za Majenerali wastaafu waliongoza Jeshi la Wananchi katika miaka ya nyuma.
MON13 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wakazi wa Kona ya Nairobi eneo la Arusha Tech mara baada ya kutoka kutunuku Kamisheni kwa maafisa Wapya katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi  cha Monduli mkoani Arusha. PICHA NA IKULU
…………………………………………………………………………………………………..
Na Mahmoud Ahmad,Monduli
Amiri jeshi mkuu na Rais   wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Pombe Magufuli amewatunuku Kamisheni  wahitimu wapatoa 586 kutoka Chuo cha Kijeshi TMA kilichopo Monduli Mkoani Arusha.
Raisi dkta jpm ambaye hii ni mara ya pili kuwatunuku maofisa hao wakijeshi katika chuo hicho cha kijeshi aliweza kuwapa zawadi mbalimbali kwa wale waliofanya vizuri katika mafunzo yao.
Aidha Raisi Magufuli alifurahiswa na kitendo cha Askari wanawake wapatao 6 miongoni mwa wahitimu 586 waliopata fursa ya kutunukiwa vyeo na kuibua shangwe na nderemo kwa wageni waliohudhuria Kamisheni hiyo
“Leo nimewatunuku vyeo vya kuwa watumishi katika Jeshi la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa nafasi hiyo naomba Mungu awasaidie’’alisema Raisi wakati akiwatunuku
 
Kwa upande wake Mkuu wa Chuo hicho cha kijeshi TMA Meja Jenerali Paul Masau akitoa taarifa fupi juu ya mafunzo ya wahitimu hao mbele ya Rais Magufuli  kuwa wahitimu wote waliohitimu mafunzo hayo ni Raia wa Tanzania.
Aliongeza kuwa kati ya wahitimu hao  kuna marubani ,Madaktari,na wengi wao ni wahitimu wa kidato cha sita katika masomo ya Sayansi  ambao watakuja kuongeza ufanisi kwa utendaji kazi katika jeshi kwa siku za usoni ili jeshi hilo liende kisasa zaidi.
‘’Miongoni mwa wahitimu wapo madaktari 80, marubani  6 wa ndege,huku 500 ni vijana ambao wamehitimu kidato cha sita katika masomo ya Sayansi na kufaulu vizuri ambao watasaidia katika kulijenga zaidi jeshi letu kwa siku za usoni’’alisema Meja Jenerali Masau.

TUZO ZA WANAFUNZI BORA AFRIKA MASHARIKI "ALL-STARS STUDENTS AWARDS"ZAANZISHWA

May 07, 2016
 Aaron Ally(Dj Aaron Tanzania)Mratibu wa‘All-stars Students Awards Akiongea Kwenye Kipindi cha Morning Trumpet kuelezea tuzo hizo.
Dj wa zamani wa Clouds FM, Aaron, yeye na Team yake(Ms Chiku Lweno, Mwl. Dany Mtanga) wameanzisha   Tuzo walizoziita All-stars Students Awards. 
Hizo ni tuzo zitakazotolewa kwa wanafunzi wa shule za sekondari A-level na O-level za Afrika Mashariki.
Alhamisi hii Dj Aaron alialikwa kwenye kipindi cha Morning Trumpet cha Azam TV kuongelea tuzo hizo zitakazofanyika jijini Dar es Salaam.

Aaron amesema tuzo hizo zina dhumuni la kuwapa hamasa wanafunzi wa shule za Afrika Mashariki. Tuzo hizo zitatolewa kwa wanafunzi watakaofanya vizuri kwenye mitihani ya kidato cha nne na sita. pia na walimu husika ambao ni chachu ya wanafuzi ambao wamefanya vizuri kwenye hayo masomo.
Tuzo hizo zitaaangalia  namba moja wote waliongoza katika nchi zote za Africa Mashariki
Masomo yakayotolewa tuzo ni Kiswahili, Hesabu, Fizikia, Kemia, Bailojia na Kiingereza. Mchakato wa tuzo utaanza katikati ya mwezi wa sita.pia Special Talents, Michezo na  Shule bora Dj Sek Blog P.O.BOX Dar es salaam IT DEPARTMENT +255713966552,+255788462579 Web:www.dj-sek.blogspot.com

MAKATIBU WA VYAMA VYA UKOMBOZI KUSINI MWA AFRIKA WAKUTANA KWENYE KONGAMANO ZIMBABWE

May 07, 2016







MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA KUU LA UWT TAIFA DODOMA LEO

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA KUU LA UWT TAIFA DODOMA LEO

May 07, 2016

uw1Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia ngoma alipowasili katika Ofisi za Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM mjini Dodoma leo Mei 7,2016 kwa ajili ya kufungua mkutano wa Baraza Kuu la UWT Taifa.
uw2W
ajumbe wa Mkutano wa Baraza Kuu la UWT Taifa wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokua akifungua Mkutano wa Baraza Kuu la UWT Taifa wenye lengo la kukumbushana katika majukumu ya kiutendaji kwenye ngazi mbalimbali za Jumuiya hiyo pamoja na kumpongeza Makamu wa Rais kwa kuchaguliwa Mwanamke wa kwanza katika Ngazi hiyo Kuu  ya kitaifa. Mkutano huo umefunguliwa leo Mei 7,2016 katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM mjini
uw3 uw4 
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Baraza Kuu la UWT Taifa wakimkabidhi zawadi za aina mbalimbali Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kumpongeza kwa kuchaguliwa Mwanamke wa kwanza katika Ngazi Kuu  ya kitaifa  wakati wa Mkutano wa Baraza Kuu la UWT Taifa uliofunguliwa leo Mei 7,2016 katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM mjini Dodoma
uw6 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Mkutano wa Baraza Kuu la UWT Taifa wenye lengo la kukumbushana katika majukumu ya kiutendaji kwenye ngazi mbalimbali za Jumuiya hiyo pamoja na kumpongeza Makamu wa Rais kwa kuchaguliwa Mwanamke wa kwanza katika Ngazi hiyo Kuu  ya kitaifa. Mkutano huo umefunguliwa leo Mei 7,2016 katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM mjini Dodoma.
uw8 
Wajumbe wa Mkutano wa Baraza Kuu la UWT Taifa wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokua akifungua Mkutano wa Baraza Kuu la UWT Taifa wenye lengo la kukumbushana katika majukumu ya kiutendaji kwenye ngazi mbalimbali za Jumuiya hiyo pamoja na kumpongeza Makamu wa Rais kwa kuchaguliwa Mwanamke wa kwanza katika Ngazi hiyo Kuu  ya kitaifa. Mkutano huo umefunguliwa leo Mei 7,2016 katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM mjini Dodoma.           
uw9 
Wajumbe wa Mkutano wa Baraza Kuu la UWT Taifa wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokua akifungua Mkutano wa Baraza Kuu la UWT Taifa wenye lengo la kukumbushana katika majukumu ya kiutendaji kwenye ngazi mbalimbali za Jumuiya hiyo pamoja na kumpongeza Makamu wa Rais kwa kuchaguliwa Mwanamke wa kwanza katika Ngazi hiyo Kuu  ya kitaifa. Mkutano huo umefunguliwa leo Mei 7,2016 katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM mjini Dodoma.         
uw10 
Mjumbe wa Mkutano wa Baraza Kuu la UWT Taifa Mama Lupembe akisalimiana na kumpongeza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kuchaguliwa Mwanamke wa kwanza katika Ngazi Kuu  ya kitaifa wakati wa Mkutano Mkuu wa UWT Taifa uliofunguliwa leo Mei 7,2016 katika ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM Mjini Dodoma.
uw11 
Makamu wa Raisv wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma Mhe. Adam Kimbisa kabla ya kufungua Semina ya Mafunzo kwa ajili ya kuwajengea Uwezo Viongozi na Mkada wa Chma cha Mapinduzi iliyofunguliwa leo Mei 7,2016 katika Ukumbi wa MORENA Mjini Dodoma. (Picha na OMR)
uw13 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua Semina ya Mafunzo kwa ajili ya kuwajengea Uwezo Viongozi na Makada wa Chama cha Mapinduzi CCM iliyofunguliwa leo Mei 7,2016 katika ukumbi wa MORENA Mjini Dodoma.uw14 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe. Samia Suluhu Hassan katikati akiwa bkatika picha ya pamoja na Viongozi na Makada wa Chama cha Mapinduzi CCM baada ya  kufungua Semina ya Mafunzo kwa ajili ya kuwajengea Uwezo Viongozi na Makada wa Chama cha Mapinduzi CCM iliyofunguliwa leo Mei 7,2016 katika ukumbi wa MORENA Mjini Dodoma.

KAMBI YA MADAKTARI WA MOYO WA NCHI TATU TOFAUTI YAFUNGWA JIJINI DAR ES SALAAM LEO.

May 07, 2016

 Mwenyekiti Mtendaji wa Taasisi ya Dhi Nureyn Islamic Foundation, Said Abri akizungumza na madaktari wa wa Moyo kutoka Saudi Arabia na Qutar na nchini Uingereza waliokuwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili wakifanya matibabu ya moyo, haflaa hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam. Amesema kuwa Taasisi yake ndio kiungo cha kuunanisha taasisi zilizoshiriki kuokoa maisha ya watoto wenye matatizo ya moyo.

Naibu waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Khamis Kigwangala akizungumza hatika hafla ya kufunga kambi ya madakitari wa Moyo kutoka Saudi Arabia na Qutar waliokuwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili, haflaa hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam na kuwaaga madaktari wa nchi hizo.
 Picha ya pamoja ya madaktari bingwa wa matatizo ya moyo kutoka taasisi nne tofauti za nchi tatu.

MADAKTARI wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili wamefunga kambi ya Madaktari wa tiba ya Moyo wa kutoka Saudi Arabia, Uingereza na Qutar na baaadhi ya madaktari wenye utaalam wa tiba ya matatizo ya moyo hapa nchini.

Mwenyekiti Mtendaji wa Taasisi ya Dhi Nureyn Islamic Foundation, Said Abri akizungumza katika hafla ya kufunga kambi ya Madaktari wa matatizo ya moyo  kutoka nchi za Saudi Arabia, Uingereza na Qutar jijini Dar es Salaam leo amesema kuwa kambi hiyo imejumuisha pamoja taasisi nne kutoka nchi tatu tofauti.

Abri amesema taasisi zilizoshiriki kambi ya Moyo Muhimbili ni Muntada Aid ya Uingereza, Timu ya Madaktari kutoka Saudi Arabia, Taasisi ya Araf kutoka Qutar na taasisi ya Dhi Nureyn ya hapa nchini na Taasisi ya Jakaya Kikwete.

Amesema kuwa kambi  hii ya sasa imefanikiwa kuwatibu watoto wenye matatizo ya moyo 66 ambao walikuwa wamepangwa kusafirishwa  nje ya nchi kwaajili ya matibabu sasa wametibiwa hapa nchini na kuokoa mabilioni ya fedha za serikali.

Kwaupande wake Naibu waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Khamis Kigwangala amewashukuru madaktari kutoka taasasisi hizo kwa kuja hapa nchini na kuokoa watoto wenye matatizo ya moyo 200 ambao wametibiwa hapahapa nchini.

Naibu waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Khamis Kigwangala akizungumza hatika hafla ya kufunga kambi ya madakitari wa Moyo kutoka Saudi Arabia na Qutar waliokuwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili, haflaa hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam na kuwaaga madaktari wa nchi hizo.
 Katibu mkuu na mkurugenzi wa Muntada Aid, Sheikh Khalid Sukeir akizungumza katika hafla ya kufunga kambi ya Madaktari bingwa wa matatizo ya Moyo jijini Dar es Salaam leo.

KAIMU KATIBU MKUU UVCCM SHAKA ATUA MKOANI TANGA,AKERWA NA JIMBO LA TANGA KUCHUKULIWA NA UPINZANI,AVUNA WANACHAMA WAPYA

May 07, 2016
Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka akivalishwa skafu baada ya kuwasili makao makuu ya chama cha mapinduzi (CCM) mkoa wa Tanga wakati wa ziara yake

Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka katika kushoto ni Katibu wa CCM Mkoa wa Tanga,Shija Othumani na kulia ni Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Tanga,Abdi Makange wakifuatilia kwa umakini gwaride la vijana wa green guard wa chama hicho

Hapa wakikagua gwaride hilo kabla ya kuanza kikao cha pamoja

Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Tanga,Abdi Makange akizungumza neno kabla ya kumkaribisha Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka kushoto ambaye yupo kwenye ziara ya kikazi mkoani hapa

 Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka akizungumza na vijana wa Jumuiya wa Umoja huo mkoani Tanga leo kwenye ukumbi wa CCM uliopo barabara 20 mjini Tanga.


BAADHI YA WANACHAMA WA JUMUIA YA UMOJA WA VIJANA MKOANI TANGA WAKIMFUATILIA KWA UMAKINI KAIMU KATIBU MKUU WA UVCCM TAIFA SHAKA HAMDU SHAKA